Search results

  1. Gavana

    Wajua, kuna 2 Types of Leaders. Born Leaders na Manmade Leaders?. Je, Wajua tutamfaidi zaidi Rais Samia kipindi cha 2025-2030 kuliko sasa If Only..?

    Pascal , CCM ni CCM tu hata awe vipi , zaidi ya miaka 60 wako madarakani hamna kitu chochote cha maana walichokifanyia nchi zaidi ya mipasho na majisifu na kuirudisha nyuma nchi kimaendeleo. Leo humjui aliyesoma wala asiyesoma . watu wako mbioni kila mmoja analia njaa , labda wewe unayetupiwa...
  2. Gavana

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Itakuwa umeelewa , Wazanzibari hata wawekewe jiwe basi watalichagua jiwe na si CCM , kila mtu anaelewa , sijui kama ulikuwa umezaliwa wakati wa kura ya maruhani ??
  3. Gavana

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Uchaguzi, aliyembeba kwa kumweka madarakani , Magufuli yuko kuzimu, Baba yake ndio kaondoka
  4. Gavana

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Mwarabu ndiye anayekutawaleni kwa akili zenu mbovu, Usijaribu kudanganya kama vile uko kanisani kwenu usitukane watu humu , Hakuna mnyamwezi alifanywa mtumwa. hao wanyamwezi walikuwa na watumwa wao , soma historia
  5. Gavana

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Teteteteeeeeee itakuwa uko Ulaya au Marekani
  6. Gavana

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Niwaulize nani na ni jamaa yangu , Nyie watu mumezidi . Nyinyi wakristo wa Tanganyika mnaumwa sana na Zanzibar , kila wakati mnaweweseka Zanzibar mpaka kule Kagame anawapiku kiuchumi , kwa muda mfupi tu nchi imefika mbali , nyinyi bado na Zanzibar tu . Unafikiri kila mtu mweusi ni mbantu au ni...
  7. Gavana

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Ndivyo baba yenu wa Taifa alivyopiga mahesabu yake wakati akiivamia Zanzibar , Liliobaki ni mtuwache tuwe huru au tuendelee na hesabu za Laanatullahi Nyerere
  8. Gavana

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Kwani hakuna watanganyika waliozikwa Zanzibar ?? Hata azikwe wapi haibadilishi kuwa yeye ni Mtanganyika wa kuzaliwa
  9. Gavana

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Baba yake hatokei Yemen hao waliokudanganya sijui ni akina nani . yeye ni Mpemba wa Mkoani . Salim hana asili yoyote ya ushihirini. Waliomuuliza ni wavamizi kutoka Tanganyika waliosaidiwa na Mvamizi mwenzao Laanatullahi Nyerere kukaa madarakani
  10. Gavana

    Israel yaiomba Hamas iwaoneshe kwanza orodha ya mateka waliobaki nao hai kabla hawajatia saini

    Mungu wa israel yupi ??? huyu aliyewambwa msalabani na mayahudi ??
  11. Gavana

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Si dhani kwani Hao waliomuuliza wao wenyewe hawana kwao
  12. Gavana

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Kiislamu mtu huzikwa pale alipokufia
  13. Gavana

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    la kuchunguzwa ni hili • Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere. • Wake wa Ali H. Mwinyi, Sitti na Khadija Mwinyi. • Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna Mkapa • Mke wa Jakaya M. Kikwete, Salma Kikwete • Mke wa John P. Magufuli, Janeth Magufuli • Mume wa Samia S. Hassan, Hafidh Ameir Kwa...
  14. Gavana

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Na wala huyo Mwinyi katu hawezi kusema Tulipewa wasia na Baba Tukamzike Mkuranga lakini tumeamua tumzike Zanzibar kwa sababu za kisiasa :p:p:p
  15. Gavana

    TANZIA YA SHEIKH KARUME: Kutoka kitabu Cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi

    kumbe ndio ukapewa u Dr kwa lugha hizi ??
  16. Gavana

    Rais Ruto adai Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakubaliana kumuunga mkono Odinga kuwa Mwenyekiti wa AU

    JK apumzike , yaani family yote imeingia kwenye siasa kwa tamaa ya Fisi ?? Yaani kwa mishahara hii hapumziki ?? • Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere. • Wake wa Ali H. Mwinyi, Sitti na Khadija Mwinyi. • Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna Mkapa • Mke wa Jakaya M. Kikwete, Salma Kikwete •...
Back
Top Bottom