Search results

  1. F

    Uswahilini ni shida, hebu pitia hapa usome

    Matusi pia ni aibu kwako mleta mada
  2. F

    My girl friend anahitaji someone to commit with

    This is insanity. Please consult your mental doctor
  3. F

    Makamu wa Rais amuwakilisha Rais Addis Ababa, Ethiopia!

    Samahanini wadau. Hivi huyu mama hana mume?
  4. F

    Uchambuzi vifurushi vya halotel

    Halotel nawaonea huruma. Wamekosa kitu kinaitwa market entry strategy. Wamekuja as if walikuwepo tangu zamani. Kwa kifupi wamevamia msitu na kiwembe mkononi. Nikiwa mtaalamu wa masoko nilitegemea wafanye yafuatayo: 1. Wangeanza na marketing/consumer survey ili wajue ni nini watumiaji wa simu...
  5. F

    Vichwa vya habari miaka mitano ijayo na kuendelea

    @MziziMkavu hii ni zaidi ya ndoto
  6. F

    Mgomo na Maandamano Dar, Tarehe 5/01/2016

    Wakati mlipokuwa mnakatika viuno huku mkiimba mtaisoma namba mlifikiri ni lowassa na mbowe ndio wangeisoma namba? Pambafu! Kama hela huna panda farasi. Wakati wa kampeni mijinga inakata viuno kama misenge halafu ccm wakifanya yao yanaanza kubwabwaja. Hatuji karimjee ng'o! Mbona tuliwaita kwenye...
  7. F

    Mkwamo:Wapinzani haramu wanapotaka kuishauri serikali adilifu!!

    Hatuwezi kusikiliza porojo zako kwa sababu upinzani ndio uliomfikisha magufuli magogoni. Kama si wapinzani JK angefanikiwa kumweka kidampa wake Membe ila kutokana na presha kubwa ya upinzani akalazimika kuacha magufuli asonge mbele japo si chaguo lake. Lazima tuheshimu jitihada za upinzani
  8. F

    Dada zetu msiwakute vituoni wamependeza mkawashobokea wengine wauza baa!

    Makubwaaaaa! Tena na ulinzi wa polisi pembeni.
  9. F

    Dada zetu msiwakute vituoni wamependeza mkawashobokea wengine wauza baa!

    Kwikwikwikwiiiiiiiii uuuuiiiii! Mbavu zanguuuu. Sema halali.
  10. F

    Zile TZS trilioni 1.3 za mapato zimeyeyukia wapi? Nani abebeshwe mzigo?

    Lakini watanzania wenzangu mnabisha tu bure hali halisi inaonekana tatizo ni mfumo uliowekwa na ccm na si magufuli. Hata umlete mfalme suleiman aje kuongoza chini ya jinamizi ccm atashindwa tu. Tatizo ni mfumo. Suluhisho hapa ni katiba ya warioba. Period!
  11. F

    Nahisi kuna ujipu Kwa hawa manabii wa redio

    Hawa manabii wa uongo pamoja na wafuasi wote Mungu atawateketeza hakuna haja ya kuhangaika nao.
  12. F

    Siku kanda ya Kaskazini wakiamua kujitenga kama Biafra

    "Sasa ni zamu ya msukuma. Hatukubali hatukubali hatukubali" by Livingstone Ludinde kwenye kampeni za jpm.
  13. F

    Jumatatu shule zinaanza kufunguliwa: Serikali na Shule binafsi tuwekeni wazi kuhusu ada elekezi

    Serikali ikitoa ada elekezi ikumbuke pia kutoa mshahara elekezi kwa walimu wa shule za binafsi. Kiasi cha ada lazima kiendane na kiasi cha mshahara. Hili likitokea baadhi ya shule zitapunguza mishahara ya walimu na hili litaathiri sana kiwango cha elimu kwenye shule za binafsi. Kwa hiyo hili...
  14. F

    Maswali kwa Mh. JPM na mawaziri wake.

    Ni kweli inasikitisha sana
  15. F

    PICHA ZILIZOBAMBA

    Zilizobamba ni za obama tu? Weka na za JK
  16. F

    Maswali kwa Mh. JPM na mawaziri wake.

    Naona wanasubiri shule zikishafunguliwa wafanye ziara za kushtukiza
  17. F

    Siku kanda ya Kaskazini wakiamua kujitenga kama Biafra

    Umeleta hoja ya kijinga kupita maelezo. Siasa za ukanda zilianzishwa na kikwete na familia yake wakiungwa mkono na Nape Nnauye kama silaha yao dhidi ya CDM. Kwa sasa hoja hii haina mashiko sana sana itakushushia hadhi yako mleta hoja.
Back
Top Bottom