Search results

  1. B

    Urgent:job opportunities world vision tanzania:

    For sake of advise to World vision recruitment team, the same procedure you use to inform us about these opportunity..Please use the way to inform us again the number of people and the name shortlisted.....
  2. B

    mabosi Wa Kihindi Ni Washenzi

    Sema ni wewe ---- 2kusaidie....wahindi c o wa2..mnaweza mkapiga post moja but yeye akalipwa mara 10 yako.. We ukipata sehemu nyingine sanuka....
  3. B

    Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

    Hapo kweli kazi ipo,,,namshauri aende kwa wakwe zake (wazazi wa mumewe) akale pumzi kidogo....
  4. B

    Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

    Hapo kweli kazi ipo,,,namshauri aende kwa wakwe zake (wazazi wa mumewe) akale pumzi kidogo....
  5. B

    Wadau waliofanya interview SUA ktk post mbalimbali.tar 21/11/2012..vp kuna mtu kabahatika..?

    :flock:Wadau kwa wale waliofanya interview SUA tarehe tajwa hapo juu..Kuna yoyote kaitwa, tupashane habari...:music::music:
  6. B

    Ninamaliza form six mwezi wa pili,je ninaweza kupata tempo work??

    Dogo huko too ambitious jaribu kuwa realistic....Kiufupi huna profession yoyote ya kuajiliwa na NGO's,. kwa kukushauri may be kama wewe umesomea ujasiliamari nazan sasa ni wakat wakufunguka, jipange,..unaweza ukawa na pesa kidogo , then angalia biashara gan ufanye...by using entreprenuership...
  7. B

    Job application hii imenichanganya sana naomba msaada

    Kwel m2 mzima utakuwa umepitia madrasa au sunday school...au mzee njaa tu za kutafuta kazi hadi unarejea vitabu vya Mungu..aaah jokes, kila la kheri mzee hope watakushort list and finally employed...Cheers
  8. B

    Job application hii imenichanganya sana naomba msaada

    Kwenye C.V weka majina ma3 ya wadhamin wako yenye namba zao za cm na email adress, pia weka historia yako ya salario kwa kila kazi uliyopitia kabla ya kuomba hii...Cover letter elezea ujuzi au elimu yako itaisaidia kampuni hiyo nini..utaleta changes gani kwenye kampuni than b4 ..half mwishon mwa...
  9. B

    Urgent:job opportunities world vision tanzania:

    Wewe ----- nini..aaaaah.,jokes! Issue ni kwamba range ni shillingi ngapi? kwahiyo post..chek kwenye salary scale zenu hapo..!!Nilipataga post fulani usahili ulikuwa pouwa tukashindwa kukubaliana salario..but nikabushiit ikawa imekula kwangu kutokana na maandalizi kabla ya...
  10. B

    Kuna mdau anawafahamu vizurI CPF Kampuni ya kithailand na GRM-International

    Aaaahhh Mdau umenikumbusha mbali saaana enzi za mwalimu kipindi hiko man mayai yanauzwa kwenye galoni..so kwa mtazamo wangu wa harakaharaka naona kampuni hiko pouwaaa..so mdau kwanini siasa unazan..?? Cheers
  11. B

    Wadau waliofanya interview SUA ktk post mbalimbali.tar 21/11/2012..vp kuna mtu kabahatika..?

    Post zilikuwa nyigi kama Reseach Associate, Project Assistant, Field officer n.k..Vp kuna mdau yoyote kabahatika..Tujuzane mazee.. Cheers
  12. B

    Kuna mdau anawafahamu vizurI CPF Kampuni ya kithailand na GRM-International

    Kuna mdau anazifahamu vizuri hizi kampuni, zinajihusisha na nini zaidi..Cheers heri ya mwaka mpya kwa wadau wote uwe mwaka wako wa mafanikio..2013
  13. B

    Urgent:job opportunities world vision tanzania:

    Mdau naona uko jikoni, Ni kweli email inafanya kazi. Na mimi njimeshaaply post ya Livelihood Manager-Kigoma/Tanga. Nilikuwa nauliza kwa post hiyo salary ina range kiasi gani.?? au ni makubaliano..
  14. B

    Mikoa ya kuanzia maisha

    Acha ubwege wewe..yaani bado una mawazo mgando kwa elimu yako au ulichakachua aahhhh..jokes:crazy:..Maisha unaweza ukaanzia popote ..Vitu common sense vya kuzingatia kwa kukusaidia ni..1-urahisi wa kupata huduma za kijamii kama hosptali, shule, sokoni, nyumba, roads, nyumba za ibada nk...
  15. B

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    Tafuta kazi sehemu nyingine kijana, chukulia hiyo kama challenge... acha kulalama ni kweli hawo jamaa hawafai, lakini hawajakukata mikono...aaaahhh
  16. B

    Kiwango cha mshahara

    Sio lazima TANROADS uende, Hii ni forum so kuna m2 atakupatia jibu zuri, labda anaweza akawa mfanyakazi wa TANROADS au.....vuta subira
  17. B

    TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    Ufupi ni relative term inategemea unamlinganisha mtu with respect to whom ..then hapo ndo utaconclude that Juma or anybody is shorter as compared to Law or anybody. Coming to you are topic si kweli kwasababu matatizo ya mtu ni mwenyewe binafsi na mara nyingi yanahusishwa zaidi na kutojiamini na...
  18. B

    Wanaotaka kuhama kazi ofisini ni Wengi Kama graduates wanaotafuta kazi

    Sababu tano za mwajiriwa wa Serikali kutafuta sehemu nyingine 1-Ubinafsi wa mabosi, Bosi anakula na wakubwa wenzie watu wa chini hawapati hata punje 2-Poor communications- Uhusiano mbovu kati ya mwajiri na mwajiriwa. Vikundi vichache vinapata taarifa kuliko wengine, wale ambao wanachelewa kupata...
  19. B

    kuitwa interview Chemonics

    Sasa wewe junior member..vp baada ya kufanya usahili ikawaje..?? feedback walisema watakupa lini..manake hata mimi nafukuzia sema nilikuwa nje na internet ilikuwa low so ckuweza kufanya telephon interview....
Back
Top Bottom