Search results

  1. V

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njo Babati manyara (Galapo) nije Kisarawe, Kibaha au Dar popote.Pia Arusha Arumeru su mjini. Sekondari. reply via gmail. vitusmarandu.vm@gmail.com
  2. V

    Wanafunzi mliofeli kidato cha nne msikubali kutumika kisiasa

    Mbunge analipwa sjilingi ngapi? Je walimu, hata wa private wapo kwenye mgomo mana wengi wa walimu wa shule hizo walipangwa porini wakachukia wakaondoka, wapo binafsi kwa machungu tuu.mitiani ilikuwa simple, ishu hizi wanazijua wanafunzi na walimu wao, den serikali, na wanasiass, hata wangefaulu...
  3. V

    Kwanini seminari nyingine hazifanyi vizuri ukilinganisha na zile za KATOLIKI?

    Nchi hii haipo kusema kweli, kila kitu ni kuficho. Hayo ndio matokeo kudato cha pili na nne, isisingiziwe uhaba wa walimu wala maabara. Kwani shulezenye vitu hivyo ndo kwana zimeongoza kufeli, mfano hapa manjara duru sek haina maabara ila imekuwa ya 12 kimkoa kwa kuzipita shule kongwe kama...
  4. V

    Kwanini seminari nyingine hazifanyi vizuri ukilinganisha na zile za KATOLIKI?

    Kumbukeni kanisa katoliki ndilo kanisa mama ya makanisa yote duniani, madhehebu mengine yamejitoa kwa kushindwa mashart magumu ya kanisa, et kuoa ni lazima, je mapadre na masister wangepata wapi muda wa kusimamia elimu mchana na usiku kama wangekuwa na wake au waume zao, usiku ni mda wa kilala...
  5. V

    Moshi vijijini: wilaya yenye utofauti kidogo na nyingine..

    Rombo ni jamhuri ya kipekee.ndio wilaya pekee itoayo usafiri wa moja kwa moja kwenda nairobi, dar, tanga mjini, karatu, singida, arusha, mombasa, n.k. Kwa sasa tunataka usafiri wa ndege, kwa hiyo karibuni wawekezaji.
  6. V

    Waalimu wapya tunapostiwa lini?

    Kila mtu ataongea lake subirini ila mwez huu hauta isha mashule hayana walimu
  7. V

    Wasanii wa filamu wapanga kugoma, kisa wameambiwa hawana elimu ya kutosha

    Mi huwa hata kushuti tuu ni tabu. Wasome elimu ya sanaa wasiwe na kubahatisha
  8. V

    PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

    Ishu ni kuwa arusha ni kama nchu iliyo huru si kama baadhi ya maeneo kama dar es salaam. Kamaarusha in mchanganyiko wa watu kwa nini dara isibadilike? Semeni ni kwa nini? Tunajivunia uvumilivu wa kuonewa na wanaojiita majoka na kujivua wameshindwa kabisa. Mie nacheka mana huwa nyoka...
  9. V

    ukweli kwanini serikali ya CCM imekubali LEMA APEWE UBUNGE wake

    [i]ulichoandika ndivyo na roho yako ilivyo. Tatizo ni ukurutu wa kutu ulio nao kwa uelewa finyu. Mwisho wa maandiko haya ya mtapo uu karibu. Usifikiri umechangia kitu mwana! Tunao mda wa kukujibu kuwa ujumbe wako umefungiwakwenye jeneza na unanuka kuliko maiti mana tumeufanyia postmatamu...
  10. V

    PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

    acha kuongea ujinga. Kumbuka hakuna asiyekula sote tuna tumbo ila hapa nilipo wangi wameweka boda boda zao mafuta wenyewe wengine wamewekewa na wazalendo na wapenzi wa chadema. Hata mimi niwaunga mkono kwa hili.
  11. V

    Darasa la saba waliopata maksi 60 nao kubebwa kwenda sekondari - Agizo la Kikwete

    Kwa kweli mimi ni mwalimu na kubwa ni kuwa wanafunzi wa sasa ni waoga hata kuongea kidogo anachojua ni vigumu. Ila la msingi mfumo wa elimu ni mbovu wote kwa sababu zinazojulikana kubwa likiwa ni siasa chafu kwa elimu yetu hii. Tusipo weka tume huru ya elimu, du itakuwa madudu heri ya mwaka huu...
Back
Top Bottom