Search results

  1. S

    Mada Maalum kwa Wahasibu, Wakaguzi wa Mahesabu na Wataalam wa Kodi

    Haya wadau,karibuni sana kwenye sherehe za graduation za CPA zitakazofanyikia Bunju-Dsm siku ya jumamosi tarehe 3/10/2015.
  2. S

    Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

    Rejea ratiba ya kampeni ya Mgombea Urais wa CHADEMA [UKAWA] ndio utajua yupo DSM kwa ratiba au kaishiwa hela za kampeni.
  3. S

    CHADEMA: Kauli rasmi kuhusu yaliyotamkwa na Dr. Willibrod Slaa

    Asante kwa taarifa mkuu....ila leo ni tar 2 Sept 2015 sio August
  4. S

    Nafasi ya kazi shift incharge, TANROADS

    Maswali ya interview kwa Tanroads hutofautiana kati ya mkoa na mkoa lakini kikubwa ajue majukumu yake kama shift incharge,ajue changamoto za mizani,mfano system imezingua halafu magari yanasubiri kupima unafanyaje,pia ajue gari ikizidi maana yake nini,na computer pia hasa microsoft excell.
  5. S

    Richard Kiyabo na tuhuma za CCJ habari maelezo leo dhidi ya Makonda

    Watu tunafaham hilo,Sitta na Mwakyembe wanamuweka Makonda mjini na wkt CCJ inaanzishwa Makonda aliahirisha mwaka chuoni ili ajikite CCJ
  6. S

    Mtanzania: Dr. Slaa atajwa kumtuma Ben Saanane kummaliza Zitto

    Katika hiyo habari ya mtanzania kuna sehem wameandika;shonza,zito na ben saanane walikuwa wamekaa meza moja na ben mkono wake ulikuwa umefungwa bandeji,lakin zito mwenyew amesema hamjui ben saanane na wakikutana anaweza kumpita,sasa iweje watu waliowahi kukaa meza moja kutokujuana?
  7. S

    TANROADS Wametema

    Hahaaa...najua unajua mkuu,msamehe kijana amechanganyikiwa kuitwa kweny interview nadhani!
  8. S

    Mbunge Joshua Nassari asitisha kwenda JKT

    Hahahaaa.....Nasari bwana,ukamanda mchezo nini!
  9. S

    Mbunge yule Kijana aliyeniomba Ushauri...!

    Vipi,umekwenda jimboni kwake kuona nin amefanya mpaka sasa au umekalia majungu ya umiliki wa magari?
  10. S

    Ubadhilifu wa Dr. Slaa siku moja kabla sijafukuzwa CHADEMA

    Sijaelewa hata kidogo,hii post imeanzia kwa Dr Slaa,ikaja kwa msajili,ikaenda kwa CAG,ikahamia kwenye bunge kupitia kamati ihoji matumizi ya vyama vya siasa,hawa ndio vijana ktk siasa za Tanzania!
  11. S

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Soma tena hiyo post usikurupuke kukosoa!
  12. S

    Mwai Kibaki awadharau watanzania!

    Kama kweli amesema hayo maneno hajakosea kabisa,kama unaona katudharau subiri Jumuiya ya Afrika Mashariki ikamilike halafu utaona nan anatembea sana!
Back
Top Bottom