Search results

  1. M

    Rwanda yapiga marufuku adhana na miziki makanisani

    Jenerali Kagame ndie aina ya kiongozi anayehitajika hapa kwetu.......sheria ziko wazi kuhusu uchafuzi wa mazingira ikiwa inahusisha na kelele za mihadhara na usumbufu kwa raia...lakini kuna serikali na hakuna chochote kinachukuliwa dhidi ya uvunjifu huu wa sheria,msikiti wa mtambani ni moja ya...
  2. M

    Kingunge amechanganyikiwa?

    Waraka unaelezea sifa za kiongozi,na kwa kuwa imani za dini husaidia watu kuwa na hofu ya Mungu itasaidia kupata watu wenye busara kutuongoza.Vyama vya siasa CCM ikiwa ni moja ya vyama vimekwenda nje ya utaratibu wa kupata viongozi,zamani afadhali sifa za kiongozi zilikuwa zikitazamwa ili kupata...
  3. M

    I will retire after 75, says Museveni

    Hili ni tatizo kwa viongozi wa afrika,Mu7 umaarufu wake unapungua kwa wananchi wa uganda,na kwa kung'ang'ania kukaa madarakani pamoja na mazuri aliyofanya kwa taifa la uganda si jambo jema.Kutoweka mfumo mzuri wa kupata viongozi wazuri baada yake si jambo jema.Akidondoka muda wowote itapelekea...
  4. M

    Gabon's New Interim Leader Sworn In.

    Siku 45 ni chache kumpa huyu mama nafasi ya kutayarisha uchaguzi....ni dalili kuwa mtoto wa hayati bongo atapewa ukuu wa nchi......ndio afrika hii....ukipata uongozi unataka utawale kifalme hadi ufe
Back
Top Bottom