Search results

  1. K

    Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

    Akili za kubet ni sawa na za ng'ombe tu,maana hujui Kama utapelekwa malishoni au utashinda bandani
  2. K

    Kama Mo kajiuzulu amepata wapi Mamlaka ya kuteua?

    Wewe unaumia ikiwa ya metl? Acha roho za kike kijana
  3. K

    Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

    Swali la kitoto hili
  4. K

    Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

    Ufungiwe ili Yanga ashinde vizuri sio?
  5. K

    Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

    Huo huo uwanja kuna watu watapata matokeo
  6. K

    Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

    Mimi sio msukule
  7. K

    Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

    Kubali kuingia mkataba na Azam media upate pesa ya kusajili wachezaji wanaoeleweka au Tumieni zile 20B kununua wachezaji wanaoeleweka kwenye dirisha dogo na sio kuzidiwa kete na Yanga kwa wachezaji kama Aucho na Djuma. Acha ubahili,uza uchafu wa mabasi yote,nunua basi moja la maana na Coaster...
  8. K

    History Of The Necronomicon kwanini ni kitabu hatari?

    Ni kama hadithi za alfu lela ulela unamwambia mtu ni hatari sana!Huu si ni utoto!
  9. K

    Kampuni ya Africarriers iliyoingia Mkataba wa Mabasi na Simba Sports Club ni mali ya nani?

    Golden dragon ni uchafu.Huwezi unda bodi kwa vipande vya mabati ya kuunga unga kama paa la nyumba ya kijijini. Mabasi hayapendezi kuyaona,Simba sijui kwa nini wanajiletea vitu visivyo na mvuto
  10. K

    Pongezi kwa Sports Arena ya WASAFI FM

    Kawaida yenu kujipa promo hata kwa vitu vya hovyo.
  11. K

    Rasmi nawaondoa simba kwenye mbio za ubingwa 2021-2022

    Kwa Aucho tulizidiwa dau na Yanga. Haya ni matokeo ya kumpa timu tajiri uchwara!
  12. K

    Bila Kagere ushambuliaji wa Simba ni bure

    Si kweli kabisa. Hata Kagere ana matatizo makubwa kuliko Mugalu.Usidhani ni rahisi kutengeneza nafasi tu na kufunga.Unahitaji wachezaji wenye fighting spirit,wanaojielewa.
  13. K

    Rasmi nawaondoa simba kwenye mbio za ubingwa 2021-2022

    Sisi hatujaumia kufungwa na yanga tu,ila tunaumia kuwa hatutafanya vzr kimataifa kwani wachezaji hawana kabisa fighting spirit. Ni kama wako academy tu wakijiandaa kufuzu mafunzo.Wanacheza wame relax kama vile wao ni mastaa sana. Nasubiri dhihaka nyingine baada ya kutolewa CAF championship.
  14. K

    Rasmi nawaondoa simba kwenye mbio za ubingwa 2021-2022

    Naiona Simba inakwenda kuwa kama Africa Lyon. Nimeanza kuingiwa na shaka na huyu mwekezaji. Tabia yake ya kuingilia uhuru wa wachezaji, ubahili, kutokujua jinsi ya kuimarisha brand ya Simba kiasi cha kununua mabasi ya kishamba matatu! Nilikuwa nafuatilia mwalimu alimtaka Aucho,ila ubahili...
  15. K

    Hongera sana kwa kiungo wa Yanga Fei Toto

    Hata kama angekuwa na wakala asingeenda kokote. Kumbuka yanga inatengeneza wachezaji mashabiki wake.Kumbuka Ngasa jinsi alivyokataa ofa kisa abaki kuipigania timu yake.
  16. K

    Kwa Yanga hii ubingwa wa mwaka huu wanauchukua

    Si ndio mnapenda kuona ujinga ujinga wa show off badala ya matokeo. Na Manara ndiye aliyeleta ujinga huu Simba eti pira biriani.Na mashabiki wengi walivyo maandazi wakabaki kushangilia pasi badala ya ushindi
  17. K

    Simba tumefungwa lakini nimeridhika

    Kama Simba itacheza hivi msimu huu,itanyanyaswa sana na vitimu vidogo. Mpira sio show off,mpira ni mipango ya ushindi. Kuna wakati unatarajia kuwe na kasi kufanya mashambulizi unaona mtu anapiga back pass. Mwalimu hajapata mfumo mzuri wa kuziba pengo la Luis na Chama. Wachezaji hawakuwa...
  18. K

    Inasikitisha Hii Picha Ya Yanga Sc: Bumbuli, Msolla Watengwa

    Hii ni picha ambayo imepostiwa maksudi ili kuwafanya utopolo waamini mafanikio yoyote ya ushindi kesho iwapo yatakuwepo,basi wahusika ni hao kwenye picha. Kwa maneno mengine inaweza kuhalalisha kuondolewa kwa Bumbuli,na kuendelea kutengwa kwa mwenyekiti na isiwe taabu kwa wafuasi wa msukule
  19. K

    Inasikitisha Hii Picha Ya Yanga Sc: Bumbuli, Msolla Watengwa

    Au kamwambia Msukule aposti?!!
Back
Top Bottom