Search results

  1. B

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Siamini Deo Katuacha. Hakika ni Pengo kubwa. Eee Mungu tusaidie
  2. B

    Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    Wanawashaanga why mmekimbia Mjengoni. Mkapige kura kama mtapita.
  3. B

    Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Bange bange bangeee...zimesababisha uropokee bange bange bangee zita.....
  4. B

    Tanzia: Diwani wa CHADEMA afariki dunia (Bunda)

    Kama alikuwa hatembei na Sumu kama Ben sir 8 bas Mungu amuweke anapostahili. CCM KATA WAZI TWENDE TUICHUKUE.
  5. B

    Hamis Kigwangalla: Nashauri Rais asisaini muswada

    Chanzo Udaku. Mods toa hiyo thread. Si maneno ya Mh. HK Hayo. Yamepikwa.
  6. B

    Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

    Jaman mimi ka ITV Kameshaniandikia No signal! Endelea kunipa updates
  7. B

    Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

    Wadau katika hali isiyo ya kawaida leo nikiwa naenda Ibadani nimeonana na Mzee Ndesambulo. Alikuwa akiongea na mzee Mmoja ambaye simjui. Alipo ulizwa na yule bwana amepokeaje kauli ya Slaa juu ya uchaguzi kutofanyika, amesema tunafkiri uchaguzi ufanyike 2015 kwa kuwa viongozi hawa bado...
  8. B

    Mkutano wa hadhara wa CCM leo Musoma mjini ukiongozwa na katibu mkuu Kinana.

    Mbona unabadili sana id? Ok weka Mapicha.
  9. B

    Tanzia: Boti yazama ziwa Tanganyika na kuua watu 12

    Mwe mwe mwe mwe mweee.... Hii bhalaa ingine tena. Mungu tuepushie adha hiyo.
  10. B

    Mkuu wa Wilaya Tukuyu kaamua kuidharau Mahakama, katangaza atamwga damu ya walimu na wanafunzi!

    Wadau Mwongozo! Samahan nataka kujua wilaya ya Tukuyu iko Mkoa gani? Imeanzishwa lini? Ni hilo tu, But mada ni udaku.
  11. B

    CHADEMA inakufa au CUF kumung'oa Lipumba?

    Ni mtazamo wangu. Sina mashaka na Muungano wa vyama hivi. Shida yangu ni mfumo wa ndoa yao. Uchumba wao sijauelewa vizuri, nani mke na nani mme. Maana hapo zimeungana nguvu mbili, nguvu ya .... Na kiliberali. Nasubiri kuona uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kama ndoa itakuwa...
  12. B

    Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

    Mbeya leo imedhilisha wamechoka CDM. Watu walijaa kwenyemahubiri, mkutano ukawa kiduchu. Wengi walitoka Ileje, mbozi, Momba, Lungwe na Mbalali. Lakn hata robo uwanja haukujaa. Hata hivyo Washukuru Waumini wa Dini walio kuwa na Tamasha pale wamesaidia kuchakachua picha.
  13. B

    Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

    Jamani Mimi nipo uwanjani. Naamini hapa kuna kitu CDM wanajifunza. Mapokezi ya leo ni watu wachache sana. Hata kauwanja wanakofanyia nusu yake hajafka. Hakuna kinachosemwa. Wanasema Sugu ni Rais na Slaa ni Raisi. Pembeni kuna Mkutano wa Injili unaendelea. Anayefahamu uwanja wa CCM RWANDA NZOVWE...
  14. B

    Chadema kuna nini hapa?

    Naomba ufafanuzi. Ivi sera ya Elimu na kilimo ya cdm inasemaje? Maana kila siku nasikia ufisadi tu.
  15. B

    Madiwani wa Ileje wapata Elimu ya mafunzo

    Madiwani wa halmashauri ya Ileje Mkoani Mbeya, Wameendelea na ziara yao ya mafunzo katika mkoa wa Iringa, Morogoro, Dodoma na Dsm. Akizungumzia ziara hiyo, Kiongozi wa Madiwani hao amesema wamejifunza vitu vingi vikiwepo namna halmashauri zingne zilivyo wekeza katika vyanzo vya vitega uchumi...
  16. B

    Diwani wa CCM Ileje akatwa sharubu

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mbebe Ndg Kamendu amepoteza rasimi udiwani Wake baada ya kufutiwa uwanachama wake na NEC Leo. Diwani huyo ambaye alidaiwa kufanya ubadhirifu na Ubakaji na Makosa kibao amejikuta katika wakati mgumu baada ya Halimashauri kuu ya CCM taifa kubariki kufutwa uanachama...
  17. B

    Kundi la Benard K. Membe KUMUNG'OA Shigela leo

    Kuna taarifa zimezagaa hapa Dom kwamba Shigela anang'oka. Kundi la Membe kwa sasa limejipanga kweli. Wamesema wakimaliza wanaenda Mikoani kwa wakuu wa wilaya ambao hawamungi Mkono Membe. Ukungu ni mzito hapa Dom, kundi la Membe kwa Sasa nikubwa, kila kona wanazungumza haya tu. Kundi la...
  18. B

    Updates: Mbowe na Lissu watikisa Njombe

    Hzi picha za lini? Mbona mimi nimewakuta hapa Mafinga mda wa saa tisa na dk 50? Tena watu hawapo kabisa. Wana kandege kao kana Rangi ya CDM KWENYE LANGO LA KUINGILIA?
  19. B

    Nataka mwenye ufahamu CHADEMA

    Nataka Makamanda kujua Mwenye ufahamu juu ya pesa zinazokusanywa na Makamanda wawapo Mikutanoni, Je, nani anazitunza? Kuna shilingi ngapi mpaka sasa? Kama zipo kwanini tusijenge hata ofisi moja japo Dodoma? Kama zimetumika, nani anakagua haya Mahesabu? Nawasilisha.
Back
Top Bottom