Search results

  1. Mkoroshokigoli

    NSSF hakujatulia bado

    Almost a week ametolewa Mkurugenzi NSSF. Leo waziri kavunja bodi. Si bodi wala Mkurugenzi hakuna alokaa muda mrefu pale. Je hawa nao bado wanaendelea na manjonjo ya awam ya JK? Kunani NSSF?
  2. Mkoroshokigoli

    Uwezo wa wanawake kupata mimba washuka Tanzania

    Viwango vya wanawake kuweza kupata mimba nchini Tanzania vimepungua hadi 5.2 kwa kila mwanamke nchini Tanzania mwaka 2015/2016 kutoka 6.2 kwa kila mwanamke miaka ya 1991/92, kulingana na utafiti wa afya nchini humo Kulingana na gazeti la The Citizen nchini Tanzania,utafiti huo uliofanywa na...
  3. Mkoroshokigoli

    Baada ya Mkopo wa NSSF,Kiwanda cha Biotech bado kuanza kazi

    Habari wadau, Takriban mwezi mmoja nyuma,vyombo vya habari vilipata kuripot kuwa Kiwanda cha Biotech cha Kibaha kimeweza kupatiwa mkopo mnono na NSSF kwa ajili ya kukiwezesha kifanye kazi.Pia siku chache baadae Mama Jenista alinukuliwa akisema kuwa NSSF wamewakopa NDC ili kuwezesha utendaji wa...
  4. Mkoroshokigoli

    Pemba: Wafuasi wa CUF wawazuia wa CCM wasichote maji kisimani kwao

    Habari wadau, Leo asbuhi nilikuwa naskiliza Redio Swahiba FM (102.9) ya huko Unguja, kituo hiki kina kipindi cha asbuhi kinaitwa "Amka Nasi".Moja ya habari iliyonifanya niiskilize kwa makini ni hii ya "WAFUASI WA CUF KUWAZUIA WALE WA CCM WASICHOTE MAJI". Wakati habari hiyo ikirushwa hewani ni...
  5. Mkoroshokigoli

    EURO 2016: Ugomvi wa Mashabiki, shida ni nini?

    Michuano ya Euro mwaka huu 2016 imekabiliwa na vurugu sana,tofauti na miaka ya nyuma ambapo mashabiki wa Uingereza walikuwa wakionekana wakilewa sana.Lakini mwaka huu imeonekana mashabiki wa nchi moja kupigana na wa nchi nyingine.Mfano Warusi na Waingereza wamepasuana sana mwaka huu. Sekeseke...
  6. Mkoroshokigoli

    Mahakama yazuilia mali ya Neymar

    Mahakama moja ya Brazil imepiga tanji mali ya mchezaji nyota wa Barcelona, Neymar. Mahakama hiyo iliopo Sao Paulo ilitangaza kuwa inatoa waranti ya kuzuia mali yenye thamani ya takriban dola milioni 50 ya mchezaji huyo wa Brazil. Mali hiyo inashirikisha ndege,jahazi la kifahari na Mali...
  7. Mkoroshokigoli

    Kutoroka kwa EL Chapo: Mkuu wa Gereza na watu wengine wakamatwa

    Kufuatia kutoroka gerezani kwa taikuni,nguli na mzungu wa unga maarufu bwana El Chapo, watu 13 wamekamatwa akiwemo mkuu wa gereza na mabosi wengine ambaow alikuwa wasimamizi wa jela alimokuwa akishikiliwa mhusika huyo. Mexican authorities have arrested 13 more people over the escape of drug...
  8. Mkoroshokigoli

    Gazeti la Mwananchi lapanda bei sasa ni Tshs 1000/=

    Leo asbuhi nilipitia meza ya magazeti nikaulizia gazeti la Mwananchi nikaambiwa halijafika, nikanunua mtanzania, ila wakat navuka barabara kuondoka niliponunua lile gazeti nikaona mzigo mwingine wa magazet unaletwa, nikarud palepale nikamwambia mmoja wa wauzaji magazeti anipe la Mwananchi...
  9. Mkoroshokigoli

    Kwa hamasa niliyoiona huko vijijini ni kwamba elimu ya Uraia imesaidia

    Kwa siku kadhaa nilikua mikoa ya Kusini,ila wiki hii nilikua wilaya ya Ruangwa.Kwa bahati siku hiyo nilishuhudia wananchi wakimsindikiza Mgombea wa CUF.Nililifatilia lile zoez kuanzia hatua ya kuchukua,maandamano mpaka mkutano wao. NILIJIFUNZA KITU:KWamba wananchi kwa sasa wana mwamko sana,kule...
  10. Mkoroshokigoli

    Abdallah Majura ajitosa ubunge

    Nimemuona hapa kupitia Channel Ten akinadi sera zake kwenye Ofisi za CCM Kinondoni.Majura anagombea ubunge kati ya aidha Jimbo la Kinondoni au la Kawe.
  11. Mkoroshokigoli

    RFA, Star TV, Magic FM, Uhuru FM kufungiwa na TCRA

    Mamlaka ya mawasiliano nchini imevipa siku saba vituo arobaini vya redio kwa kushindwa kulipia ada kwa mwaka 2014/15. Kwa mujibu wa magazeti ya leo mamlaka hiyo imesema kuwa vituo hivyo vimepewa siku saba na visivyofanya hivyo vitafutiwa leseni au kufungiwa kabisa. Pamoja na vituo vya redio...
  12. Mkoroshokigoli

    Muuza Madawa ya Kulevya maarufu duniani atoroka jela kwa mara ya pili

    Anaitwa Joaquin au EL CHAPO,ni muuza unga mkubwa na tajiri sana huko mexico.Jamaa ametoroka jela kwa kutembea kwenye mfereji wenye urefu wa km 1.5 .Ni kama Movie ila jamaa ndo ametoroka.Wauza unga wana mtandao mkubwa sana. Mexican drug lord Joaquin "El Chapo" Guzman has escaped from a...
  13. Mkoroshokigoli

    Kikwete awaomba radhi aliowakosea

    Rais Jakaya Kikwete ameomba radhi kwa Watanzania aliowakosea wakati wa utumishi wake wa miaka kumi Ikulu huku akisisitiza hakuna binadamu aliyemkamilifu. Aliyasema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati akizungumza kwenye sherehe ya kuadhimisha miaka miwili ya Upapa wa Baba Mtakatifu Francis...
  14. Mkoroshokigoli

    Kigezo kikuu cha kujiunga na jeshi la Indonesia kwa Mwanamke ni kuwa na Bikra

    Bikra ndo kigezo kikuu na cha pekee ambacho kitafanya mwanamke aajiriwe kwenye jeshi la Indonesia. Japo jumuiya za Kimataifa na mashirika ya Kimataifa yanakosoa, ila Mkuu wa Jeshi hilo anasema hakuna tatizo.. Kama mwanamke hana Bikra kwa Indonesia asahau kuwa mjeda. Na wao wanaamini kuwa na...
  15. Mkoroshokigoli

    Somalia yapokea wakimbizi kutoka YEMEN

    Kutokana na machafuko yanayoendelea huko nchini YEMEN,baadhi ya wakimbizi wa Yemen wameamua kutorokea nchini Somalia ili kutafuta hifadhi. (BBC). MTAZAMO WANGU: Hili linaweza kuwa jambo la kushangaza,hata mie nimeshangaa sana,ila kwenye kuokoa uhai mtu unajikuta huna namna,just imagine mtu...
  16. Mkoroshokigoli

    "Katibu wa Rais, "Prosper Mbena bandia" akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemtia nguvuni mkazi mmoja wa jijini hapa kwa tuhuma za kutumia wadhifa wa Katibu wa Rais Jakaya Kikwete kujipatia fedha kutoka taasisi na watu binafsi. Kamishna wa Polisi wa Kanda hiyo, Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jana...
  17. Mkoroshokigoli

    First Lady ahukumiwa jela Miaka 20

    Bi Simone Gbagbo, mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela. Simone amepatikana na hatia ya kushiriki katika machafuko ya baada ya uchaguzi wa Rais wa Kodivaa baina ya mwezi Novemba 2010 hadi Aprili 2011. Kesi ya Simone Gbagbo na viongozi 82 wa utawala wa zamani...
  18. Mkoroshokigoli

    Kupanda kwa nauli za daladala nyakati za jioni hadi usiku-SUMATRA wamebariki?

    Wadau, Kumekuwa na tabia ya kupandishwa kwa nauli za daladala nyakati za jioni na usiku kwa baadhi ya routes. Kwa mfano kuanzia saa moja jioni na kuendelea route ya Makumbusho-Tegeta huwa inabaadilika kutoka shilingi 400/= mpaka 500/=, na kutoka Tegeta hadi Boko huwa huwa ni 400/= ila ikifika...
  19. Mkoroshokigoli

    Ukiwa kama mdau wa maendeleo tunaomba utusaidie asasi hii

    Wana JF asasi isiyo ya kiserikali ambayo inaitwa HIGH LIFE SOCIAL WORKS ORGANIZATION(HILSWO) iliyopo wilaya ya Ruangwa vijijini ambayo inajishughulisha na uhamasishaji wa usimamizi wa mazingira pamoja na kuhimiza elimu kwa watoto wa kike na kiume.Inaomba mdau yeyote liwe shirika,kampuni au mtu...
  20. Mkoroshokigoli

    Miaka 20 Ya Kipanya kuwatetea wanyonge

    Dar es Salaam. Miongoni mwa Watanzania wengi, kuna vijana wachache walioamua kutumia maarifa na vipaji vyao ili kujiletea maendeleo na kuondokana na tatizo la kukosa ajira, wakijiajiri kwa kazi mbalimbali kisanaa kwa mikono yao. Ali Masuod maarufu ‘Kipanya', ni mmoja wa vijana hao. Yeye...
Back
Top Bottom