Search results

  1. A

    Suala la Mwanamke kujenga nyumba kwa siri lipoje kisheria?

    Naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwanamke anayejenga nyumba kwa siri akiwa ndani ya ndoa
  2. A

    oneni haya majanga...

    NIna mke lakini nina miezi kadhaa sijatakuna naye kimwili,kisa ni majukumu ya kimaisha,mke wngu ni fundi nguo,mm ni shopkeeper ni mara chache nalala nyumbani,lakini mke wamgu hua amechoka,kumbuka vipato vyetu ndio huendesha maisha yetu na watoto wetu 3.hivyo naogopa kumuachisha..kukosa kwngu...
  3. A

    Msaada

    Habari ndugu zangu.jamani naomba msaada.ni hivi nina mtoto wa miaka 12, tatizo lake ni kupatwa na kizunguzungu mara kwa mara .damu anayo yakutosha tu. Wajuzi wa mambo naomboni mnitajie japo dawa ili niweze kumaliza hilo tatiza la mwanangu.
  4. A

    Ally bananga ndani ya manyoni

    Kamanda Bananga akiwahutubu wakazi wa Manyoni asema watanzania wa kawaida ni sawa na Kuku wa kiyenyeji mbele ya CCM. Kuku wa kienyeji thamani yao ni pale afikapo mgeni au anapofurahi mfugaji, na hapo huwa kifo kwa Kuku. Hivyo tuikatee CCM. Aliendelea kusema Nyerere aliacha mambo mengi lakini...
  5. A

    nipewe....

    naomba nipewe ushauri wa busara.mke wangu ni fundi nguo(cherehani) anatoka asubuhi na kurudi jioni,sasa kila nikimuomba unyumba hudai amechoka,na ni ukweli hua amechoka na hiyo kazi yake imeundolea hamu ya sex.kwa upande wangu inabidi nimbake vinginevyo naweza pitisha miezi 3 bila kusex.na ukim...
  6. A

    hello

    nimejitoa huko fb,naomba kuingia jf
Back
Top Bottom