Search results

  1. J

    John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

    Yuko sahihi kabisa, ignorant, arrogant, stupid and a sadist
  2. J

    Sekretariati ya ajira (psrs: uhalisia wa ajira Tanzania

    siyo kosa lako kuwa na iq ya panya, ni kosa la genetics
  3. J

    Tundu Lissu: Paper Tigers wanatushauri tususie chaguzi zijazo ili CCM wapite bila kupingwa

    Tuelewe mazingira yetu, tujielewe sisi wenyewe na tuwe na nidhamu ndani na nje ya Chama. Asante raisi wa Tz 2020
  4. J

    GPA ya 32, maandiko yametimia

    Uko sahihi na ni wachache sana watakoweza kuelewa ile logic. Pili, kimsingi walifeli sana, km waliwalenga wasomi watapuuza upuuzi kuwa mtu anaweza kusoma na asijue gpa na km waliwalenga wapiga kura wao, most hawajui gpa na mbaya zaidi hawatanunua upuuzi kuwa eti msomi ana degree lakini hajui...
  5. J

    Sekretariati ya ajira (psrs: uhalisia wa ajira Tanzania

    1. Sawa bosi ila mi dada 2. Kwa shule nina; a) F4, division one b) F6 PCB, divison one c) BSc wildlife management, GPA 4/5 d) MSc natural resources management, GPA 4.25/5 e) PGD business administration, Very good 3. Kwa ufaulu huu kweli usipewe nafasi ya usaili kazi ya kufundisha? 4. Uzoefu...
  6. J

    Sekretariati ya ajira (psrs: uhalisia wa ajira Tanzania

    We lazima utakuwa mdau na mhusika wa karibu kwenye fursa za PSRS, please enjoy your loot
  7. J

    Sekretariati ya ajira (psrs: uhalisia wa ajira Tanzania

    Mr Xavier Daudi, Sekretariat ya Ajira (PSRS), hivi kweli katika zama hizi za ukosefu wa ajira Tanzania inawezekana vipi mtu moja pekee atimize vigezo vya kuitwa kwenye usaili wa nafasi ya ASSISTANT LECTURER (WILDLIFE)? Hii nchi nimenyanyua mikono. Nashauri kila mtu TZ sasa aelewe na atambue...
  8. J

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Creation si ndo upumbavu kabisa, inasema mwezi ni mwanga, yani mungu aliuumba mianga mikubwa miwili, yani mungu aliyeumba universe hajui kuwa MWEZI SIYO MWANGA
  9. J

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Mfano, adui wa arab au muislamu ni myahudi ni akili ya mungu
  10. J

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Ndo uwezo wa juu kabisa wa kufikiri? Unaelewa maana ya mtiririko au ile akili tu kuamini kwamba ni kitabu cha mungu, kaisome utaelewa kuwa haina mtiririko wala consistency
  11. J

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Panyakili ndo tatizo la watz wengi including you
  12. J

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Hapa umeongea nini au ndo uzalendo uchwara
  13. J

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Huyo jamaa anastahili kuongoza nchi
  14. J

    Mheshimiwa Rais Uongozi si zawadi wala kipaji

    Chukua signature yangu mkuu, shaka yangu mahakama zenyewe ziko mfukoni mwa jamaa, so kushinda ni ndoto japo itakuwa hatua nzuri ya kupeleka ujumbe
  15. J

    Mjadala: Uchumi Wetu Unaweza Kuhimili Mabadiliko ya Rais Magufuli?

    Tatizo la Tz kila mtu anajua kila kitu, yani operation ya binadamu unaihusisha na uendeshahi wa uchumi wa nchi na unatoa maelezo mareeeeefu kana kwamba unaelewa, (uchumi = wealth creations + distribution of created wealth), bad economy is either wealth not created or wealth created but not...
  16. J

    Inawezekana Hatumuelewi Rais Dkt. Magufuli

    Majority ya watz wanafikiri na akili km zako, binafsi sishangai maana mko wengi sana na ccm yenu
  17. J

    Mbowe ulipofikia lazima uachane na siasa za ushindani; Hausafishiki!

    Pamoja na kuwa akili yako ni ya mafisiem naunga mkono hoja ya Mbowe kuachia ngazi maana tayari ameshatoa mchango wake, zaidi kwa kuwa nchi imejaa low IQ km yako, mimi napendekeza Lissu achukue usukani
  18. J

    Tetesi: Operation KAKUCHA yazaliwa Arusha baada ya UKUTA kuyeyuka

    Nakubaliana sana na habari ya Lissu kuwa kiongozi mkuu wa CHADEMA lakini hayo mengine ya chadema asili ni upuuzi, Mbowe ameshatoa mchango wake inatosha, tujaribu akili nyingine na hiyo akili ni Tundu Lissu
  19. J

    Wanamshangilia lakini wana mashaka!

    Hapa umesema kweli bahati mbaya ni wachache sana wanaelewa hii dhana kuwa maskini wote including ombaomba tamaa yao kumbwa ni ushuke ufanane nao
Back
Top Bottom