Search results

  1. Qualifier

    Shamba linauzwa liko katika kijiji cha Msowero, kata ya Msowero, tarafa ya Magole, wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro

    shamba linauzwa liko katika kijiji cha Msowero, kata ya Msowero, tarafa ya Magole, wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro. 1. ukubwa wa shamba ni Ekari 47. 2. Shamba liko kando kando ya mto MSOWERO 3. Shamba lina barabara inayo unganisha na baraba ya lami kutoka Kilosa mpaka Dumila 4. shamba...
  2. Qualifier

    Ninataka kufungua website

    Wapendwa watumiaji wa mtandao huu ninaomba kama kuna mtu anaye weza kunitengenezea website au anamfahamu mtu mwenye ujuzi huu tuwasiliane kwa E-mail davidkambanyuma@gmail.com
  3. Qualifier

    Shamba linauzwa Msowero Kilosa

    Shamba linauzwa liko Msowero Kilosa liko kando kando mwa mto Msowero llinafaa kwa kilimo cha umwagiliaji shamba limepimwa na lina hati ipo nyumba kwa ajili ya kuhifadhia zana za kilimo barabara ipo na baada ya km 4 tu kuna barabara ya lami mpaka Karioakoo ni masaa manne ukiondo foleni na masaa...
  4. Qualifier

    TANGAZO

    Mganga kutoka Sumbawanga ana uwezo wa kubadilisha mwalimu aliye soma masomo ya art kuwa mwalimu wa masomo ya sayansi ila gharama ni kubwa kidogo[emoji86] [emoji86] [emoji86]
  5. Qualifier

    Shamba linauzwa lipo msowero kilosa

    Shamba linauzwa liko Msowero Kilosa line ukubwa wa ekari 65 kuna nyumba barabara nzuri liko kando ya mto Msowero linafaa kulima kilimo cha umwagiliaji ukiondoa foleni ni mwendo wa masaa manne tu kutoka shambani ampaka Kariakoo shamba linarutuba kwa wanao staafu utumishi wa umma hakuna haja ya...
  6. Qualifier

    SHAMBA LINAUZWA

    Shamba linauzwa liko kijiji cha Msowero wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro, linaukbwa wa ekari 47.8 limeshapimwa na linahati. kuna nyumba na barabara shamba linafaa sana kwa kilimo cha umwagiliaji liko kandokando mwa mto msowero. mazao yanayo zalishwa ni rahisi kuyafikisha kariakoo ni masaa 4...
  7. Qualifier

    SHAMBA LINAUZWA

    Shamba linauzwa liko kijiji cha Msowero wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro, linaukbwa wa ekari 47.8 limeshapimwa na linahati. kuna nyumba na barabara shamba linafaa sana kwa kilimo cha umwagiliaji liko kandokando mwa mto msowero. mazao yanayo zalishwa ni rahisi kuyafikisha kariakoo ni masaa 4...
  8. Qualifier

    Shamba linauzwa

    Shamba linauzwa liko kijiji cha Msowero wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro, linaukbwa wa ekari 47.8 limeshapimwa na linahati. kuna nyumba na barabara shamba linafaa sana kwa kilimo cha umwagiliaji liko kandokando mwa mto msowero. mazao yanayo zalishwa ni rahisi kuyafikisha kariakoo ni masaa 4...
  9. Qualifier

    Shamba linauzwa

    Shamba linauzwa, liko kijiji cha msowero, wilaya ya kilosa mkoa wa Morogoro. shamba limepimwa na lina hati, ukubwa ni ekari 47.8 liko kandokanda mwa mto msowero linafaa sana kwa kilimo cha umwagiliaji, kuna nyumba na barabara. mazao yanayo zalishwa ni rahisi kuyafikisha kariakoo kwani ni...
  10. Qualifier

    Ninatafuta eggs incubator inayo tumia Mafuta ya taa

    Habari ndugu zangu, nilikuwa na mawasiliano na Organization moja toka Njombe kwa ajili ya kuniuzia incubator ya mayai 450 wakati niko hatua za mwisho kutaka kuiagiza bahati mbaya sana nikaibiwa simu kama dealer ataona ujumbe huu ani inbox ili nimpigie
  11. Qualifier

    Ninahitaji kufungua website, natafuta web designer

    Wadau ninataka kufungua website kwa ajili ya taasisi ninayo isimamia kama kuna mtu mwenye ujuzi wa kudesign na kuitengeza anijulishe ikiwa ni pamoja na kunitahia bei niko Mkoa wa Morogoro
  12. Qualifier

    Mtandao wa Airtel sasa wanatuibia wateja wao bila woga

    Wapendwa wa JF, Leo hii nimefanyiwa kitendo cha dhuluma na mtandao wa simu wa airtel, mtandao nilio utumia kwa takribani miaka 15 leo wameamua kunihujumu. No wazi kwamba wanadhani kwa kudumu kama mteja wao kipindi kirefu hivi Mimi ni mateka wao siwezi kuhama mtandao kumbe la, Jana nilinunua...
  13. Qualifier

    Msaada wa mawazo anayeju taasisi ya kifedha inayotoa mikopo kwa wakulima.

    Ndugu wana jamvi, nimekuja hapa uwanjani petu huku nikijua kabisa kuwa humu ndani ya JF kuna wataalamu wa kada zote na ninaamini hakuna hoja inayotelewa humu akakosekana mtaalamu mwenye majibu sahihi, achilia mbali wale watoto wetu wanao suburi majibu ya mitihani ambao huwa wanaanza kejeli...
  14. Qualifier

    Kilombero: Ofisi za umma zote zimefungwa Chita watumishi wote wanasubiri kupiga picha

    Wanajamvi mimi sijui hawa watendaji watanzania utafikiri hakuna aliyesoma na kuelimika. Leo katika kata ya chita iliyoko Kilombero kuna zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya kazi, ofisi zote sa umma zimefungwa ikiwemo zahanati, kinacho nishangaza ni hawa wanao shughulikia zoezi wamekuja na...
  15. Qualifier

    Polisi wanarusha Mabomu ya machozi ifakara maduka yamefungwa

    Jioni hii mji wa Ifakara umechafuka polisi wanatumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamaji walio kuwa wanaandamana kutaka polisi wamuachie huru diwani wa kata ya Ifakara - CHADEMA ni baada ya kupinga kugawa kitongoji cha viwandani. Maduka yote yamefungwa usafiri hakuna na watu...
  16. Qualifier

    Mashine za ATM tawi la NMB Ifakara hazitoi fedha

    Jamani wanabodi, leo kuanzia saa 9:00 alasiri mashine za ATM tawi la NMB ifakara hazitoi fedha yaani hazija wekewa fedha ili hali leo ni weekend ya mwisho wa mwezi watumishi wanaofanya kazi mbali na hapa ifakara wamefunga safari kuja kufuata mishahara yao, leo watalazimika kulala hapa mjini...
  17. Qualifier

    Ninapenda kufahamu kuhusu kilimo cha Ngoro

    Ndugu wana JF mimi ni mtumishi wa umma nimehamishiwa kikazi katika eneo lenye miinuko mikali sana , nimekuta wananchi wa huku wanalima mpunga wa kwenye miinuko (Hill Rice) . Changamoto kubwa niliyo ikuta ikanigusa na kunifanya niandike uzi huu ni kwamba wanachi wanakabiliwa na tatizo la...
  18. Qualifier

    Ona majanga! tabia ya kupiga wanawake

    Jamaa mmoja alienda hosipitali alipofika akajieleza kuwa anajisikia homa kali, dakatari akamwambia kesho yake apeleke mkojo na uwe ni ule alio ukojoa mapema asubuhi. Jamaa alipo amka akakojoa mkojo akauhifadhi kwenye kichupa akaweka chumbani sakafuni akaenda kuoga. Mkewe wakati anafanya usafi...
  19. Qualifier

    Msaada anaye jua lugha za kimahaba za watu wa pwani

    Wapendwa habari za jioni. Ninaomba kama kuna mtu anaye jua lugha za mahaba zinazo tumika pwani anisaidie. Nina ahadi ya kukutana faragha na mdada fulani mwenyeji wa mkoa wa Tanga ifikapo kesho, kwa sababu itakuwa ndo mara ya kwanza mimi na yeye kukutana faragha, ameniuliza kwenye sms kuwa "...
  20. Qualifier

    Jamani! milegezo mbona aibu kubwa hii!.

    Wapendwa wana jamvi, Nimepanda daladala kutoka Mbezi ninaelekea Kibaha, kuna jamaa alipandia daladala mbezi na ameshukia kiluvya ni mtu mzima kiasi, kwa kumkadiria yuko umri wa 30s amevaa mlegezo suruali ya jeans iliyo pauka , ile anashuka mlongoni, shati likapanda juu kiasi kwamba boxer...
Back
Top Bottom