Search results

  1. Majs

    ATCL yapanga kuwa na uwanja wake ndani ya Julius Nyerere Airport

    Kiwanja bado halafu wamekula hasara ya bilioni 56:eek: Wakiwa nacho itakuwa hasara inayojitegemea
  2. Majs

    BoT waruhusuni/wapeni muongozo Benki kuongeza kiwango cha kutoa pesa ATM

    Ile nafasi ya kutolea hela haitoshi kutoa noti 1000 kwa mpigo, nadhani wazungu wamezidesign kwaajili ya hela zao ambazo noti chache zina thamani kubwa.
  3. Majs

    BoT waruhusuni/wapeni muongozo Benki kuongeza kiwango cha kutoa pesa ATM

    Nadhani sio ATM zote za CRDB. Upande mwengine itakuwa ni issue ya faida kwasababu kila muamala unakuwa na makato, ukitoa nyingi kwa mara moja inapunguza hiyo faida, DTB mwisho laki tatu.. Ukitaka 1.2m inabidi utoe mara nne badala ya tatu...
  4. Majs

    Utapeli unaofanywa na baadhi ya "maajenti" wasio waaminifu pale Magufuli Bus Terminal ukomeshwe!

    Ukiwa mkazi wa Mbezi, wale jamaa wanaganda kila mtu.. kila wanaemuona wanadhani ni msafiri.. wanaweza kukusindikiza safari yako wakidhani unaenda kukata tiketi na husemi.
  5. Majs

    NSSF yauza Dege Eco Village Kigamboni kwa bilioni 501, mnunuzi afichwa

    Kuna yule Azimio aliingia ubia na NSSF na kuithaminisha ardhi iliyotumika kwa bei ya kuruka mpaka akaingia kwenye ripoti za CAG, wamemalizanaje? Maana hisa zake zilikuwa 55%
  6. Majs

    Je, TCRA na Wizara ya Mawasiliano wameshindwa kudhibiti matangazo holela?

    Mitandao ya simu inajiamulia tu kutuma matangazo, inasikitisha sana na hii TCRA..
  7. Majs

    Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

    Wakisema watakuwa wanapenda ulalamishi😅
  8. Majs

    Gharama za Travel Insurance

    Nilikata Phoenix Posta mpya, safari ya wiki mbili ilikuwa dola 18. Nenda makampuni ya bima waambie unahitaji bima ya safari. Bima ilikuwa lazima ili kusafiri.
  9. Majs

    Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili upate huduma fulani?

    Naam, niliwapa Tanesco kufunga umeme Masoko ya Serikali kupata eneo ndani ya jengo City, taa ya gari niliyoiegesha ilining'inia, kusimama kuiweka sawa haooo.. Sio watu Hospitali za Serikali Halafu kuna haya madude mawili, yanaitwa polisi na mahakama. Bila rushwa hutoboi na jambo lako..
  10. Majs

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Kwenye shipping chagua Aliexpress standard shipping, anaewasafirishia ni speedaf..
  11. Majs

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Kama uko Dar nenda ofisini Migombani Mikocheni, pia walinifanyia hivi nikaenda, nikafanikiwa kupata mzigo wangu.
  12. Majs

    Nimepigwa Shoti ya Umeme. Nilichokiona Sitaki ufundi tena

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
  13. Majs

    KWELI Baadhi ya njia za asili za uzazi wa Mpango si salama

    Mfano matumizi ya majivu kuchanganya na maji ya uvuguvugu na kunywa masaa 2 kabla ya tendo pamoja na njia nyingine ni matumizi ya unga wa mbegu za papai, ni salama kiasi gani?
  14. Majs

    Serikali haijali tena watu na hakuna uhuru wa kusemea haya

    Mfumuko wa bei kila baada ya wiki mbili bei ni mpya, haya makampuni ya mitandao nimefuatilia vzr after wiki moja au moja na nusu vifurushi vinapanda tu, upande wa chakula imagine maharage ni mboga ya taifa saiv kilo moja 4000. Tuna upungufu na matatizo ya kila kitu maji, umeme, katiba, tozo...
  15. Majs

    TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

    Mh R I.P inahuzunisha
Back
Top Bottom