Search results

  1. A

    Lindi: Rais Magufuli ametoa Shilingi Milioni 340 kwa ajili ya kukarabati mradi mkubwa wa maji safi

    Rais Mh.Dr.John Pombe Magufuli ametoa Shilingi Milioni 340 kwa ajili ya kukarabati mradi mkubwa wa maji safi na salama utakaohudumia vijijini vinne kwenye Kata ya Rutamba Wilayani Lindi. Ukarabati huo utahusisha ujenzi wa matanki mapya wawili yenye ujazo wa Lita laki moja kila moja...
  2. A

    Vijana wa CHADEMA amkeni kutoka usingizini hamkuzaliwa ili mpanue vidole tu

    USALITI, UNAFIKI NA UTAPELI UNAMWISHO. Nilijua iko siku vijana wa CHADEMA watagundua ni kiasi gani wanadanganywa na uongozi wao wa juu wa chama hasa MH. MWENYEKITI WA KUDUM. Hivi kwa akili ya kawada umewahi kujiuliza ww kama mwanachama wa CHADEMA. 1. Kwann wabunge wote wajitolee kila mwezi...
  3. A

    Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

    Kuwa mpinzani ni sawa na kuvaa nguo nyeupe , DOA likigusa tuuuu ni balaaa .Ni kweli wakuu fedha zimepigwa, zaidi ya 1.9 Bilioni. Wakuu ni hivi jumla ya Tsh 1.9 Bilioni, Zimekwapuliwa kwenye account ya Chama, (CHADEMA) Miezi kadhaa iliyopita. Toka jana Chama kimeshindwa kujenga hoja kabisa juu...
  4. A

    Hakikisha kabla hujafikisha 40 unawala mademu wafuatao

    1.Baa medi na mademu unaokutana nao club 2.Mama Ntilie 3.Wanafunzi wa vyuo 4.Demu uliyekosea namba 5.Demu mliyekutana katika mitandao ya kijamii 6.Demu wa saluni 7.Demu wa rafiki yako. 8.Mpangaji mwenzako 9.Mfanyakazi mwenzako 10.Demu yoyote atakayejipendekeza we lamba tu. Ukifikisha...
  5. A

    Wateule na wasaidizi, Rais aliwaheshimisha msimwangushe chapeni kazi kwa nia njema ya kulisaidia Taifa

    Augustino Chiwinga Mtama-Lindi 0659438889 Kwa kawaida huwa ni heshima iliyotukuka pale ambapo mtu anateuliwa na Mh Rais kushika madaraka katika ngazi fulani mathalani ya Mkoa,Wilaya au Halmashauri. Huwa inaonesha imani na mategemeo makubwa ambayo Rais anakuwa ameyaweka juu ya mtu huyo. Lakini...
  6. A

    Diwani Kata ya Masoko, Lindi anashikiliwa na Polisi kwa kukutwa na mbao zisizo na kibali

    Kinara wa biashara za magendo Wilayani Kilwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashahuri ya Wilaya ya Kilwa Ndugu. Abuu Musa Mjaka (CUF) amekamatwa na Mbao za Magendo vipande 400 Nyumbani kwake. Taarifa ambazo zimethibitishwa na mkuu wa wilàya ya Kilwa,Christopher Ngubiagai zimeeleza kwamba...
  7. A

    "Ujenzi wa choo nao hadi umsubiri Rais"; Kauli hii ya Mh. Magufuli imenitafakarisha sana

    Jana siku ya Tarehe 5/5/2018 wakati Mh. Rais Magufuli akiendela na Ziara yake Mkoani Morogoro alisimamishwa na wananchi katika Kijiji cha Mang'ula, na hapo ndipo akajitokeza kijana mdogo wa kidato cha kwanza aitwaye Mlindoka Msangi akaelezea changamoto ya vyoo inayoikabili shule yao ya...
  8. A

    Aliyoyazungumza Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mh. Simon Ezekiel Odunga katika vipindi vya power breakfast na alasiri lounge

    Wilaya ya Chemba ina ardhi kubwa ya kutosha yenye rutuba sana inayofaa kwa kilimo cha mazao mbalimbali kama vile dengu, ulezi na mengineyo mengi. Karibuni sana Vijana kufanya kilimo katika wilaya ya Chemba. Wilaya yangu inahakikisha asilimia 5 za Vijana na kina mama zinatoka na kuwafikia...
  9. A

    Mbowe amejuaje aina ya silaha iliyotumika kabla ya jeshi la polisi?

    Mbowe anajua aina za silaha zilizotumika kabla jeshi la police hawajajua hiyo ni hofu yangu namba moja . Taarifa ya jeshi la polisi Mkoa wa Dodoma ndio yenye mamlaka ya kutoa ripoti juu ya tukio hili ikiwemo na kutaja aina ya silaja iliyotumika. Najiuliza mbowe kajuaje aina ya silaha...
  10. A

    Mbunge Kingu kugawa Vitanda kwenye jimbo la Tundu Lissu

    Wananchi wa Ikungi waomba msaada kwa mbunge wa CCM Mheshimiwa Elibariki Kingu, baada ya kutelekezwa na mbunge wao Tundu Lissu kwa muda mrefu . Baada ya maombi hayo mbunge Kingu aliridhia na kuamua kutoa msaada jimbo jirani wa vitanda vya kujifungulia akina mama na wagonjwa vyenye thamani zaidi...
  11. A

    Mrejesho wa ziara ya kikazi ya Rais Magufuli katika mikoa ya Kagera,Kigoma,Tabora na Singida

    Imeandaliwa na Augustino Chiwinga. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dr John Pombe Joseph Magufuli amemaliza ziara yake ndefu iliyomlazimu kutembea wastani wa Kilometa 1500 hivi. Alikutana na wananchi wengi waliompa kero na changamoto zao na alizitatuta kwa zile zilizowezekama...
  12. A

    Hiki ndicho kilio feki cha CHADEMA

    Na. Augustino Chiwinga Siku za hivi karibuni chama cha demokrasia na maendeleo kimepata na kinaendelea kupata mtikisiko mkubwa baada wimbi la kukimbiwa na viongozi na wanachama wake kuongezeka. Hali hiyo imeishtua hadi kamati kuu ya chama hicho ambapo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe...
  13. A

    Jinsi Tundu Lissu anavyolikosesha maendeleo jimbo lake

    Tundu Lissu amewakosesha wananchi wa jimbo lake kusema kero zao kwa JPM. Maana yake ni kawanyima maendeleo. Wabunge wote Singida walikuwepo leona wamesema shida zao ambazo zitatatuliwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    Yajue majengo yenye alama(symbol) za Freemason Tanzania

    Katika jamii ya Freemason alama ya jicho na alama ya pembe tatu ni miongoni mwa alama kuu za ibada katika jamii hiyo. Alama ya jicho (All seeing eye ) ni alama ya jicho la muungu wa kifremason aitwaye Horus. Na alama ya pembe tatu inamaanisha miungu mitatu ya freeamason ambayo ni muungu wa...
  15. A

    Mwakyembe: Joshua Nassari akamatwa akiwa anataka kuingia bungeni na Chupa ya kilevi akiwa amelewa

    Leo Bungeni Dodoma, Joshua Nasari(Mb) Arumeru Mashariki amekamatwa na Watu wa Usalama akiwa amelewa huku akiwa na chupa akitaka kuingia nayo Bungeni. Mb Joshua alipoanza kuchangia alisema kuwa kamati iliyoundwa na Bunge wakati ule wa Rais Kikwete, kumchunguza Waziri Mkuu wa wakati huo Edward...
  16. A

    Hivi ndivyo vitu ambavyo hutakiwi kuhoji ukiwa Mwanachadema

    1:Zinakokwenda posho ya kila mwezi inayotolewa na msajili wa vyama vya siasa inayokaribia milion 800. 2: Kifo cha utata cha aliyekua Makamu Mwenyekiti Marehemu Chacha Wangwe. 3:Upendeleo wa nafasi za ajira na ubunge viti maalum ndani ya CHADEMA. 4: Kwa nini walimpa kugombea nafasi ya...
  17. A

    Tetesi: Uchaguzi wa Chadema kanda ya kaskazini waahirishwa, Mbowe anatuhumiwa kuhusika

    Siku ya tarehe 28/3 2017 nilipost ujumbe mfupi kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amefanya uhuni na udikteta kwa kulazimisha kupitisha jina la Bwana Philimon Ndesamburo kua mgombea pekee katika nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini katika uchaguzi uliotarajiwa kufanyika siku...
  18. A

    Hongera Rais Magufuli kwa hili la mchanga wa dhahabu

    Rais, John Magufuli wiki iliyopita alifanya ziara katika Bandari ya Dar Es Salaam ambapo alibaini uwepo wa makontena yaliyokua yamesheheni mchanga wenye madini ya dhahabu,yaliyokuwa yamekwishafungwa tayari kusafirishwa kwenda nje ya nch,licha ya awali kuwapo kwa agizo lake la kutaka...
  19. A

    Sumaye aisifu awamu ya 5 kwa maendeleo

    MWENYEKITI wa Kanda ya Pwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Fredrick Sumaye ameupongeza uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano kwa hatua mbalimbali za kuleta maendeleo katika nyanja mbalimbali nchini na hususani katika Jiji la Dar es Salaam. Aidha, Sumaye ambaye alishika...
  20. A

    kwa mageuzi haya ni dhahiri kwamba CCM imekuja na mwarobaini wa matatizo ya watanzania

    Na Augustine Chiwinga. Chama Cha Mapinduzi CCM Leo tarehe 12 March 2017, kimefanya mkutano wake mkuu maalumu ambao ulikua na lengo kuu moja la kupitisha mapendekezo ya maboresho ya katiba yake. Maboresho hayo ya katiba kiukweli yamekuja katika kipindi muafaka kulingana na hali ya kisiasa...
Back
Top Bottom