Search results

  1. N

    Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

    Hakikisha gari halilali nje, namaanisha isilale sehemu ya wazi Ili kuepuka umande! Umande ndio chanzo Cha gari kuoza! Nunua car shed au weka hata kivuli Cha mabati.
  2. N

    Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

    Hakimisha gari halilali nje, namaanisha isilale sehemu ya wazi Ili kuepuka umande! Umande ndio chanzo Cha gari kuoza! Nunua car shed au weka hata kivuli Cha mabati.
  3. N

    Naomba msaada wa kunichagulia sofa zuri kati ya izi

    Chukua hiyo namba Moja!..
  4. N

    Baba mweupe Mama mweupe watoto weusi kitaalamu inakaaje?

    Nimesoma hii mada nimegundua watanzania wengi huwa tunaenda Shule kupoteza muda tu na sio kuelewa! Kiukweli mtu yeyote aliyemaliza form four na akawa haelewi chochote kuhusu suala hili, huyo hakuelewa chochote huko ShuleniI labda kama alikumbia Masomo yo sayansi!.. Ukifika form four topic ya...
  5. N

    Probox au IST nivute ipi ?

    Chukua probox au Succeed!.. hizi ni gari Moja tu, zimefanana Kila kitu kasoro majina tu kama runx na allex!.. Ukitaka kuinunua uwe makini maana Kuna probox wagon au Succeed wagon na probox van au Succeed van. Hizi van siti yake ya katikati ni Kigoda na siti Haina viegemeo vya kichwa wakati Wagon...
  6. N

    Kwanini haya Magari aina hii Toyota Fielder sio maarufu sana yana tatizo gani?

    Wajuzi wanasema hii gari ikifika speed 130 inakosa balansi kabisa tofauti na wenzake Kuna runx na Alex
  7. N

    Ushauri juu ya Suzuki Escudo Nomade V.6

    Ngoja wataalam waje!... Naamini utapata muongozo
  8. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Umenena vyema!..
  9. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kufungua Leo sio rahisi, timu ipo vizuri Sasa hivi
  10. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na Mimi niliiona hiyo
  11. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Jamani Newcastle yupo huko anabakwa na Brighton... Yule jamaa aliyehama Arsenal kwenda newcastle Mimi namchora tu!... Kutokuwa na msimamo kwenye maisha ni jambo BAYA sana
  12. N

    Cheki out our prediction United vs Asernal

    Kwa kikosi hili mtakula kichapo heavy
  13. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Unatakiwa umwambie Arteta Ili ajirekebishe!..sio kutuambia sisi!.. hapa unatupigia tu kelele maana hatutakusaidia Kwa lolote!... Ki ukweli tunajifurahisha tu hapa... Edu na Arteta hawajui kama Huku Tanzania Kuna watu hawaridhiki... Nakupongeza kwa kuchangia timu Kwa kununua jezi!.. Kuna watu...
  14. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hatimae ushindi, 3 points for Arsenal!.. ila Tomiyasu kayaks kutucost
  15. N

    Nina mil 4 naombeni Suzuki escudo

    Kama jamaa hajaichukua na Mimi nitumie picha inbox niicheck. Nahitaji sana hiyo chombo
  16. N

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Vipigo FC hamjambooo!.. poleni Kwa kichapo Cha hivi punde!
  17. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hapo sawa kabisa
  18. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huyu dogo akiwa kwenye ubora wake ni mtu na nusu!.. majeruhi yamemridisha nyuma sana!.. mwaka huu Kuna watu atawakalisha benchi pale Arsenal. Huyu dogo ni mfungaji hatari kabisa!..
Back
Top Bottom