Search results

  1. J

    Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

    AMANI IWE JUU YENU ENYI WAJA WEMA WA BWANA MUNGU WANGU...!!! Naomba niwaombe radhi kwa kukaa kimya na kutochangia lolote kwa muda mrefu katika jukwaa hili muhimu. Naomba nichukue fursa hii kuendelea kuwafikirisha katika mambo muhimu ya kisiasa yanayoendelea katika siasa za nchi yetu hasa kambi...
  2. J

    USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    Wanajamvi, Kwa muda sasa nimekuwa kimya sana kuchangia na kushiriki mijadala mbalimbali inayoendelea kwenye jamvi letu hii ni kutokana na majukumu yanayonikabili ikiwemo kazi pamoja na shule. Nalazimika kurudi tena jukwaani kutolea ufafanuzi wa kile kilichotokea jana katika viwanja vya bunge...
  3. J

    Wakitaka kuijua kesho yao wasome hapa..!!

    Wengi wameniambia kuwa niache kutumia nukuu za Biblia katika maandiko yangu, lakini hakuna hata mmoja aliyetoa alternatives kuwa nitumie maandiko gani mbadala...kwa hivyo nitaendelea kutumia nukuu za Biblia kwa kuwa ndicho kitabu ninachokiamini na mpaka mtakapofanikiwa kunishawishi kuacha...
  4. J

    Ni kama ilivyoandikwa kwenye Biblia "wana macho lakini hawaoni"

    "Wana macho lakini hawaoni" - Ni nukuu maarufu iliyopo katika vitabu mbalimbali vya dini, ipo katika Biblia na ipo katika Quran. Kwenye Biblia nukuu hiyo imetajwa maeneo mengi kama vile Mathayo 13, Ezekieli 12 n.k.....Kimsingi nukuu hii inawazungumzia BINADAMU ambao huwa HAWAFIKIRI sawasawa...
  5. J

    Ni kama asemavyo KITILA MKUMBO, tufanye vita na ulaghai wa kisiasa.

    Katika hoja zake Profesa Kitila Mkumbo, mwanachama mwenzangu wa kale wa Chadema amewahi kuandika "Kumuenzi Mwalimu Nyerere: Tufanye vita dhidi ya ulaghai wa kisiasa" na katika hoja yake hiyo Prof Kitila anaandika; Katika kumalizia andiko lake baada ya aya kadhaa Profesa Kitila Mkumbo...
  6. J

    Tofauti kati yao na sisi; wajenzi na waharibifu

    Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akishiriki kufyatua matofali, kuunga mkono vijana 53 wa CCM wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu katika shule ya Sekondari ya Nasabagani iliyopo Kisiju...
  7. J

    Mwelekeo mpya: Kifo cha siasa za personality, kuibuka kwa siasa za masuala

    Takribani miezi kumi sasa baada ya uchaguzi mkuu, tumeshuhudia mabadiliko makubwa kwenye siasa zetu. Kwa namna ambayo unaweza kuita ni kasi ya aina yake, taratibu tunabadili mwelekeo mzima wa siasa yetu kutoka katika kutaja personality za watu na kushambulia watendaji na viongozi wa Serikali na...
  8. J

    Kaka yangu Mtatiro, usifuate njia ya waliopotea

    Linaandika Gazeti la Mwananchi; ''BUNDI WA TIMUA TIMUA ATUA CUF NYAMAGANA'' katika habari kuna taarifa kuwa Viongozi waandamizi watano (5) wa CUF wilayani Nyamagana wamefukuzwa. Viongozi hao akiwemo Mwenyekiti wa Wilaya hiyo Ndg Salum Mkumbukwa, aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo Ndg Faida...
  9. J

    Namuunga mkono Mhe Magufuli, lengo lao usifanikiwe

    Mimi sio mwanasiasa mkongwe na labda niseme kuwa bado sijawa mwanasiasa, maana siasa ina miiko yake na ni taaluma pana yenye mawanda yasiyomithilika, ila ninakubali kujjitambulisha kama mwanafunzi wa siasa, ninayeiishi na kuwahi kushika nafasi kadhaa za utumishi wa kisiasa katika vyama vya siasa...
  10. J

    Adinani Livamba: Viongozi wa Upinzani Afrika ni Madikteta

    _VYAMA VYA UPINZANI AFRIKA VYAONGOZA KWA UDIKTETA NA KUMINYA DEMOKRASIA NDANI YA VYAMA VYAO_ Na Adinani Livamba. Neno _demokrasia_ lina maana nyingi, na hakuna maana moja inayokubalika kwa wote wanaolitumia. Hata hivyo kuna sifa kuu moja ya DEMOKRASIA inayokubalika kwa wote. Sifa hiyo ni...
  11. J

    Nimewaelewa UVCCM, Pole Mwenyekiti wa CHADEMA

    Naomba nianze kwa kunukuu sehemu ya TAMKO la UVCCM kama ifuatavyo; Kutokana na namna TAMKO linavyojitosheleza sina sababu ya kuongeza neno zaidi ya kuwapongeza UVCCM kwa kuongea ukweli wooote. NB; Itakuwa sio muungwana tena itakuwa nimekosa hata chembe ya Utu nisipompa pole kwa yale ambayo...
  12. J

    Msisitizo; CHADEMA kuna ombwe la uongozi

    Leo nitaanza bila salamu, Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa; Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo...
  13. J

    UVCCM & Mtatiro, I’m disappointed…!

    Kwa kuwa tu nikianza kwa nukuu za Biblia huwa napata meseji nyingi (PM) nikishambuliwa na kukosolewa kana kwamba wanaostahili kunukuu Biblia ni wale tu “wasaka demokrasia” leo nitaanza uzi wangu kwa nukuu ya maneno ya Mtume MUHAMMAD (S.A.W, Juu yake rehema na amani) amesema; “Hamtaacha...
  14. J

    Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

    “TUNATAKA kuona taifa hili likiwa na vijana jeuri na wenye kujiamini, wasiwe vijana waoga aina ya ‘ndiyo’ bwana, mkubwa; vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana wenye misimamo thabiti dhidi ya...
  15. J

    Hongera Patrobas, ila umenielewa vibaya

    HONGERA PATROBAS, ila umenielewa Vibaya. Katika sehemu kubwa ya maandiko yangu hapa jukwaani yamekuwa yakijikita kuainisha udhaifu wa Upinzani na hasa CHADEMA, na katika kuizungumza CHADEMA naitaja sana BAVICHA, sihitaji kurudia tena kusema sababu ya kufanya hivyo kwani nimeiweka bayana mara...
  16. J

    Nimeamua kumpuuza Tundu Lisu

    Tuanze kwa AMANI.. Bwana huyu ameshazoea kuwa kituko "A laughing doll" kwa watu hivyo mara nyingi anapotoa kauli zake "hafikirii" uthabiti na matokeo ya kauli hizo. Hivi karibuni katika mahojiano yake ktk vyombo vya habari amenukuliwa akimkashifu Mhe Rais, Dkt John Pombe Magufuli kuwa ni mtu...
  17. J

    John Mnyika John, Mbatizaji anayetuhumiwa

    Siku zote nimekuwa nikimuita Mbatizaji, Ni mtu mwenye maarifa mengi, asiyejikweza na mwenye ustahamilivu wa kipekee, kwa sifa zake hizo alifanya watu wengi wampende, walio ndani ya CHADEMA hata nje ya CHADEMA, mimi ni miongoni mwao. Katika Biblia ipo habari ya Mhubiri aliyependwa na YESU...
  18. J

    Ushuhuda: Freeman Mbowe ni kiongozi dhaifu

    Jina: JULIANA SHONZA Kabila: Mnyiha wa Mbozi Elimu: Shahada ya Uzamili (Masters on Sociology) – Shahada ya Uzamivu ( Phd – UDSM) on progress. Ndoa: Nimeolewa Umri: Miaka 30 Dini: Mkristo wa Dhehebu la Pentekoste Kazi: Mbunge wa Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  19. J

    CHADEMA tafadhali sana, mtatuulia vijana wetu

    Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza. Viongozi wa CHADEMAleo wametoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao wakitoa ishara ya kupinga kile wanachokiita kukandamizwa kwa uhuru wa kujieleza. Wafuasi wao kwa Bahati...
  20. J

    Msaada nyumba ya Jirani; CHADEMA haitajengwa na Lowassa

    Miongoni mwa mambo ya msingi sana ambayo kila mwanasiasa ama taasisi ya siasa wanatakiwa kuwa nayo ni DIRA, Dira ndio inatoa mwelekeo kwenye mpango kazi kuwa mnaamua kuwa na taasisi ya aina gani, ifikie malengo yapi na kwa muda gani. Mkikosa DIRA taasisi yenu siku zote itaendeshwa kwa mitazamo...
Back
Top Bottom