Search results

  1. L

    Viongozi wa Wilaya Temeke mjitathimini hi barabara kutoka Mbande kuelekea Chanika inakutieni doa

    Hii barabara ni shida sana, halafu Watu wa huko wapo kimya tu kuanzia viongozi mpaka wakazi wenyewe. Zamani magari makubwa kama eicher yalikua yanatoka Gerezani mpaka kisewe sasa hivi mengi yamebadili route yanaenda Kisemvule kwa sababu ya Barbara mbovu. Hiyo barabara ni kubwa sana, Watu wa...
  2. L

    INAUZWA Nauza jenereta ipo vizuri kabisa ni kama mpya tu

    Nauza Jenereta kama unavyoiona kwenye picha hapo na specification zake, unaweza kutumia nyumbani, dukani, salon , au ofisini n.k ipo vizuri kabisa haina shida yoyote ni kama mpya tu. Ipo KIJICHI CCM, DAR, serious buyer nipigie simu 0762689222. BEI 280,000 piga simu kwa maelewano 0762689222.
  3. L

    Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Asante mkuu nimeiona hiyo button na hapa nasurf full mzima, unajua hii PC nimenunua Jana sasa kuna MTU aliniwekea network fresh niatumia intranet Jana , sasa usiku ndo ikawa haiwaki hapo kwenye WiFi, dah toka Jana usiku naangaika kuweka sawa kila MTU nikimuuliza anashindwa kumbe ishu yenyewe ni...
  4. L

    Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Model ya PC ni , HP 8460 core i5
  5. L

    Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Nafanyaje kuupdate mkuu, Naomba inielekeze
  6. L

    Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Bado mkuu, nimefanya ulivyonielekeza lakini bado mkuu
  7. L

    Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Wakuu habari za weekend. PC yangu kwenye wi fi haiwaki on , nikiclick kwenye WiFi haioneshi on au kubadilika ranging inakuwa bluu yaani on, nataka koconnect na internet ya simu nitumie PC, naombeni msaada tafadhali.
  8. L

    Fursa sandals za ngozi au za kimasai

    Mkuu ungenipigia simu . halafu Niko bizw sana na kazi ndo maana sijareply muda mrefu kazi ni nyingi ndugu karibu siku nyingine mkuu.
  9. L

    Fursa sandals za ngozi au za kimasai

    Nipo karume dar, we niunganishe na wateja utapata cha juu usijali , na ukiweza kupata wateja wengi nawe utapata zaidi speed yako ndo pesa yako, kama vipi njoo pm tufanye kazi.
  10. L

    Fursa sandals za ngozi au za kimasai

    Biashara ni maelewano ndugu, bei inategemea na kiatu kilivyotengenezwa ubora wake na muonekano pia , sasa Mimi nauza 8500 kwa wateja wa bongo ila kuna wateja wangu wako zambia na wananunua 10000 kila pea na huwa wanafunga mzigo pea hadi 300 kila mwezi, na pia wateja wangu wa dar wananunua kwa...
  11. L

    Fursa sandals za ngozi au za kimasai

    Hayo manyoya ya mbuzi boss nazungushia kwenye kiatu inapendeza sana jumatatu nitatengeneza halafu nitaweka picha ya hiko kiatu .
  12. L

    Fursa sandals za ngozi au za kimasai

    Pamoja sana mkuu.
  13. L

    Fursa sandals za ngozi au za kimasai

    Ndugu kupitia huu uzi nimeshapata wateja mpaka sasa wamefika 13 na oda imefika pc 83 sasa wewe endelea kupoteza muda wako kukomenti yaani wateja wanaongezeka huu Uzi nimeweka Jana usiku tu , siwezi kubishana na wewe maana sio fundi hujui kitu kabisa
Back
Top Bottom