Search results

  1. M

    Mama Wema Sepetu amvaa Whozu kuishi kwa Wema

    N!o j Did 6r.rlmr
  2. M

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    kama unahitaji nyumba mtwara two bedroom, public toilet,sebule na jiko ipo karibu na airport mtwara tafadhali ni pm
  3. M

    msaada tutani tyre goodyear 265/50r20

    habari waungwana natafuta tyre za goodyear size 265/50r20 kwa maana ya kwamba nahitaji kununua. naomba kujua zinapatikana wapi na shiling ngapi natumaini nitapata msaada hapa
  4. M

    Nauliza wakuu wenzangu je jina lako lipo sehemu gani katika mwili wako?

    kama ndivyo hivyo jina lako haliko maskioni, jina lako liko midomoni mwa watu
  5. M

    Top ten wonderful names from Tanzania

    mfwalamagoha ulanzi wa ng'ombe mwakibaasa-mbunge wa iringa mjini 1995 nccr-mageuzi
  6. M

    Yajue Makabila Yanayopatikana Tanzania Visiwani ( Zanzibar )

    mbona sijawahi sikia mtu anaongea ki-iringa au kimorogoro huwa nasikia anaongea kibena,kihehe au kinyakyusa ila huwa naskia mtu anaongea kipemba halafu kumbukumbu zangu zinaonesha kipemba ndio kilisanifiwa na kutuletea kiswahili hichi tukitumiacho kama lugha ya taifa hivi hii haitoshi kuamini...
  7. M

    i wonder if heaven....

    [QUOTE=SIRLIMU IBWE;Hapa sina kuchangia. Hili swala ni la kiiman zaid. sio imani kiviile ni komoni sensi tu,wale washkaji mabwanyenye watapungua unene ili tuwe nao na miili inayoendana angalau?
  8. M

    i wonder if heaven....

    kwa wanao amini; ivi mbinguni tutapewa miili na rangi mpya let say watu wote tuwe wa blue,au wote tuwe black kusiwe na masuala ya wazungu na waafrika, waarabu n.k wale washkaji kina emolo watarefuka? Ivi kweli tutakuwa level sawa na kina ibrahim na nuhu wa kwenye vitabu vya dini? hakutakuwa...
  9. M

    mgunduzi wa maziwa

    ivyo tu!mi kila mara najiuliza aliyegundua pilau,ilikuwaje akatafuta bizari,vitunguu saum,mdalasini nakadharika akamix kwenye mchele akafanya mambo ya jiko ikatokea kitu PILAU!afu alijuaje ukimwagia na kachumbari ndo inazidi kunoga
  10. M

    msaada:inbuilt modem kwa laptop

    wakuu au ndo mmelizika na asante za kabla ya msaada, mnapotezea wadau wa IT!
  11. M

    msaada:inbuilt modem kwa laptop

    wakuu wa tech nina mtumba wa esprimo mobile d9500 nimegundua kuna sehemu ya kupachika sim card nimejaribu kugoogle nijue namna ya kutumia naona nyota tu.nimeonelea si vibaya nikiomba msaada kwenu,thanks in advance
  12. M

    Bondia Francis Cheka apagawishwa na mauno ya mremgo

    Wacheni jamani ata yy anatamani lakini mbona demu mwenyewe mbaya angetaka mambo hayo angetafuta mtu waukweli.
  13. M

    Is P.diddy a vampire?

    Asha d, madona wa kwenye 4mins waliyofanya na timberlake naye anaingia kwenye list kama sio vimpaire basi ye ni kama wale watu wa kwenye series ya the event.
  14. M

    Is P.diddy a vampire?

    Mkuu bajabiri ili nisikupoteze maana ya vimpire hapa usiangalie kamusi, angalia muvi kama the twilight saga au vimpire diaries,utamwelewa vimpire p.diddy. Yo bobsambeke,ukimsoma diddy kwenye hizo lines utajua anajua kabisa anatakiwa awe grown up sasa,lakini ye bado na haitakuja tokea na hizo ni...
  15. M

    Is P.diddy a vampire?

    Huyu jamaa ukimwangalia toka kwenye video ya ''hate me now'' yuko na nas escoba hadi sasa na album yake ''last train to paris'' yuko vilevile,ki-vimpire vimpire hellena angemwuliza,'for how long he has been 22yrs old' guys did you notice this,p.didy is not growing old!
  16. M

    Koleji mamtoni, jobu kitaani? Kakwambia nani

    mkulu saint, nliiona kwenye mwananchi gazeti ya jmosi moko ivi so nachotaka hapa ni kujua mwana we ndo mwandishi au ndo vile ume-copy uka-paste
  17. M

    Tujikumbushie MOVIES za zamani za KIZUNGU!

    kitu only the strong a.k.a palanawe the big boss- bruce lee hard target, van dame, tc 2000- bill blanks, red scopion-doff, snake in the eagle shadow,snake in the monkey shadow na mr nice guy na police story-jackie chan american shaulin....
  18. M

    Wanatuibia:Tuache kununua sinema za KIBONGO

    mi sina ubaya nao walipoanza walikuwa very promising,walifikia mapema sana maendeleo waliyofikia lakini kwa mshangao wangu gafla wamesimama hapo hapo walipo hawaendi mbele wala popote.yalikuwa ni matumaini yangu kwa hii technology iliyorahisishwa wangekuwa washapiga hatua kubwa!kumbuka...
Back
Top Bottom