Search results

  1. Steph Curry

    Kenya 2022 Mambo ya kushangaza kutoka uchaguzi wa Kenya

    Zitto yupo sahihi sana kupigania Tume huru kabla ya Katiba mpya. Tanzania tunahitaji tume huru kwanza ili waingie watu wanaostahili ambao hao sasa ndio tutawadai Katiba mpya..
  2. Steph Curry

    Mahakama yaamuru Dereva wa "Ndugu abiria" kulipwa Tsh Milioni 150

    Wanamtoaje kazi wakati mwajiri na mdaiwa ni watu wawili tofauti?
  3. Steph Curry

    Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

    Wachaaaa Ruto wako anapelekewa pumzi ya moto muda huu
  4. Steph Curry

    Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

    Hao vijana kule ukikuyuni hawaonekani kwenye vituo vya kura. Ruto atalimia meno kwa kuamini block moja tu itampa Urais.. Mpaka muda huu Tume inasema zimepigwa kura 6m tu. Fanya times two labda zitakuwa 12m mpaka muda wa vituo kufungwa. Ruto hatoboi hapo, vijana wanapiga kura mitandaoni tu..
  5. Steph Curry

    Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

    Huna unachokijua we punguani
  6. Steph Curry

    Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

    On KBC, IEBC wako hewani. Mpaka sasa kira zimepigwa million 6 kati ya kura milioni 22
  7. Steph Curry

    Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

    Huko kwa Mlima Kenya ambako Rutto altegemea atabeba kura kwenye vituo vya kura wamejitokeza wachache sana, na hata hao waliojitokeza ni watu wazima. Wale vijana walikuwa wanajaza mikutano ya Ruto hawapo vituoni sijui hata waliko 😂😂😂.. Na katika sehemu Ruto amepiga kampeni na kutegemea kupata...
  8. Steph Curry

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Uliambiwa utamchoka. Hata huyo kijana utamchoka pia
  9. Steph Curry

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Daaah huyu mwanaume alikukosea nini?
  10. Steph Curry

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Mshauri wa ndoa imekuaje tena?? Hizi post zako za 2017 na inaonekana ulikuwa mlokole. Shetani amekuweza??
  11. Steph Curry

    Crude oil prices have tanked to their lowest levels since Russia's invasion of Ukraine

    Rais wako pia kasema mpaka vita iishe ndio bei itashuka. Hope ulimsikia huko Songwe
  12. Steph Curry

    Kenya 2022 Wakenya kwa kauli hizi, anafaa kuwa Rais huyu ndugu yenu?

    Arakayeshindwa au ambaye hatotangazwa??
  13. Steph Curry

    Crude oil prices have tanked to their lowest levels since Russia's invasion of Ukraine

    EWURA watasema walifanya bulk purchase ya mpaka mwakani mwezi June walihofia bei kupaa zaidi. Kwahiyo tuendelee kuvumilia mpaka mwaka wa serikali ujao bei zitashuka..
  14. Steph Curry

    Nimefika jiji la Kampala, nilitoka Dar es Salaam saa 11 asubuhi

    Ingawa hii story si ya kweli ila kuna gari na gari za kusimamishwa na traffic.. Kuna gari ukiendesha ata ukilimwa tochi traffic wanakuacha upite tu..
  15. Steph Curry

    Kenya 2022 Towards Kenya's August 2022 election, Ukabila is at its peak!

    Mwaka huu lazima kitanuka hapo kwa majirani..
  16. Steph Curry

    Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

    Mafuta yalianza kushuka tangia May.. Hizo impact tujulishwe ni lini. Last time Makamba alisema effects ni baada ya miezi mitatu, May mpaka sasa tayari ni miezi mitatu mbona bei ndio kwanza zinapanda?? Ni vyema serikali inavyopandisha bei ituweke wazi hayo mafuta yalinunuliwa mwezi wa ngapi na...
  17. Steph Curry

    Biashara ya Kamari: Mbadala wa Dawa za Kulevya?

    Betting sio kazi na sikuwa addicted nayo.. Niliamua kuacha tu. Mambo mengine yananipa pesa ndio nimewekeza muda na akili huko..
  18. Steph Curry

    Biashara ya Kamari: Mbadala wa Dawa za Kulevya?

    Nina miaka zaidi ya mitano now sijabrt..
Back
Top Bottom