Search results

  1. georgina george

    Hiki kidude kinaitwaje na kinachezwa vipi?

    Ukiona akili inavurugika achana nacho kwanza, pata K-Vant ya baridiiii kisha kirudie tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. georgina george

    Rais Magufuli aongeza muda kwa usajili wa laini kwa alama za vidole

    Yelewiiii! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. georgina george

    Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

    Duuh, maskini!!!
  4. georgina george

    Ajali ya basi la wanunzi Arusha

    Jitahidi sana kujenga mazoea ya kusoma thread zilizotangulia.
  5. georgina george

    Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

    Hi Dina! Ndiyo maana nimeandika kuwa, nashukuru kwa yote.
  6. georgina george

    Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

    Price, soma uzi wangu wa kwanza, utaelewa nilichoandika hapa.
  7. georgina george

    Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

    Asante sana Mamndenyi! Nimefunga kizazi.
  8. georgina george

    Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

    Mkuu, hata 'pole' tu, nayo inaongeza faraja!
  9. georgina george

    Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

    Japo sikubahatika kupata kile nilichokua natafuta, lakini nashukuru kwa yote!
  10. georgina george

    Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

    Salaam wana JF! Nilileta uzi hapa wakati fulani mwezi April, 2014 kwa ajili ya kuomba ushauri wa kitabibu baada ya kuwa njia panda; rejea uzi wangu: 9203690. Namshukuru mwenyezi Mungu kwa yote kwani nilifanyiwa OP tarehe 13 May, 2014; OP ilichukua saa tatu na hivi sasa naendelea kuuguza mshono...
  11. georgina george

    Dada niliyemtoa bikra ameniliza sana

    Halafu wewe inaelekea ni mtu mzima sana; huwa sipendagi vidume vinavyolialia mie. Shame on you.
  12. georgina george

    Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

    Sijafanikisha bado; nadhani huyu Doctor wa pili atakuwa sahihi... Kesho ni Mei Mosi - kaazi kweli kweli.
Back
Top Bottom