Search results

  1. Kahise

    Mwenge wa Uhuru na Wasanii

    Mwezi uliopita nilishuhudia Mwenge unakimbizwa katika mkoa wa Kigoma. Ajabu niliyoiona ni mwenge kutembea na wasanii wa Bongo! Zamani mwenge ulijitangaza wenyewe kwa kiwa ulionekana wenye maana kwa kile ulichokisimamia. Leo wanaokwenda kwenye mwenge ni watoto wa shule za msingi! Ili kuwe na...
  2. Kahise

    Mwenye Uzoefu na Photocopier Kyocera TaskAlfa 3051ci, naomba Msaada

    Mimi najishughulisha na kazi ya kutoa huduma ya uchapaji na kudurufu nyaraka. Nina mashine mbili, Kyocera TaskAlfa 3051ci na Konica Minolta BizHub C452. Mashine zote ni colour, zimekuwa zinafanya kazi vizuri. Ila kwa sasa mashine aina ya Kyocera TaskAlfa 3951ci inashindwa kuchanganya rangi na...
  3. Kahise

    Aliyependekeza Elimu ya Msingi iwe Miaka 7 alikuwa anataka nini?

    Nimekuwa nafikiria saaana mpaka leo sijapata majibu muafaka! Pamoja na kusomea ualimu bado sijapata majawabu! Kwa nini elimu yetu ya msingi iwe ya miaka 7? Ninavyojua na uzoefu unavyoonesha UJUZI mkubwa anaopata mtu kutokana na elimu ya msingi ni kujua KUSOMA, KUANDIKA NA KUHESABU! Vitu hivi...
  4. Kahise

    Bei ya Chakula Haijawahi kufikia hapa tangu Uhuru wa Tanganyika

    Ndugu wana jamvi, leo tarehe moja mwezi Oktoba debe moja la maharage linauzwa kwa 75,000/-, Debe la Mahindi linauzwa tshs. 22,500/- hapa Kasulu. Kiwango hiki hakijawahi kufikiwa tangu uhuru wa Tanganyika! Mchele kiko moja imefikia tshs. 2500/- mpaka 3,000/-! Wananchi wa Kasulu hawakoboi tena...
  5. Kahise

    Naomba msaada waa kupata vitabu vya Shule ya Msingi

    Wakuu ninaomba msaada wa kupata vitabu vya Shule ya Msingi, ambavyo ninaweza kupakua toka mtandaoni. English for Standard Seven, Pupils Book. Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi- Darasa la Saba. Hisabati Kitabu cha Mwanafunzi -Darasa la Saba. Sayansi na Telnolojia Kitabu cha Mwanafunzi-Darasa la...
  6. Kahise

    Mwelekeo wa elimu ya Tanzania

    Wadau wa Elimu, kwanza naomba ku declare interest kuwa mimi nilisomea ualimu ngazi ya stashahada. Wakati nasoma shuleni, hasa somo la Historia nilifundishwa na kuaminishwa kwamba elimu ya kikoloni ilikuwa mbaya. Kwamba wakoloni waliwasomesha watanzania wale ambao walitaka kuwatumia kuimarisha...
  7. Kahise

    Ndege Kubwa Kuliko zote Africa

    Wadau ninaomba kupewa uhakika, je ni kweli Ndege zinazokuja Tanzania kwa sasa Airbus a220-300, ndiyo ndege kubwa kuliko zingine Afrika? Kama siyo hivyo, kwa nini watanzania wanazipa sifa hiyo? Ni kwa manufaa ya nchi yetu au tunaonekana watanzania wote ni vilaza? My take Airbus a220-300, zamani...
  8. Kahise

    English Language Syllabus for Basic Education Std III-VI

    Wakuu na Wadau wote, Mimi ninalo tatizo la kuielewa Hii Syllabus ya Elimu Msingi ya 2016. Syllabus hii imeletwa kwetu sisi walimu, tumeambiwa tuanze kuitumia; walimu 2 kwa kila shule walipewa mafunzo ya siku 9, kisha waje kutufundisha jinsi ya kuitumia. NISICHOELEWA ni kwamba Syllabus hii...
  9. Kahise

    Windows 8.1 Activation Code Msaada

    Wakuu, nimeapdate Window 8 kwenda 8.1 kwa njia ya mtandao, sasa nimeshindwa kupata activation code, naomba msaada
  10. Kahise

    Msaada wa Activation Code ya MS Office 2010

    Wakubwa, mimi nimepata Office 2010 lakini ni copy. Nimefanya installation kwenye desktop yangu, sasa nina siku nimepewa alert kwamba nimebakiwa na siku 3 na kama sikuweka activation code itakuwa ime-expire. Anayejua activation code tafdhali naomba msaada.
Back
Top Bottom