Search results

  1. Khantwe

    Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Unajua hata hiyo 16 inahusiana na nini au umekurupukia tu kukomenti
  2. Khantwe

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Hii hali nilijua ni ya muda tu ila naona siku zinavyozidi ndio nazidi kupoteza hamu, ngoja nione mwisho wake
  3. Khantwe

    Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Mimi nakumbuka kama ni form four. Ni zamani sana jamani
  4. Khantwe

    Ushauri: Ndugu wameharibu ndoa ya dada yangu

    Mwambie shemeji kitanda hakizai haramu [emoji16][emoji16]kuna mdogo wangu alitoroka kwa mumewe, akaenda huko kapata mwanaume mwingine kazaa mtoto, amefikisha mwaka mmoja wameshindana amerudi kwa mumewe wa kwanza amempokea...kuna wanaume wana roho nzuri [emoji1787][emoji1787]
  5. Khantwe

    Nimewafukuza "kausha damu" walionitembelea kwa lengo la….

    Eti 'hakuna mke hapa' ....Kama vile ulikuwa umepanga kumuoa
  6. Khantwe

    Rafiki yangu Mwalimu wa Shule Binafsi hajapokea mshahara tangu Januari

    Sio kwenye shule tu, mabosi wengi kwenye makampuni binafsi wanatoa mshahara pale wanapojisikia
  7. Khantwe

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Sijui ndio kuzeeka, siku hizi sina mzuka wa kdrama kabisa. Mimi ni wa kuangalia drama moja miezi miwili kweli???
  8. Khantwe

    Piga Kura

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. Khantwe

    Kama nyama ni ilele, kwanini wanawake wengi hupenda wanaume wenye uume mkubwa?

    Watu mnapenda nongwa sa umemtagi Faiza kwenye uzi huu ili iweje
  10. Khantwe

    Marriage is a loss to every man. Yaliyotokea siku chache kabla ya kifo cha Mr. Ibu

    Siwezi. Mwisho wa siku nitaishia kufanya hayo waliyofanya hao wanawake ni wazi walikuwa hawana mapenzi kwa mume wao ndio maana wakaishia kufanya hayo waliyofanya. Na mwenye wake zake huenda alikuwa anajua kabisa kwamba hawa wapo kwangu kifedha ila hakuona tatizo kwa sababu pesa ipo
  11. Khantwe

    Marriage is a loss to every man. Yaliyotokea siku chache kabla ya kifo cha Mr. Ibu

    Hujanielewa. Sijamaanisha wenye matako wana tabia mbaya...nilichomaanisha ni kwamba ndoa ni zaidi ya physical attraction. Usioe tu mtu yeyote kwa sababu tu unaweza kuafford kuwa naye kwa sababu hakuna ajuaye kesho
  12. Khantwe

    Marriage is a loss to every man. Yaliyotokea siku chache kabla ya kifo cha Mr. Ibu

    Itakuwa mama yake ni katili kwa hiyo kwake kila mwanamke yuko hivyo
  13. Khantwe

    Marriage is a loss to every man. Yaliyotokea siku chache kabla ya kifo cha Mr. Ibu

    Ndoa haijawahi kuwa kitu kibaya. Tatizo mkishaona matako mnakimbilia kuoa bila kujali utu wa huyo unayemuoa...kwa sababu tu una pesa anaamini kila kitu kitakuendea kama unavyotaka mnasahau kwenye maisha kuna kupanda na kushuka
  14. Khantwe

    Hatimaye nimempata!

    Tumuambie au tumuache kwanza afurahie penzi jipya. Hujambo lakini
  15. Khantwe

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Doh nimepitwa huku niliko inashika voda tu, na halotel kidogo
Back
Top Bottom