Search results

  1. Z

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Inakuwaje mtu ambaye hachangii awe mwanachama. Na kama siyo mwanachama analipwa kwa kigezo kipi? Je hilo ni tatizo la nani?
  2. Z

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Pesa za walipakodi zinahusika vipi kulipa mafao?
  3. Z

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Mifuko kushindwa kulipa siyo kwasababu haina pesa bali ni kwasababu imeshindwa kulipwa na serikali
  4. Z

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Tatizo lako kubwa ni kuhisi kwamba wafanyakazi wa serikali wanafaidi. Bila kujua hakuna mfanyabiashara anayelipa VAT kutoka mfukoni mwake, bali mfanyabiashara anaiongeza kwenye bei ya bidhaa hivyo mfanyakazi huyo huyo unayehisi anafaidi ndio anarudi kuilipa pale anaponunua bidhaa.
  5. Z

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Pamoja na ushujaa wa JPM kwenye mambo mengi ila huu uonevu na ujinga wa kikokotoo aliyeuleta ni JPM. Tusimpakazie mtu mwingine
  6. Z

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Aiseee kazi ipo. Nitajaribu kukuelewesha kwa lugha rahisi kama ni muelewa basi utaelewa Majukumu ya serikali kwa mifuko ya hifadhi ya jamii ni mawili 1. Kulipa michango yake - 15% kwa PSSSF 2. Kuhakikisha michango ya wanachama inatumika kulingana na malengo husika ili wanachama waweze kupata...
  7. Z

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Mtu akiwa na ushabiki hata uniambie nn hawezi kuelewa. Mfano Nevatim airbase imepigwa lakini watu hawaiongelei kabisa
  8. Z

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Kunachotuponza ni ushabiki tu hv Nevatim airbase imeshambuliwa na nani?
  9. Z

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Watu wameharibu Nevatim airbase wewe unasema hata panya hajaguswa. Watu mnapenda kujifariji
  10. Z

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Liverpool VPN Hizi mutual fund ni za watu wote kuanzia matajiri mpaka masikini mf Bodaboda kama ulivyowatolea mfano mara kadhaa Twende taratibu Unategemea dereva bodaboda anapaswa kuendesha bodaboda kwa miaka mangapi ili awe tajiri?
  11. Z

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Liverpool VPN huwa ninakufuatilia sana ila kwenye huu mjadala umeniangusha sana. Bahati mbaya sana umetaja kiwango chako chako cha elimu na field yako. Aisee umejidhalilisha sana. Mbaya zaidi unaelekezwa hautaki kutulia na kufuatilia unachokosolewa bali unabisha tu bila hoja. Kama uko tayari...
  12. Z

    Kwanini Tanzania latest Car ni chache sana kuonekana. Bado wanaagiza Magari ya 2000-2010

    Hiyo ni sample ndogo mno mno. Kwenye gari 500 zinazoingia Tz gari mpya inaweza kuwa moja ama isiwepo kabisa
  13. Z

    Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

    Kuna thinking and reasoning reasoning capacity fulani ukiwa nayo mahusiano yanakuwa mtihani Mkubwa sana, hasa nature ya malezi na imani za jamii zetu.
  14. Z

    Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

    Kwani pensheni zao za kila mwezi huwa hawazitolei kwenye ATM?
  15. Z

    P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

    Kwenye hii video mwana katema dini la kutosha
  16. Z

    DOKEZO Hospitali za Serikali wanagoma kuwapa dawa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF

    Hapo wametukataa kwa mlango wa nyuma. Kiukweli hata Mimi binafsi naona 50400 kwa mwaka ni ndogo sana. Ila ilibidi kama wanaona hailipi waongeze kiasi cha mchango ila siyo kusitisha huduma na kuleta ujanja ujanja wa kupitia mashuleni
  17. Z

    DOKEZO Hospitali za Serikali wanagoma kuwapa dawa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF

    Basi nawao wasiwalazimishe wafanyakazi kujiunga huko. Iwe hiari ya mtu kujinga ama kuacha
  18. Z

    DOKEZO Hospitali za Serikali wanagoma kuwapa dawa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF

    Waziri Ummy Mwalimu anatolewa chambo/kafara kwenye hili. Maamuzi ya Ummy siyo yake binafsi bali haya mambo yalishajadiliwa kwenye ngazi ya Baraza la mawaziri ambalo raisi ni mwenyekiti. Unataka kutuaminisha hz sarakasi kati ya Bima na hospital Raisi hazijui wala hajazisikia?
Back
Top Bottom