Search results

  1. Majs

    KWELI Baadhi ya njia za asili za uzazi wa Mpango si salama

    Mfano matumizi ya majivu kuchanganya na maji ya uvuguvugu na kunywa masaa 2 kabla ya tendo pamoja na njia nyingine ni matumizi ya unga wa mbegu za papai, ni salama kiasi gani?
  2. Majs

    Serikali haijali tena watu na hakuna uhuru wa kusemea haya

    Mfumuko wa bei kila baada ya wiki mbili bei ni mpya, haya makampuni ya mitandao nimefuatilia vzr after wiki moja au moja na nusu vifurushi vinapanda tu, upande wa chakula imagine maharage ni mboga ya taifa saiv kilo moja 4000. Tuna upungufu na matatizo ya kila kitu maji, umeme, katiba, tozo...
  3. Majs

    Tunaelekea kuwa na ulimwengu wa ajabu sana Mungu atusaidie

    Tunaelekea kuwa na jamii inayopoteza wanaume namaanisha idadi ya mashoga inaongezeka kwa kasi ya ajabu kibaya zaidi idadi ya walioko hadharani ni ndogo kuliko walioko sirini unamuona mwanaume ni gentlemen amechomekea amependeza kumbe amna kitu. Atlest hii generation ya miaka 40/50 na kuendelea...
  4. Majs

    Mwenyeji hapa kwaajili ya ukaribisho watu wangu

    Ma fans wote yo welcome at the place where we dare talk openly. JF is the stress remover place[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
  5. Majs

    Hali mbaya ya mfumuko wa bei, watu watakufa njaa

    Hii nchi hali ni mbaya kila kitu kimepanda bei kwenye masoko madukani hakuna kinachonunulika mpaka unga wa ugali jamani, kuna watu wanashinda njaa kwa hali hii wanapata mlo mmoja na kibaya zaidi hakuna anaetuzingatia watu wanapepea airport kila siku ni HUZUNI. Hivi ni nini kinaendelea jamani...
  6. Majs

    TRA yakamata mifuko 400 ya sukari ya magendo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imekamata mifuko 400 ya sukari iliyokuwa ikisafirishwa kwa magendo. Taarifa ya mamlaka hiyo imesema mifuko hiyo ya sukari ya kilo 50 kila mmoja imekamatwa usiku wa kuamkia jana, Agosti 26 ikiwa imepakiwa kwenye magari mawili aina ya Mitsubishi Fuso. TRA...
  7. Majs

    Ubungo wana shule 100 hazijasajiliwa

    HALMASHAURI ya Manispaa ya Ubungo imeanza kuzifungia rasmi shule zote binafsi ambazo hazijasajiliwa katika kata ya Kwembe huku ikibaini kuwepo kwa shule takriban 100 ambazo hazijafuata utaratibu. Ofisa Elimu wa Manispaa hiyo, Chausiku Masegenya akiambatana na timu ya wataalamu kutoka idara yake...
  8. Majs

    Wanaume wavunja ukimya, walalamika kupigwa na kutelekezwa na wake zao

    WANAUME 20 walio kwenye ndoa katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamevunja ukimya wakidai kupigwa na kutelekezwa na wenzi wao, imebainika. Mkuu wa Dawati la Polisi la Jinsia na Watoto Sumbawanga, Koplo Germana Mfwomi alilieleza gazeti hili kuwepo kwa hali hiyo, mbali na kubainishwa...
  9. Majs

    Mwigulu awapa bodaboda siku 30 kila mmoja awe na kofia ngumu 2

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ametoa siku 30 kwa wamiliki na madereva wa bodaboda nchini kote kuhakikisha wanakuwa na kofi a ngumu (helmet) mbili ili kuwezesha dereva na abiria kupunguza madhara ajali inapotokea. Amesema baada ya siku hizo kuisha, dereva yeyote wa bodaboda...
  10. Majs

    Sakata la IMMMA: Rais wa TLS, Tundu Lissu atoa maazimio ya Baraza la Uongozi. Wapanga kugoma siku mbili

    Mwanasheria Tundu Lissu akiwa amevaa kofia ya mwenyekiti wa chama cha mawakili Tanzania(TLS) wameita press na anaanza kwa kusema wamepokea taarifa ya watu kufanya shambulio usiku wa kuamkia jana asubuhi kwa bomu kwenye ofisi za uwakili za Immma advocates. Baraza la uongozi la TLS lilifanya...
  11. Majs

    Mlipuko ofisi za mawakili waacha maswali mazito

    TUKIO la ofisi za Kampuni ya uwakili ya IMMMA zilizoko Upanga, Dar es Salaam kulipuliwa kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu, limezongwa na maswali mengi. Kitendo hicho kilichodaiwa kutokea usiku wa kuamkia jana kati ya saa 7:40-8:00, kimeacha sintofahamu si tu kwa mawakili wa kampuni ya IMMMA...
  12. Majs

    Majaliwa: Watanzania imarisheni uzalendo

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wote wahakikishe wanaboresha mshikamano wao pamoja na kuimarisha uzalendo kwa Taifa lao. Alitoa kauli hiyo juzi jioni wakati akizungumza na wanafunzi wa Tanzania wanaosomea udaktari nchini Cuba. Waziri Mkuu yuko nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya...
  13. Majs

    Uchaguzi Kenya ghali zaidi Afrika, namba mbili duniani

    SIKU 10 tangu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Kenya, imeelezwa kuwa nchi hiyo ndiyo inayoongoza kwa kufanya uchaguzi ghali zaidi barani Afrika. Aidha, kwa duniani imeshika nafasi ya pili, ikitanguliwa na Papua New Guinea inayotajwa kuwa kinara duniani, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari...
  14. Majs

    Waziri wa afya, Ummy Mwalimu amshukuru Askofu Pengo

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema msaada wa uchimbaji wa kisima cha huduma ya maji safi na salama kilichochimbwa kwenye Kituo cha Mahabusu ya Watoto Upanga, kimeipunguzia Serikali gharama ya Sh4,800,000 zilizokuwa zinatolewa kila mwaka. Kutokana na hatua hiyo Waziri Mwalimu amemshukuru ...
  15. Majs

    Mzazi: Epuka haya katika malezi ya mtoto wako

    Nimeyakusanya maradhi ya malezi katika ulimi kwenye "Maneno Aina Kumi" yanavunja moyo watoto na yanawahamasisha kupotea, nayo ni kama yafuatayo: KUTUKANA: Kwa kumpa mtoto sifa za wanyama (punda/mbwa/ng'ombe/mbuzi/ewe mnyama/......) au kuitusi siku aliozaliwa. KUMDHARAU: Kwa kumkejeli kwa sifa...
  16. Majs

    Bombardier yatua nchini kimya kimya

  17. Majs

    Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

    Habari waungwana, Mwenyekiti wa CCM mkoani Geita na mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku almaarufu kama msukuma ameamua kujibu kombora la mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu kuhusu sakata la ndege ya serikali kuzuiwa nchini Canada baada ya wadeni kusema wanaidai Tanzania. Msukuma...
  18. Majs

    North Korea warns of 'merciless strike' ahead of US-South Korea drills

    North Korea warned Sunday that the upcoming US-South Korea military exercises are "reckless behavior driving the situation into the uncontrollable phase of a nuclear war." Pyongyang also declared that its army can target the United States anytime, and neither Guam, Hawaii nor the US mainland...
  19. Majs

    Wezi wa mtandao wawatesa mapadri

    PADRI Paschal Luhengo wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mahenge, Parokia ya Lupiro wilayani Ulanga mkoani Morogoro ameiomba serikali kuingilia kati na kutokomeza wimbi la wezi wa mtandao ambalo limeibukia kuwaumiza baadhi ya watawa, mapadri na watu wengine. Alitoa ombi hilo hivi karibuni mara baada...
  20. Majs

    Tuzungumze biashara: Weka kumbukumbu ya unachodaiwa

    TUMEZOEA kuona wateja wakidaiwa na mara nyingi kuamini kwamba, kwa sababu mwenye duka ndiye anayemiliki bidhaa ziuzwazo, uwezekano wa kudaiwa na mteja haupo au ni kwa asilimia ndogo sana. Mtandao wa maswali Www.ask. com unasema kwa nchi zilizoendelea, suala la mteja kumdai mmiliki wa biashara...
Back
Top Bottom