Search results

  1. twafa-kali

    Hdraulic oil kwa Crown Athlete

    Upo sahihi kabisa na ndiyo maana nilipata shida kujua recomended gearbox fluid
  2. twafa-kali

    Hdraulic oil kwa Crown Athlete

    asante sana Mkuu. Nilielekezwa tayari nilinunua hii WS AT FLUID
  3. twafa-kali

    Hdraulic oil kwa Crown Athlete

    Nilimaanisha kwa gearbox
  4. twafa-kali

    Zifahamu Engine oil

    Asante sana bro
  5. twafa-kali

    Hdraulic oil kwa Crown Athlete

    Tafadhali wenye hizo gari mnatumia hydraulic oil aina gani ambazo ni recommended? Asante
  6. twafa-kali

    Zifahamu Engine oil

    Msaada Kaka. Gari Crown Athlete 2004 Hydraulic oil gani most preferable!?
  7. twafa-kali

    Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

    Haya Mzee Baba. Ila sasa hapo kwenye source za income nyingi ndo shida. Mbona wengine tunazitafutia hadi kwa tochi hata hatuzipati??
  8. twafa-kali

    Je, nichukue Toyota Wish au IST?

    Nimecheka kifala aisee. Ebwana hebu tuombe radhi siye IST Users
  9. twafa-kali

    TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    JF bhana ..uzi ni wa huzuni lakini wakati huohuo watu wengine wanatupunguzia stress kwa comments zao
  10. twafa-kali

    TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    Kaka nimependa ulivyovuruga kwenye kimalkia chako kuanzia mstari wa pili, Maana utakuwa unaijua mwenyewe na si msomaji😂😂
  11. twafa-kali

    Mnaomiliki na kutumia Volkswagen 'chuma ya mjerumani' ni gereji zipi mnafanyia service & repair? Popote pale nchini

    Hapo ndo utofauti unaonekana Mkuu. Hiyo 5M ni gari nyingine unapata ya kijapani mkuu...Hatari sana.
  12. twafa-kali

    Wizara ya Elimu liwekeni sawa hili la watoto kutoka shule saa 11:30 jioni

    hahahaaa eti JUnior Junior Nicole Nicole...ndo majina tunayowapatia watoto wetu hayo..uzungu uzungu tuu
  13. twafa-kali

    Inauma sana ila maisha yanatulazimisha

    pole sana mdogo wangu, Kwa hali ilivyo saiv hizo ajira walizotenga kwa walimu ni kama elfu 10 kama sikosei. Kama ni kweli bado ni chache sana kulingana na demand iliyopo mtaani wahitimu wa vyuo vikuu wa kada tofauti hususani walimu ni malaki. Lakini pia hizo nafasi elfu 10 ni kwa walimu wa level...
  14. twafa-kali

    Suala la Academic International School kudai ada ya muhula wakati huu halikubaliki, Serikali tunaomba muingilie kati

    Mtoa mada unayo hoja nzuri kabisa. Kimsingi haukatai kulipa ada kwa mwanao kama angekuwepo shuleni na anapata huduma ya masomo chakula usafiri nk...,Wanaosema ulipe hiyo ada saiv ni kwa ajili ya huduma gani? ..kwa sababu watotto saiv wako nyumbani wanaingia mwezi wa pili na kwa upepo...
  15. twafa-kali

    Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

    Miye sina makuu, nisingependa kudream ndoto ambayo kimsingi ni unrealistic kuja kui accomplish...au itachukua miaka 50 kuikamilisha. Hapana Dream yangu and of course is going to take off very soon ni BMW X3 ya mwaka 2005 siyo mbaya. Sababu 1. Limekaa kiume zaidi (kwa mtazamo wangu) kuliko hata...
  16. twafa-kali

    Vijana wadogo Dar kuendesha magari ya kifahari, sie wengine tunakwama wapi?

    Yeah. Kuazimana ndinga hapa town ukiwa mzee wa connection ni kwa sana. Unakuta mshkaji Leo anasukuma Vw toureg, kesho kaji crown, siku nyingine unapishana anapush BM na Mercedes. Ukifutilia hapo kwenye hiyo list unakuta sana sana ni ndinga moja tu ya kwake.
Back
Top Bottom