Search results

  1. mossad007

    Facebook wamefeli kuhusu tukio la Ufaransa

    Mtandao wa Facebook una users karibuni billion moja na million 400 na kati ya hao Users toka Africa ni wengi kiasi cha robo nzima. Hivi jana yametokea mashambulizi ya kigaidi nchini Ufaransa na katika kuonyesha solidarity Facebook wameweka special icon ya mtu kuweka bendera ya Ufaransa...
  2. mossad007

    Watangazaji wa TV mjifunze jinsi ya kuvaa

    Moja kati ya maeneo ambayo mwandishi wa Habari hasa msoma habari anatakiwa awe kamili ni muonekano. Nimekua nikiliona hili kwenye vyombo kadhaa vya habari hapa ndani na kimataifa ninapo fuatilia vipindi. Tatizo nilililo liona kwa Television ya Taifa chini ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)...
  3. mossad007

    Ubalozi wa Kenya jirani na TISS

    Kufuatia kuvuja kwa taarifa kuhusu Usikilizwaji wa simu za Viongozi na Wananchi wa Mataifa mbali mbali kulikofanywa na Marekani kupitia Balozi zake, binafsi nina mashaka sana na Ubalozi wa Kenya kua Jirani na Taasisi yetu nyeti ya Usalama nchini. Hali hii inaongezeka zaid nikiangalia msimamo...
  4. mossad007

    WESTGATE MASSACRE: 41 YEARS KENYA's STILL BEHIND

    Nilidhani baada ya Miaka takribani 41 since makosa yaliyofanyika baada ya matokeo ya Ugaidi kule Munich 1972 kwenye Winter Olympic Games Kenya watakua wamejifunza namna ya kukabiliana na ugaidi lakini wenzetu bado sana. Kuna vipengele vichache ambavyo Ujerumani ilivikosea na kusababisha...
  5. mossad007

    Application inayolipa watumiaji wake hii hapa

    dah mi nashangaa tu
  6. mossad007

    Vodacom kuna wizi

    Mwez mmoja uliopita ilikua inatokea nikirecharge nijiunge na kifurushi naambiwa sina salio la kutosha nikichek nakuta salio ni zero na sina kifurushi. Kuna siku nikawapigia kulalamika wakarudisha hela ile waliyonikata mara ya mwisho tu na sio pamoja na zile za Nyuma. Ijumaa nikiwa mkoani kikaz...
  7. mossad007

    My Phone doesnt work on Links

    Habari watalaam wa JF section hii. Simu yangu ni Galaxy Y recently imekua na tatizo la kushindwa kufungua any links. Mfano mtu anapost habari hapa JF, FB au Web then inakua na link attached bas nikifungua ile link haifunguki. Nimejaribu ku update software lakini hakukuwa na any updates available...
  8. mossad007

    Lionel messi matatani

    Maafisa Ushuru na Forodha Nchini Spain katika mji a Catalunya wamesema Mshindi wa tuzo ya Baloon d' Or mara nne mfululizo Lionel Messi anashukiwa pamoja na baba yake kwa kukwepa kodi na kusababisha hasara ya £ 3.4 million mnamo 2007-09 na kwamba uchunguzi unaendelea. Source: BBC & Eurosport
  9. mossad007

    Msaada: Nna wiki siipati tbc na sauti

    Ndugu zangu nnatumia king'amuz cha dstv nna wiki nzima channel 291 TBC1 haitoi sauti je hili tatizo ni kwangu tu na kwa mwenye clue yoyote juu ya hili tatizo!
  10. mossad007

    Vazi la taifa

    Wadau nauliza hivi ule mchakato wa vazi la Taifa umeishia wap? Mana ni mda sasa sijasikia lolote ni nini kinaendelea! Mwenye kufaham.
  11. mossad007

    My World XI

    Nikiwa kama mdau na mpenzi wa soka ningependa kushea mawazo yangu juu ya kikosi changu cha dunia na kupata criticism au support za wadau kwa kikosi hiki. Formation: 4-1-3-2 1. Manuel Neur (B. Munich ) 2. Kyle Walker ( T. Hotspurs ) 3. Alaba ( B. Munich ) 4. R. Varane ( R. Madrid ) 5. N. Vidic (...
  12. mossad007

    Siipati Facebook Home kwenye Google play

    Habari ya saa hizi wadau natumia Galaxy Young GT5360 Android Software ni 2.3.6 nili update lakini imebaki hivyo hivyo nimejaribu kuitafuta hii software ya FB Home kw google play niione inafanyaje kaz lakini kila nikii search siipati labda kw mwenye ujuzi zaid akinisaidia nitashkuru!
  13. mossad007

    How to Retrive icloud contacts

    Tafadhali mwenye kufaham jinsi ya kuzipata contacts za cm (iphone) iliyopotea through icloud naomba msaada na kama inawezekana kuzipata kw kutumia device nyingne zaid ya zile za Apple. Ntashkuru
  14. mossad007

    Joyce Banda realy annoys

    Nilikua naangalia Al Jazeera leo asubuhi Joyce Banda anahojiwa ikiwa ni mwaka mmoja tangu aingie madarakani alipoulizwa kuhusu mgogoro wa Nchi yake na Tanzania juu ya ziwa Nyasa akajibu " I am 62 yrs Old and i knw that lake to belong to no one rather than Malawi" kwa view yangu kama swala hili...
Back
Top Bottom