Ukweli ni kwamba watanzania tuna tatizo la uaminifu kitu kilichosababisha watu tusiaminiane,kwa kawaida mtu usipokuwa muaminifu ni vigumu kumuamini mwenzako.Kuna muheshimiwa mmoja anasema,asilimia themenini ya matatizo ambayo nikikwazo kwa maendeleo yako,yanatokana na wewe mwenyewe,unachotakiwa...
Ushindani sio mkubwa kama unavyofikiria ndugu yangu,asilimia kubwa ya dawa za TPI zinauzwa MSD na kwa maneno yake mwenyewe Madabida kwa miaka kadhaa walikuwa hawajawahi kukidhi mahitaji ya soko.Tatizo kubwa liko hapo kwenye kutengeneza dawa zenye ubora na mbaya zaidi makosa yanapotokea wakati wa...
Huo ndio ukweli.Niliwahi kufanya field hapo TPI,zamani kidogo. kipindi hicho kiwanda cha kutengeneza ARV kikiwa bado kwenye makaratasi.Kulingana na maelezo ya meneja,serikali ilikuwa ina hisa katika kile kiwanda(wewe haujiulizi waziri amepata wapi nguvu za kumsimamisha mkuu wa kitengo cha...
Mie nafikiri kuna haja ya kufanya maamuzi magumu,wafukuze wenger,bora kuanza upya kuliko kujenga timu kila mwaka,mwaka wa saba huu utapita bila ya kikombe.
Umeona eeee,na hiyo nguo ilifunuka kwa muda gani au jamaa alikua anategwa sema swaumu ikamuokoa.Yaaani unaambiwa kabisa MAMBO MPWITOMPWITO.uwezi kusoma hayo maneno bila ya kujitingisha japo kidogo.
A nice one,nitajitahidi niifuatilie mpaka mwisho.Nashauri iwe inatoka kila jumamosi mpaka itakapoisha,ili iwe rahisi kufuatilia na wewe mwandishi kupata muda mzuri wa kuitayarisha. Otherwise,good job.
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, wilayani hapa, Veronica Saleh ‘Mama Kaela' (50), amefanya uamuzi adimu wa kuolewa na wanaume wawili ambao anaishi nao kijijini hapo.
Kijiji hicho kipo umbali wa takribani kilometa 30 kutoka mjini hapa katika Jimbo la Katavi linalowakilishwa na...
There are hidden but important laws which even scientists like Newtons and Einstein didn't reveal to us.But the truths are universal and,above all,worth observing.
1. Law of waiting in line: If you change queues,the one you have left will start to move faster than the one you are in now...
That was the plan and for the record hii maneno nimeicopy somewhere baada ya kuipenda.Na kuhusu "kuibadili kidogo" Some say and some say no but MODS are still investigating.
University students waliingia kwenye quiz ya kuongea, two friends ambao walikuwa wakisaidiana walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ammezeshe mwenzie.
Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na wanafunzi walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.