Search results

  1. chikutentema

    Naomba Kujua Wasifu wa Jaji aliyetoa Maamuzi ya Wakurugenzi kutosimamia Uchaguzi

    Kwanza nianze kwa kumpa pongezi huyu Jaji. Sio jambo dogo kwa Jaji wa Mahakama Kuu kwa Majaji wetu wa sasa wa mwendokasi kutoa maamuzi yenye mtikisiko mkubwa wa kisiasa na kisheria katika nchi. Upepo unavyovuma awamu ya tano, ni kwa Jasiri tu anaweza 'aka-rule against the State'. Kwa Jina ni...
  2. chikutentema

    Jenerali Mabeyo(JWTZ): Wanaotaka kuvuruga amani ya nchi yetu watakiona cha mtema kuni

    Ndg wale mnaaotazama Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino na Mji was Serikali Mtumba , mtakuwa mmesikia CDF akitamka haya. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo amesema jeshi la Wananchi wa Tanzania linafuatilia kauli tata zinazoashiria uchochezi na kuhatarisha kuibua...
  3. chikutentema

    Hawa Waandishi wa Habari wanapoitwa kwenye Matukio, kwanini wanadai malipo?

    Hawa watu siwaelewi! Wengine wanatoka vituo vikubwa tu sintovitaja, wakiitwa kunye tukio iwe halmashauri au vinginevyo wanadai malipo. Wadau wa sekta hii tujuzeni ajira au taaluma hii ikoje katika utendaji na ujira wake.... Mwenye shughuli ndiye analipa?
  4. chikutentema

    Breaking News: Moto mkubwa umezuka katika Soko kubwa Sumbawanga-eneo la Mandela.

    Mji mzima umezizima kutokana na moto mkubwa unaoendeleza kuteketeza soko la bidhaa mbalimbali mjini Sumbawanga. Chanzo cha moto mi bado sijasikia kikielezwa ni nini na Mamlaka zenye Mamlaka hayo. Poleni sana wafanyabishara wa soko la Mandela na Wanasumbawanga kwa ujumla.
  5. chikutentema

    Kuapa kutokupiga kura ni kumwadhibu A na kumfaidisha B

    Hii itakuwa ni adhabu kwa upinzani(A) ambao hawastahili hili. Lakini Pia itakuwa faida kwa ccm (B). Daima uwa ni furaha kwao kama vijana hatujitokezi maana wazee walionyeshwa maji ya bendera huwa waaminifu kwa hawa jamaa. Note: Japo tunayasema haya ya kutaka kuendelea kushiriki lakini si kwa NEC...
  6. chikutentema

    Baadhi ya majimbo ya Kanisa Katoliki kusali(misa) Jumamosi (24/10/2015)

    Hii ni kutokana na ukweli kwamba swala la Uchaguzi tarehe 25 linapewa kipaumbele. Hii haijawahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru. Majimbo hayo ni Moshi, Mbulu na Ngara~Lulenge.
  7. chikutentema

    Kuchagua Mgombea wa ACT Wazalendo ni Kuchagua CCCM maana...

    Huu ndiyo ukweli kutokana na ushirika wa karibu wanaonesha sehemu mbali mbali hasa Sumbawanga mjini. Wasubiri adhabu ya pamoja
  8. chikutentema

    UBUNGO: Jimbo la wasomi sawa na Kawe linalohitaji Mtu na si Mgombea

    Ni ukweli kwamba majimbo ya Dar yanataswira mbili. Kuna majimbo yanayochagua mtu kwa hoja na Credibility ya Mtu. Na kuna yale yanayochagua watu kwa uswahili(wape ngoma, kanga, peleka mdundiko, Wape ubwabwa, peleka diamond nk) Mfano wa jimbo yanayohitaji hoja na credibility ya mtu ni Ubungo...
  9. chikutentema

    Watuhumiwa wa sakata la EPA washinda kesi (Maranda na wenzake)

    Hukumu hiyo imesomwa muda huu na Mh Tenga. Upande wa mashitaka wameshindwa kuthibitishia mahakama juu ya makosa ya watuhumiwa Chanzo: Mimi Mwenyewe. ======================== Update; Magazeti leo 01/09/2015 yameandika; Chanzo: Mwananchi
  10. chikutentema

    Hii ya Media za Ccm Kutuita wahudhuriaji vibaka sio nzuri

    Ni Lugha ya kuudhi. Dharau hii sijui mnaitoa kwa nini? Hata kama hamfuraishwi sio kwa design hiyo Cc: Mzalendo~ leo
  11. chikutentema

    Mbona Kesho inachelewa? Kunani Jangwani Muda huu?!!

    Watu weweeeee! Watu Hureeeee! Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Asiye na Mwana Aelekee jiwe! Asiye na pesa akapande magari ya Uda aende kwenye shughuli za ccm. Aliye na nauli tukutane jangwani. Kama vp tembea kwa mguu arimradi utokee jangwani. Breaking News, nasikia jangwani imefurika muda huu, kazi...
  12. chikutentema

    Sikutegemea Deo Filikunjombe, Kangi Lugola na Luaga Mpina kupenya tundu la sindano

    Wala sio siri kuwa ccm ukiwa kama kada wake na ukawa unatofautiana na misimamo ya chama huwezi kupita salama. Kura za maoni uwa ni kigingi muhimu sana kwa wabishi wote aina ya hawa nilowataja!
  13. chikutentema

    NEC: Fomu ya Urais iliyotolewa kwa ACT-Wazalendo lazima ijazwe na Kitila Mkumbo tu!

    Ni kauli ya tume kuwa haiwezi jazwa mtu mwingine. Kwamba fomu inapochukuliwa NEC si mali ya chama bali mgombea.Ilichukuliwa kwa ajiri ya Kitila Mkumbo hivyo ni lazima ijazwe na Kitila mwenyewe. Hawezi jaza mtu mwingine. Chanzo: Magazeti Leo!
  14. chikutentema

    UKAWA na Wanajamvi: Sio siri kuwa 90% Wanaunga Mkono UKAWA na mgombea wake

    Kama kuna mtu tabisha hili atakuwa na lake jambo sirini. Kabla sijaandika mengi tuanze kutanzama wachangiaji Nani ataandika orodha?
  15. chikutentema

    Haya mazoezi ya ndege za Kijeshi mjini (Dar) yanatia shaka kipindi hiki!

    Imekuwa ni kawaida sasa kadiri siku za uchaguzi zinavyosogea kuona ndege za kijeshi kupita kwa kasi kwa msururu na milio ya ajabu. Tuachane na wiki iliyopita, tuachane na juzi, pia tusahau ya jana. Ni leo, tena muda huu ninavyoandika, ndege kadhaa za kijeshi zinapita chini kwa mbwembwe nyingi...
  16. chikutentema

    Urais: Si kweli kusema uchaguzi wa mwaka huu hautabiriki!

    Kuna mijadara inaendelea. Kila mtu anajaribu kueleza tathmini ya hali ya kisiasa nchini juu ya nani ataibuka kidedea katika nafasi ya urais. Ni dhahili vyama ni viwili katika ngazi ya urais; yaani Ccm na Ukawa(kisiasa hiki ni chama). Ma- prof. na Ma-Dr. wametoa chambuzi zao. Wengine wakiwa na...
  17. chikutentema

    George Maratu wa ITV ni kada wa ccm?

    Nimeona anavyotangaza habari ya ccm kishabiki sana. Mkutano una watu wa kawaida kama mia na kidogo, ila yeye anasema maelfu ya watu. Hivi tafsiri ya maelfu ni ipi? Je ni elfu(maelfu) halisi au kuna tafsiri nyingine ktk siasa?
  18. chikutentema

    Kinachomtokea Lowassa Leo ndio reflection ya litakalowapata watawala wa leo siku za usoni

    Lowasa alikuwa ccm na serikalini. Manyanyaso aliyofanyiwa walifanyiwa wapinzani. Ni sheria na amri hizi ndizo zilitumika dhidi ya upinzani. Lowasa ni waziri mkuu mstaafu. Waziri mkuu mstaafu si mtu mdogo hata kidogo. Hii isifurahiwe na yeyote dharimu maana ''Mbwa ukimfundisha kung'ata, siku...
  19. chikutentema

    Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    Hawa watu wamegoma kusoma magazeti ya leo eti kisa yameripoti habari za Lowassa. Eti wanasema kilichotokea jana kila mtu alishuhudia hivyo hakukuwa na haja magazeti kuripoti leo. Kweli Clouds? Walichoamua eti bora tusome uhuru(jarida la CCM). Ambalo limeripoti ''Magufuli ushindi wa Tsunami''...
  20. chikutentema

    Ccm mnatia aibu matokeo kutangaziwa Polisi!

    Hii imetokea ktk kata ya Kahangala iliyopo wailaya ya Magu. Hii ni Kura za Maoni za udiwani ndani ya kata hiyo tajwa. Kuna balozi wa ccm anasema kuliko kuwa na diwani mwizi wa kura ni bora wakaishi bila diwani. Chanzo: Itv
Back
Top Bottom