HERE IS WHERE YOU GET INSTANT NEWS AND UDATES...
PLS ADD TO THE LIST TUNUFAIKE ZAIDI...
NOT ARRANGED IN ORDER...
1. http://www.dailymail.co.uk/sports
2. NoEasyGames.com
3. FootballFancast.com
4. footylatest.com
5. footballraw.com
6. backpageheadlines.com
7. MIUSoccer.com
8...
serikali yetu inawaangamiza vijana mashujaa na hodari wa kulipigania taifa,kwa kisingizio cha utovu wa nidhamu, sasa hatujui kesho nani atasimama kututetea mbele ya mafisadi!!
Chuo kikuu cha afya muhimbili kimewafukuza chuo baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa tano na makumi wengine wamesimamishwa masomo kwa miaka miwili kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kutumiwa na chama pinzani(chadema)....inasemekana wanafunzi hao waliandaa na kushiriki katika maandamano ya amani kudai...
wewe mamaisara....mbona huwazi yanayowapata wa tz wenzio?acha ubinafsi, kwa kuwa nduguyo kafariki ndio umhukumu dr.uli? kwa taarifa yako...muhimbili wodi ya watoto, watoto 500 hufariki kila mwezi kwa kukosa dawa na vipimo muhimu, je hawa si zaidi ya huyo ndugu yako mmoja? pili,..muhimbili wodini...
ameungana na akina hillary clinton?......ila kaa ukijua waingereza wana maslahi yao kwenda huko ghana....so nasita kukuunga mkono kuwa rais ameenda kuzika huko ghana ili na sisi watz tukipata msiba waje kutuzika!!!!.......tunachosema rais kikwete atulie ikulu atafakari namna ya kutusaidia...
Namala Mkopi
Just be Informed; Nimeitwa Central Police sababu kuna hati ya kukamatwa mimi Namala Mkopi kwa kosa la kuto tii amri ya mahakama.
Amri nilopewa inasema hivi;
MAT isiitishe mgomo na members wa MAT wasishiriki kwenye mgomo!
Just that U know!:sad::sad:
Tunatafuta assistant lab technician mmoja aliyefuzu nakupata cheti halali, atafanya kazi kwenye dispensary iliyopo maeneo ya tandika. Call 0714 033 128.
sababu ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi zipo nyingi.
mfano
...mawazo au stress za kazi, nyumbani, shule n.k
...maambukizi katika sehemu za siri na via vya uzazi
...maandalizi wakati wa kufanya mapenzi/ wenza wengine wanashindwa kuwandaa vyema wenza wao.
...umri kuanzia miaka 45 na...
jaribu kurudia mafuta ulokuwa unatumia mwanzoni km umebadili aina ya mafuta unayotumia.
pia inawezekana tatizo lipo kwenye maji unayotumia kuoga or hata nguo.
au chunguza hata mazingira yawezekana kuna vitu vinakusababishia huo muwasho tofauti na mafuta.
ushauri zaidi. napaiya@hotmail.com
inawezekana kweli ni maambukizi ya fungus kwenye kucha na km itangundulika ni fungus, dawa ya kutibu kabisa ipo, bali itabidi atumie dawa hiyo kwa muda mrefu kidogo mara nyingi angalau miezi 3 au zaidi, kwa hiyo ni bora mkamwone professional doctor anaetambulika kwa msaada zaidi.
THANKS FOR UR GOOD QNS.
mwanamke anayekuwa kwenye bleed huwa anatokwa na damu ukeni. damu hiyo huwa inatoka kwenye tumbo la uzazi ambapo kwa hali ya kawaida hakuna maambukizi yoyote kwenye tumbo la uzazi. japo km huyo mwanamke ana maambukizi mengine km HIV basi iyo damu ina uwezekano mkubwa...
mimi nina miaka 25, ninasomea udaktari mwaka wa tatu, chuo kikuu muhi2. Namtafuta mchumba mweupe mrefu na mwili wastani, awe chuo kikuu chochote hapa dar. Awe anasomea degree ya social sciences yoyote. Umri kuanzia 18-23. Niandikie at napaiya@hotmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.