Search results

  1. Rich Woman

    Gas Boom to Transform Mtwara Port

    Come 2030 and the Mtwara Port would be handling some 28 million tonnes of traffic, thanks largely to the gas boom in Mtwara and Lindi regions. A huge leap indeed for the Port located 580 kilometres Southward of Dar es Salaam whose current capacity stands at a mere 400,000 metric tonnes...
  2. Rich Woman

    Usiwe mwepesi wa kulaumu

    Wengi tumekua wepesi wa kulaumu hasa linapokuja swala la kutokuitwa kwenye usaili ilihali unaamini una vigezo vyote na wakati mwingine tumekua tukisema watu fulani wanapendelewa ila unapolaumu, je ni kweli ulifuata maelekezo yote uliyotakiwa kuyafuata kabla ya kutuma maombi ya kazi? au unalaumu...
  3. Rich Woman

    Bado Nipo

    Kitambo sana sijatia magulu humu ndani mara nyingi Himidini, mwallu na Mphamvu mmeniita ila sikuitika si kwamba nimeondoka hapana ila siwafichi nilitetereka kidogo sikumaliza mwaka vizuri kiasi hata nguvu za kuingia hapa ndani sikua nazo kabisa... Ashukuriwe Mungu ambaye siku zote hatuachi...
  4. Rich Woman

    Nawamiss Ila......

    Kitambo kimepita sijatia magulu humu ndani kwa wenyeji na wageni pokeeni salamu zangu.. Nimewamiss sana ila...nilikuwa busy kwenye kampeni ya kutunisha mfuko wangu kama mjuavyo jina linasadifu haina haja ya kujielezea kwamba mimi ni nani.. Salamu ziwafikie Mphamvuwangu wa moyo, Arushaone...
  5. Rich Woman

    Kuna Wakati Nachoka....

    Huwa nakosea katika maisha yangu siku hadi siku.. Katika kauli zangu kuna uongo nimeleta aibu machoni pako nisamehe Mungu mwenye rehema Hata na hizi pesa nilizonazo ila kuna nyakati nachoka kuna nyakati nashindwa Mimi ni mtu tu...
  6. Rich Woman

    Hello

    Hodi humu ndani nawatafuta wenyeji wangu
Back
Top Bottom