Search results

  1. Mkulu Ole

    Kambi ya upinzani wafurahia waziri kuitosa serikali bungeni

    Hii style ya kudharau vitu kama fedha au vyombo vya habari inatuonesha ni viongozi gani tunaowachagua.Kama jinsi Chenge alivyoyaita mamilioni ´Vijisenti´ sasa pia Masha anaita vyombo vya habari ´vigazeti`.Inashangaza manake hawa jamaa siku zote ni kuonesha dharau kwa wananchi kwa namna fulani...
Back
Top Bottom