Ana maana yake kuandika hivyo De Novo
Ila haya mambo ya kitoto huwa namwachia MUNGU manake hata kwenye BIBLIA inasomeka kuwa ukishindana na mjinga utakuwa mjinga mara mbili yake
Peace Kinoma yule Mzee
Anasema alishapanda ungo na kutaliii sehemu mbalimbali wakati anafanya hiyo PhD yake
Lakini zaidi ukikwama kimasomo hata kikazi ni mtu mwenye ushauri mzuri tu.
Kamsalimie kwake bana upate info zaidi
Je na mikoa yetu majina yetu yana maana gani?
Dar es Salaam
Mbeya
Tabora
Mara
Iringa
Arusha
Singida
Kilimanjaro
Ruvuma
Mwanza
Shinyanga
Kagera
Tanga
Dodoma
Rukwa
Pwani
Morogoro
Mtwara
Lindi
Manyara
etc etc
Dr. Mesaki na wenzake wana kikundi chao uko Changanyikeni kinaitwa JITU i.e Jirani Tulindane. Ni kikundi cha usalama ni kama sungusungu vile
Ni mtu mzuri kwakweli ukiwa na tatizo ni rahisi sana kwake kukusaidia kwa wale aliowafundisha watakuwa shahidi wa haya maneno yangu
hahahahahahahahahahaahhahahah jamaaaaaa wa BujiBuji kaaaaaamuuaaaaaa kuangalia je na maloveeeeeee wachinaaaaaaa wanayoooooooooooo fekiiiiiii kama bidhaaaaaaaa zao zilivyo fekiiiiiiiiiiiiiii? Ngoja akakute anauza majiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!! hahahahaha
Jitahidi pia kuwapelekea yatima, wazee wasiojiweza, wagonjwa waathirika wa UKIMWI, Malaria etc etc, waathirika wa mabomu, waathirika wa mafuriko, nina uhakika valentine yako itakuwa nzuri na ya kupendeza na utakuwa na furaaha na amani
Sikupingi kwenye kumfanyia mpenzio, nduguyo, rafikizo ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.