Search results

  1. Tiba

    Mradi wa Mabasi BRT na nauli kwa watumiaji

    Leo wakati napitia gazeti la Mwananchi, nimekutana na habari ya changamoto wanazokutana nazo waliopewa jukumu la kuhakikisha mradi unaanza kazi by tarehe 12 January 2016. Wamekiri kwamba bado hawajamaliza kujenga vituo kama 12 na bado hawajatengeneza parking ya magari kwa abiria watakao kuwa...
  2. Tiba

    Ni nani mmiliki wa Gazeti la Chapa Kazi?

    Wadau, Kwa takribani mwezi na nusu sasa kuna gazeti jipya linaitwa Chapa Kazi na ni gazeti linalotoka mchana kama yalivyokuwa Dar Leo na Alasiri. Nimekuwa napata nakala za gazeti hili lakini nimeshindwa kujua liko katika mlengo gani kisiasa, kwa maana ya upande wa upinzani au upande wa chama...
  3. Tiba

    Hii boat iliishia wapi?

    Wadau, Miaka michache iliyo pita, kuna boat ilinunuliwa na tajiri mmoja kufanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba. Boat hii ilileta gumzo kubwa kwani Magufuli kama waziri wa ujenzi alikataa hiyo boat isisafirishwe kupitia barabara zetu kutoka Dar kwenda Mwanza kwa madai ya kulinda barabara...
  4. Tiba

    Msaada: Play station 3 Pads hazifanyi kazi

    Wadau wa JF, Naomba msaada kutoka kwa anayejua nini inaweza ikawa sababu ya Pads za play station kutokubali kuwaka. Kwa wiki moja sasa kijana wangu ameshindwa kucheza na play station yake kwa kuwa pads zinagoma kuwaka na tumeshindwa kujua tatizo liko wapi. Kwa anayejua, nitashukuru akisaidia...
  5. Tiba

    Zawadi Nono: Hii picha ilipigwa sehemu gani barani Africa

    WanaJF, Zawadi nono ya Tshs. 150,000 itatolewa kwa atakayetaja bila chenga hii picha ilipigwa wapi hapa barani Africa. Haya twende kazi N:B Hili zoezi litakuwa wazi mpaka saa 12:00 jioni ya leo. Endapo mshindi hatakuwa hajapatikana, basi nitaondoka na laki na nusu yangu kibindoni...
  6. Tiba

    Namtafuta Mwalimu Rukia Ngadala

    Wadau wa JF, Naomba yeyote anayefahamu Mwalimu Rukia Ngadala anaweza kupatikana vipi ani PM na kunielekeza jinsi ya kumpata au hata kunipatia namba yake. Nina habari za manufaa kwake lakini nimeshindwa jinsi ya kumpata. Mara ya mwisho kuwasiliana naye alikuwa anafundisha Kibasila Secondary...
  7. Tiba

    Nimemkubali Ansbert Ngurumo - Nani atajibu hoja za Lissu

    Nani atajibu hoja za Lissu? NIMEMSIKILIZA vema Tundu Lissu. Amesema bungeni na kwenye mikutano ya hadhara. Wasiomwelewa, au wanaoogopa kujibu hoja zake, bila shaka kwa kutokuwa na majibu, wamekimbilia kusema kwamba Lissu ametukana waasisi wa nchi. Lissu anauliza maswali magumu. Wanaojaribu...
  8. Tiba

    Mechi ya yanga na al ahly kupigwa alexandria

    Wadau, Habari nilizo zinasa kutoka vyanzo vya uhakika ni kwamba timu ya Yanga kwa sasa wako barabarani wakisafiri kutoka Cairo kuelekea Alexandria ambako ndiko mechi kati ya hizi timu mbili itachezewa. Pamoja na kwamba awali ilitangazwa kwamba hiyo mechi haitakuwa na watazamaji, serikali na...
  9. Tiba

    Credibility Check: SBT Japan Kampuni ya Kuuza Magari

    Wapendwa wana Jamvi, Niko kwenye mawasiliano na hii kampuni inayojishughulisha na kuuza magari yaliyotumika huko Japan. Wenye hii kampuni ama ni wahindi au Wapakistani. Nimeongea nao kwa simu na kupitia skype pia. Wanataka kuniuzia gari na makubaliano yapo katika hatua za mwisho. Sijawahi...
  10. Tiba

    Zawadi Nono kwa atakayesema hii picha ilipigwa wapi

    Wadau wa JF, natoa zawadi ya Tshs. 100,000 kwa yeyote atakayeweza kusema bila kukosea kwamba picha hii ilipigwa sehemu gani katika hii dunia. Update : Ikifika saa kumi kamili jioni leo tarehe 5 February 2014, endapo hakuna atakayekuwa amepatia, nitatoa jibu na kuondoka na laki yangu kibindoni...
  11. Tiba

    Ni Lini Wizara ya Elimu itatoa majibu?

    Wana Jamvi, Ni karibu miezi miwili imepita sasa tangia matokeo ya mtihani wa darasa la saba yalipotolewa. Hivi tunakaribia kuingia January lakini Wizara ya Elimu bado haijawapangia shule wanafunzi waliofaulu mtihani huo. Kuna mtu anajua ni lini tutarajie hayo majibu? Hivi tarehe za vijana wa...
  12. Tiba

    Namtafuta Kyoma Kinyenya Kyoma

    Ndugu zangu wana JF, Namtafuta huyu Bwana zamani alikuwa Jeshini kwa maana JWTZ. Kwa sasa sijui yuko wapi lakini nina habari zake muhimu ambazo ningependa nimfikishie. Kwa anayemfahamu na kujua alipo, na labda hata kunisaidia contacts zake nitashukuru. Natanguliza shukrani. Tiba
  13. Tiba

    IGP Mwema rekebisha hali hii

    Bwana IGP kama uwa hauingii hapa JF basi nina imani vijana wako wanaingia hapa hivyo nawaomba wakufikishie ujumbe. Sisi watumiaji wa barabara (madereva) wa magari tunapata shida sana pale unapokuwa umekamatwa na traffic police kwa kosa fulani. Unaandikwa notification ya kwenda kulipia faini, na...
  14. Tiba

    Tigo acha wizi wa namna hii - sasa ni kero

    Wana JF, Nimekuwa nikisikia malalamiko mbali mbali kuhusu hii kampuni ya huduma za simu, TIGO. Tangia wameanzisha huu mtindo wao wa kabang, kinachofanyika ni wizi mtupu. Wanakwambia kwamba tuma neno MN na utapata kifurushi cha dakika kadhaa kupiga mitandao yote na internet access. Ukituma...
  15. Tiba

    Tanzania ni lini tutalifikiria hili?

    Wanajamvi, najua kuna watu watanishambulia hapa kwa hoja yangu hii ninayoileta mbele yenu. Lakini sitajali sana kushambuliwa kwa kuwa hoja yangu imelenga kutetea utu na ustaarabu katika dunia yetu hii ambayo sasa inakwenda digitali. Kama si wewe basi ni jirani yako au ndugu yako anayeajiri...
  16. Tiba

    Wenzetu wanajitahidi kukijua Kiswahili, sisi je?

    Wana Jamvi, nimekutana na hawa vijana wakimarekani wakifanya debate kwa Kiswahili. Kwa kweli inafurahisha na nina imani ndani ya miaka michache ijayo, Kiswahili kitakuwa kati ya lugha moja inayozungumzwa na watu wengi duniani. Fungua link usikilize...
  17. Tiba

    Tangazo la Kazi - Meneja wa Club

    Wana Jamvi, kuna jamaa yangu anatafuta meneja wa club ambayo ina function hall, guest house, jiko, parking ya magari kwa malipo na kuna disco kila ijumaa usiku. Hiyo club ipo Dar. Kwa yeyote anayemjua mtu mwenye uwezo wa kusimamia club kama hiyo kwa ufanisi, ani PM na kunipatia namba ya huyo...
  18. Tiba

    FASTJET: My first and last experience

    Wana Jamvi, Siku ya tarehe 26 April 2013, nilikutana na mkasa wa hawa jamaa zetu wa Fastjet na tangia siku hiyo nilinuia, kutokufikiria kutumia usafiri wa hii ndege tena. Kisa chenyewe kilikuwa hivi; Nilisafiri kwa gari binafsi kutoka Dar kwenda Arusha tarehe 21 April 2013 na nilitarajia...
  19. Tiba

    TANESCO na matambo ya kutoa huduma ndani ya wiki mbili

    Wadau, TANESCO wanatumia hela nyingi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba ukilipia huduma ya kuunganishiwa umeme, basi utaipata ndani ya wiki mbili. Huu ni uongo uliokomaa kwani hakuna kitu kama hicho. Inawezekana vituo vingine huduma inatolewa ndani ndani ya wiki mbili lakini mimi...
  20. Tiba

    TRA na malipo ya fire inspection - nini maana yake?

    Wadau, Wiki iliyopita nilikwenda pale TRA Mwenge kulipia road licence. Nilipokewa vizuri na mabinti pale reception na baada ya kuwaeleza shida yangu, walinisaidia kujaza form zinazotakiwa na kunielekeza wapi niende kwa ajili ya kukadiriwa ni kiasi gani nilipashwa kulipia. Kulingana na CC ya...
Back
Top Bottom