Search results

  1. O

    Lema anafaa kuwa waziri wa wizara ipi kama CHADEMA wakipata madaraka?

    Kabla hujaendelea Katiba ijayo inataka angalau waziri awe na degree moja sasa hiyo degree Lema anayo? Mwenye tafadhali kabla hatujaendelea na mjadala!!
  2. O

    watoto wa mjini wanasema ngoma droo

    Jamaa kapeleka gari lake kwa fundi lipakwe rangi. Fundi: Nilipake rangi gani? Jamaa: Yoyote ile isipokuwa nyekundu, nyeupe, bluu, manjano, kijani, wairdi, nyeusi, chockleti, kijivujivu, maziwa, zambarau, kahawia na ya chungwa. Lini utakuwa umemaliza nije kulichukua nianze kupiga misele...
  3. O

    Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    Nina Imani Pr Lipumba atajitokeza kuzungumzia hili suala maana ni suala zito sana either kwa kukanusha ama kukubali. baada ya hapo sasa 1. kama atakanusha ni wakati wa Tanzania daima kuthibitisha kile walichokiandika kama ni cha kweli maana wamesema wanayo video 2.kama atajitokeza na...
  4. O

    Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    ubarikiwe sana mkuu Zinedine umefafanua kila kila kitu tena hoja nzito
  5. O

    Hospitali za mashirika ya dini hupata ruzuku - Waziri

    serikali na mashirika ya dini wakae chini wakubaliane kusitisha ruzuku kwa taasisi zote za dini then ukienda kutibiwa uende na na cheti cha cha ubatizo full stop
  6. O

    Mbunge wa CCM ataka Rais na Waziri mkuu wapewe kipaumbele kwenye taarifa za habari!

    inaonekana hiyu mama alihongwa ubunge siyo bure
  7. O

    simba kapakatwa mchana kweupeee

    na hv ndivyo mnyama simba alivyopakatwa na Yanga piga makofi tafadhariii
  8. O

    Bomu Arusha - Vatican yawasilisha taarifa UN

    Mkuu Kadogoo unamaanisha kuna dini special kwa ajili ya kufanya ugaidi au ulimaanisha nini?
  9. O

    Mwenyekiti wa Kijiji CHADEMA ajiuzulu.Ni yule aliechaguliwa April 27 mwaka huu!!

    chezea useremala wa taifa wewe kaogopa kung'olewa meno hataki kuwa cardinali chezea kung'olewa kucha wewe huyu si ndo january makamba alimshikia mtutu?
  10. O

    Hatimaye rais Kikwete ajiunga na JamiiForum !

    una maanisha atakuwa kardinali Pengo
  11. O

    chanzo cha foleni maofisini

  12. O

    Kilichomkuta huyu baada ya kuchelewa kurudi nyumbani

    awapi usifanye mchezo ww kabisa anachukua co*****u halafu umwachie haaaa! ngumu sana hyo
  13. O

    chezea kimombo wewe

    Chezea kizungu...Mama mmoja wa kijita alienda hotel ya watalii, kwa mara ya kwanza. Kwa pozi akaketi meza 1 na wazungu watatu. Mhudumu akaja kuwauliza wanatumia nn? Mzungu wa kwanza akasema "JOHN WALKER SINGLE" Wa pili "CAPTAIN MORGAN SINGLE" wa tatu "JACKIE DANIEL SINGLE". Mama wa kijita...
  14. O

    Njia rahisi za kutambua simu feki na simu orijino

    daaaaaaaaaaah asanteni sana nimepata somo kubwa sana na nimehakikisha simu yangu ni original
  15. O

    Matokeo Kidato IV: Utata mtupu!

    a.k.a madeni TaNzANiA
  16. O

    Kilichomkuta huyu baada ya kuchelewa kurudi nyumbani

    waifu kaenda kikao cha harusi,pombe zikamnogea kuja kushituka saa 6 usiku.akarudi kwake kichwani anawaza ataingiaje kwake? MKE:hodi mume wangu MUME:unaniona mi bushoke sana,sifungui,rudi huko ulikokua ukalale MKE:mi ckuja kulala nimekuja kuchukua condom zipo kwenye pochi yangu juu ya kabati...
  17. O

    michano time

  18. O

    alichokifanya huyu jamaa baada ya kutoka milembe

    daaah hapo inabidi warudi nay maana.......
  19. O

    Kwanini Ruge hakumshitaki Sugu?

    alijua akimshitaki sugu atajitafutia matatizo maana support ambayo angeipata sugu kisheria ni kubwa inatetemesha hata serikali yenyewe coz sugu angepata sapoti ya mawakili ambao hata majaji wenyewe wanawaogopa mfano Lissu
  20. O

    Wizi benki kuu

    duuuh hiii hatari sana tisha sana ngojq nitafute kifaa cha kuwekea like
Back
Top Bottom