Search results

  1. kiladay

    Julius K. Nyerere: Ikulu ni pahali patakatifu, sio pango la wanyang'anyi

    Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa amesema Bungeni ni mahali Patakatifu kuliko hata Ikulu na kumshangaa Spika wa Bunge anavyotumika na mafisadi kulifanya Bunge kuwa mahali pa kuhalalishia dhuluma kwa rasilimali za Watanzania. Slaa aliyasema hayo katika Mkutano maalum wa mapokezi ya Wabunge...
  2. kiladay

    Ben Paul na Belle 9 nani mkali?

    BELLE 9 NOMA WEWE... HUKUNA WA KUFANANA NAE KATIKIA BONGO RnB hapa TANZANIA. Sauti ya Belle9 inatokea tumboni sio puani. Itamchukua miaka mingi sana Ben Paul kuwa kama belle9. Mimi ni mwanamuziki na ninajua muziki.
  3. kiladay

    Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    Wabunge wa kambi ya upinzani bungeni wamekitunishia misuli kiti cha Spika kwa kutoka nje kwa kile walichodai kuwa kiti hicho kimekuwa kikitoa upendeleo wa wazi kwa kuubeba upande wa serikali. Video hii ni kutoka bungeni: kilaDay - Wabunge wa upinzani watoka nje wakidai maamuzi ya spika...
  4. kiladay

    TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

    duu.. NOMA
  5. kiladay

    Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

    Kwanini tuandikie mate wakati wino ungali umejaa??? Angalia full video ya rayC na JK ujionee mwenyewe: kilaDay - Mazungumzo ya RayC na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu
  6. kiladay

    Video Mpya ya Steve RnB Jambo Jambo

    Steve kichwa changu tangia long time. Komaa..
  7. kiladay

    Video Mpya ya Steve RnB Jambo Jambo

    Video Mpya ya Steve RnB Jambo Jambo imetoka na iko hewani. kilaDay - Steve RnB Jambo Jambo ​Ni kilasiku kilaDay
  8. kiladay

    Video Mpya ya Steve RnB Jambo Jambo

    Video Mpya ya Steve RnB Jambo Jambo Official: kilaDay - Steve RnB Jambo Jambo Video za kilasiku kilaDay
  9. kiladay

    Movie Reviews

    Jamani Mnaionaje Movie ya CID - Criminal Investigation Department ?????? Bongo Movie inakua sana. Naona sasa hivi wametuletea kitu cha ki FBI flani mambo ya kiusalama wa taifa mambo ya ki CIA inapendeza sana yani ishu za assasination and intelligence. Sema inabidi wajipange sana kutudanganya...
  10. kiladay

    Picha za Shilole akiwa "CHOBINGO" na Mwimbaji wa Koffi Olomide

    Hiyo sura sio ya shilole.. shilole tunamjua vizuri tu sana. Shilole hana kijungu kilichotuna hivyo
  11. kiladay

    Video ya unyama ya wanafunzi waliopigwa na kuchomwa moto na wanakijiji kwa tuhuma ya wizi wa simu

    Watu wa mjini hupenda kusema: "Wizi noma ila unyama balaa" Huu ni zaidi ya unyama, zaidi ya ukatili uliokithiri uliofanywa na wanakijiji wenye mioyo ya jiwe iliyokosa nyama. Tukio hili limetokea tu baada ya tuhuma za wizi wa simu iliyoelekezwa kwa wanafunzi wadogo wa chuo cha UNIPORT kuvuliwa...
  12. kiladay

  13. kiladay

  14. kiladay

  15. kiladay

    Kujiajiri

    Tuwasiliane sasa.. email: sita.com@live.com
Back
Top Bottom