Wakuu heshima mbele,
Nauliza hivi kiwandani wazo cement, wanauzaji kwa tani 1, yaani 20 bags, nina kisehemu nauza cement, nadhani nikiwa nanunua direct kiwandan walau ka profit katapanda panda, na pia utaratibu wa kununua huko kiwandani upoje?
Tafadhali kwa anaefahamu naomba msaada.
Mimi sio mtaalamu sana!ila inabd uwe na LNB ambayo itakupatia local channels,pia dish la dstv ni dogo,local channel kama itv inapatikana kwenye dish la futi 6!
Kumbe aliyataka mwenyewe!kila siku wanatangaza tunza namba yako ya siri!huwa haelew?ilibd huyo mtu wa m pesa angemrejeshea simu yake ili aweke namba yake ya siri!mpe pole tu huyo jamaa yako!
Mkuu ni kweli kabisa!
Mimi sijawahi ona ndege abiria wanazidi! Siku moja tulikua tunatokea Kilimanjaro kupitia Znz, ndege ilikuwa imeshajaa ili hali kuna abiria kutoka Zanzibar kwenda Dar. Wakapanda abiria wanne; hakuna seat, wakagoma kushuka! Ilikua kizungu mkuti, ikabidi sie abiria ndio...
Mkuu mshukuru mungu kwa kukupa watoto!mtoto akiwa mtundu ndio vizuri,asipoharibu atajifunzaje?kuna watu wanawatafuta hao watoto wa kuwavunjia hizo screen za tv hawawapati!kila siku wanakesha kwenye maombi!mshukuru mungu kwa kola jambo mkuu!
Mkuu kwa mafund wa kibongo wanazingua!nshaongea na mafund watatu kila mmoja anasema vyake!thts why natafuta humu jamvini kama kuna mtu anayemiliki hiyo aina ya gari ataleta practical view!
Uhauri huu utawasaidia na members wengine pia ambao wanahitaji kununua na kumiliki aina hii ya gari!
Wakuu nilikua naulizia kuhusu durability ya hizi gari ndogo za mizigo SUZUKI CARRY!zipo tofauti tofauti,ni zipi ambazo mashine haisumbui?zipo zenye 4WD,zenye nozzel,zenye injection,jamana mwenye uzoefu nazo hebu atumwagie hapa!
Nawasilisha wakuu
Pole bidada kwa kukosa usingizi!sijaweza kusoma reply zote,ila tatizo kama lako linasababishwa na stress!ukiwa na kitu kinakusumbua kichwa unakiwaza sana hata umeze piriton,nakuambia hutalala!nakushauri hebu jiandikishe everning classes,halafu uwe unapiga book usiku kucha uone kama hutalala!kwa...
Wakuu polen na majukumu,mim mwanangu ana miaka 4,usiku huwa akiwa usingzin anatafuna meno,hv hii ni tatizo gani?na tiba yake ni nini?nawasilisha wakuu kwa ushauri.
mkuu monalisa wapo opposite na shoprite ya kamata!kuhusu bizz za wachina ndio zao hizo!risit hawatoi wala nn!nshawah kumkomalia mchina kariakoo atoe risit ya tra,bahat yake umeme ulikua umekatika!wasanii kweli yanh
MS usiingie kivingine bana!tunapenda kusoma unavyoandika!hata waheshimiwa wanakufahamu kwa ID yako ya Ms!mbona dada yetu FF haingii kivingine,though siku hz kapunguza vapour.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.