Tatizo la kutokuwa na mipango miji thabiti.
Maeneo yaliyopimwa ni machache,
Maeneo yaliyopimwa hayaheshimiwi.
Mipango miji sio agenda ya viongozi,wala kupanda miti kuhifadhi mazingira sio kitu kinachowaumizi kichwa viongozi.
Bei ya gesi wameacha imepanda sana,na hivyo kuchochea ukataji miti...
"Huyu ni kijana wetu,lakini amesema jambo la kijinga" kauli ya Katibu Mkuu.
Katibu Mkuu anasema ukweli,ukweli usemwe."Mtu akisema jambo la kijinga lazima tuseme hapa kasema jambo la kijinga"
Kuna wengine wanafikiri kutishia kuwapoteza watu wana wanaokosoa kuwa ni halali,na kujihisi wapo juu...
Wale wanaogopa kubadili mfumo wa elimu wajifunze hapa,na wengine wafuate utaratibu huu,tusonge mbele.
TUMECHELEWA SANA.WAKUBWA WANAPELEKA WATOTO WAO SHULE ZA ENGLISH MEDIUM",HII HAISEMWI NI KIMYA KIMYA.
Wakati wa mapokezi ya ndege mpya alianza kuongea Dar es Salaam.
Kila akimuona Mheshimiwa Rais anaongea hisia zake.
Au kuna jambo ambalo wameshawahi kuliongea,mbona anakosa kifua kama anataka kufunguka!
Hii ni mara ya pili mbele ya mheshimiwa Rais anawasema Viongozi waliopo Serikalini.(eti...
"Bila Katiba Mpya",huwezi kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Majibu ya kwa nini Katiba Mpya haiandaliwi,imeletwa hii kama hadaa ya kuwepa michakato ya katiba mpya.
Pamoja na kukwepa,bado umuhimu wa katiba ni muhimu,ni suala la muda.
Watanzania wote walishaona umuhimu wa katiba...
Tuna sheria za kodi zenye mtazamo wa kizamani(mfumo wa ujamaa):
1.Kodi na Tozo kuwa nyingi kwa kitu kimoja.
2.Kuendelea kutafsiri kumiliki gari ni anasa
Mfano:
Unaweza kununua gari kwa thamani ya TRA
hadi Dar es Salaam ni $19,124/20,lakini ukalipishwa kodi na tozo aina 6 kama ifuatavyo...
Mengine siku ya kuapishwa tutayajua.
Siku ya kuapishwa lazima kutoa hotuba?!,au
Lazima kuwa na mahudhurio ya watu wengi?
Mengine sio muhimu mwananchi wa kawaida kuyajua.
Mapungufu yoyote yanayosemwa kwenye vyombo vya habari,ni udhaifu wa Serikali na wala sio udhaifu binafsi wa anayesemwa.
Maagizo ya kisiasa,ni chanzo cha kudhoofisha usimamizi wa mashirika.
Usimamizi na menejimenti :Waajiriwe watu huru hata kutoka nje kama wanazo sifa na uzoefu.
Shirika la Ndege Emirates wameajiriwa watumishi ambao sio wazawa,na shirika linaendelea vizuri.
Tujifunze Ethiopia mashirika ya Serikali...
Shirika linalosimamia hizo meli,lina meli zingine katika ziwa Tanganyika ambapo meli kutoka Kigoma itakuwa inaenda Zambia,na Ziwa Nyasa,meli itakuwa inaenda Malawi.
Nahisi mwandishi alisau kuweka ufafanuzi wenye kuunganisha huduma katika Ziwa Victoria,Tanyanyika na ziwa Nyasa.
Matatizo yaliyopo nchi ya Senegal na kwetu yapo.
Bahati mbaya viongozi wetu hawapo tayari kurekebisha sheria kanuni na taratibu zenye kutoa haki,tunaishi kimazoea miaka nenda rudi !!
Habari ni upinzani kukabidhiwa madaraka bila kuibiwa kura wala figisu.
Katiba na mifumo ya uendeshaji na usimamizi wa uchaguzi tukajifunze nchini Senegal.
Wapiga kura hawadanganywi wala kutishiwa(Eti ukuchagua upinzani hamtaletewa maendeleo!).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.