Search results

  1. Bin Chuma75

    Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa Majini, je ni mkweli ama ni muongo?

    Ni kweli upo, ila umepewa jina hilo msikiti wa majini sababu ya historia ya eneo hilo, paliwahi kuwa maskani ya majini. Ni kama vile msikiti wa manyema, sio kwamba ni wamanyema ndio wanaswali pale. Ni historia
  2. Bin Chuma75

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mwamba yupo sahihi
  3. Bin Chuma75

    Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

    Ndio unaweka mkeka wa bei,sio lazima uuze used peke yake, tembea na fursa tu
  4. Bin Chuma75

    Dalili kuu za kutokupuuzia mtu anayekaribia kufa baada ya muda mfupi

    Hapo nilicho jifunza ni kama vile yoga
  5. Bin Chuma75

    Hivi Transcript ni haki ya Mwanafunzi kupatiwa na Chuo?

    Taja jina la chuo ili upate ufumbuzi,yawezeiana kuna wengine wamo humu walipitia chuo hicho wakafanyiwa hivyo na wakatumia njiwa ya kupata kwa urahisi,kutaja jina la chuo sio kosa kwako,sabau hiyo ni taasisi ya elimu,na wengine wanaosoma hapo una waanda wajue kitakachowapata.
  6. Bin Chuma75

    Hussein Bashe: Wakulima wa Katavi, Kiteto na Sumbawanga wasiuze Mahindi chini ya Tsh. 800 kwa kilo

    Haya mambo ya kuuza chakula nje kweli haileti maana,ni kuumiza walaji, ni kweli mkulima anatakiwa kupata pesa lakini sio kwa kuwaumiza walaji,ni serikali inatakiwa kumuwezesha huyu mkulima kumudu gharama za kilimo ili hata akiuza hapa ndani apate pesa.Na hata hivyo wanaofaidika kupeleka mazao...
  7. Bin Chuma75

    Dalili kuu za kutokupuuzia mtu anayekaribia kufa baada ya muda mfupi

    Kwenye hiyo part 2 labda naweza kukuelewa
  8. Bin Chuma75

    Dalili kuu za kutokupuuzia mtu anayekaribia kufa baada ya muda mfupi

    Bado nasubiri part 2 labda naweza kukuelewa
  9. Bin Chuma75

    Dalili kuu za kutokupuuzia mtu anayekaribia kufa baada ya muda mfupi

    Hapo kwenye kusogeza siku ya kufa nakupinga ndugu yangu, sababu kama unaweza kusogeza mbele basi hata kuzuia moja kwa moja inawezekana
  10. Bin Chuma75

    Hayati Magufuli alipozuia chakula kisiuzwe nje mlikebehi, sasa mmeonja joto ya jiwe na kusalimu amri

    Mahali serikali ilipandisha gharama za maisha ni kuruhusu vyakula kwenda nje kwa kigezo mkulima apate pesa,unawalinda wakulima wachache unaumiza walaji wengi,kama ni kufaidisha wakulima basi serikali ingeangalia kupunguza gharama za kilimo tu.
  11. Bin Chuma75

    Kuna wanaomkumbuka Lex Luger?

    Vile viti, meza ngazi wanazopigania zote ni fake au
  12. Bin Chuma75

    Kuna wanaomkumbuka Lex Luger?

    Naendelea kujifunza mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]
  13. Bin Chuma75

    Kuna wanaomkumbuka Lex Luger?

    [emoji120][emoji120][emoji120]
  14. Bin Chuma75

    Kuna wanaomkumbuka Lex Luger?

    Ndio, wrestling zamani kuna ukweli ila sasa hivi ndio michezo ya burudani,nakumbuka kuna wrestler aliwahi kumpiga mwandishi wa habari alipoulizwa swali kwamba wrestling ni kweli au maigizo?jamaa alichukia sana akatoa kipigo.ila sasa hivi ni burudani tu
  15. Bin Chuma75

    Kuna wanaomkumbuka Lex Luger?

    Zile za zamani za kina triple h,Hogan,Batista nk, zilikuwa kweli,labda za sasa
  16. Bin Chuma75

    Kuna wanaomkumbuka Lex Luger?

    Kisema wrestling ni maigizo?nakataa zile ni game za kweli kiuhalisia, wakati mwingine wanakuwa na bifu mpaka nje ya ulingo kwenye maisha yao mtaani
  17. Bin Chuma75

    Sakata la Richmond lingesubiri Novemba aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu

    Ushoga unajadiliwa vipi bungeni wakati sheria za ushoga na usagaji zipo kwenye katiba? Ni makosa ya jinai kama makosa mengine. Bunge wasitumie pesa za wananchi kwa kujadili vitu vya ajabu. Polisi ndio wanapaswa kuwajibika kutoa ufafanuzi kwa mashoga kujinadi bila kuchukuliwa hatua.
Back
Top Bottom