Search results

  1. K

    Magufuli hajasema kweli; Anaficha Udhaifu wa Serikali na Wizara yake

    Holy crap a flying turtle! This is good stuff for your fans..not food for thought! you have wasted your time!! Common you are better than this!! sometime silent is wisdom Thank you for ruining my day.. and merci, bien sur for knowing how you react under pressure.
  2. K

    Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

    Oh! yes you have made my day, But let me put this foward with a very positive note..........you may change anybody, whether s/he like or not! but you need something extra to achieve that..you need convicing power! Siasa za chadema haziwezi kumbadilisha mtu mzima, hatuna convicing people...
  3. K

    Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

    Politician will always be politician.....dada unasema nini na unakataa nini? Kutatua matatizo ya wananchi sio kwa njia moja tu, ziko nyingi na anazo sema Wilcard ni njia mojawapo, unabisha nini? Topic yako nzuri sana kwa juuu juu, ila inasikitisha kumbe kuna sehemu mnajua matatizo mpaka...
  4. K

    The Citizen: JK alilishinikiza Bunge kumpa Zitto ulaji

    Umeishiwa wivu wa kike! Kapoteza dira ipi? kapoteza umaarufu upi? hiyo ni wewe kwangu mimi Zito ni kiongozi mzuri sana, tena kwa vijana hakuna kama yeye. Si kasema ukweli, unataka nini, semeni msemalo zito ni mkweli Hivi kwa akili yako mtamfanya nini Zito, labda kama nyie ndiye wapiga...
  5. K

    Katika Picha: Maandamano ya wanahabari Leo

    ,SASA AMEGEUKA KAMA MUGABE....SO FROM NOW ON...FMES NI MUGABE WA JF!!!! Haiwezekani tuwaseme mafisadi tugope kusemana wenyewe! haiwezekani pia Kubenea kakosea asisemwe! MUGABE badilika kaka
  6. K

    Katika Picha: Maandamano ya wanahabari Leo

    Jamani huyu mtu anahitaji msaada wa haraka sana, maana yeye anajua mengi tu anaonekana mwingi wa habari.Yeye kuwa na habari ni ufahari sana!! hata akifa leo atabaki na habari tu, this guy where is he coming form? hakuna rafiki yake wa karibu ampepee? By the way, post zote zinazokuhusu...
  7. K

    Katika Picha: Maandamano ya wanahabari Leo

    Nimekua sana sasa mama yako anaujua fika umri na na details zotekamuulize-,-hongera kwa kumjua baba yako , samahani kama taarifa hii imekufurahisha.
  8. K

    Katika Picha: Maandamano ya wanahabari Leo

    Acha waendelee, acha kuamulia!!! au umeona FM anashindwa? au wewe mwenyewe ni FM kwa jina lingine? Huyu FM kila siku anagombana na watu, hasikii haambiliki, nafurahi watu wengi wanavyoona anavyowaza anajua yeye. ana data yeye, msomi yeye, kila kitu yeye, yaani ni yeye tu humu ndani .Huwa nawaza...
  9. K

    Vijana wamsimamisha Kikwete Mwanjelwa; wazomea "fisadi fisadi"

    Angalia mawazo haya, nataka niwaachie wenye FORUM, Lakini nimeghaili siondoki ng'o! asante walionitumia meseji za hongera! wengi wanachukizwa na comment za FM kuwa this is 'idiotic, nonsense and foolishness'.naona unashindwa kujibu swali langu, Ni mara ngapi ameonywa na je kwa nini haachi, je...
  10. K

    Vijana wamsimamisha Kikwete Mwanjelwa; wazomea "fisadi fisadi"

    Kumbe kulikuwa na bifu kati ya kuhani na FMa, rejea post zangu, I was against him using the word idiotic& nonsense, nikaona anaendela kulitumia inspite the fact ameambiwa mara nyingi, hii si vizuri ile siyo jazba , nilitaka aone how other people feels wakitukanwa! though my approach was not...
  11. K

    Vijana wamsimamisha Kikwete Mwanjelwa; wazomea "fisadi fisadi"

    Wala haina tatizo, nikipata 100 kama wewe najiondoa uanachama,msiwe waoga, kila siku mnawasema akina Kikwete humu ndani halafu wenyewe tunabaguana! akitukana FM siyo tusi, ila nikitukana mimi ndiyo tusi. Pia hata usiposamehe aia hsve nothing to loose from you. unasema stori za bla bla...
  12. K

    Vijana wamsimamisha Kikwete Mwanjelwa; wazomea "fisadi fisadi"

    Kama kuhani anakataza watu wasitoe comment za matusi, na akaona wengi mnaangalia upande mmoja wa shilingi, kwa comment ya matusi akitoa huyu IS OK ila akisema mwingine SI OK? NI MARA NGAPI FM AMEKUWA AKITOA COMMENT ZA KUSEMA 'SIMPLY IDIOTIC' NA HAKUNA ALIYEMKANYA? AU AFANYWE NINI? HIVI...
  13. K

    Kikwete and Mwakyembe

    Tumeshamalizana kwenye ile thread nyingine.Hapa sikuandika kama nina hasira na wewe! Naomba uyapangue maswali hayo, niko serious na those questions! Je ulimpa lift fisadi namba moja yupi huyo? na eti hakuwa na gari? ilikuwaje kuwaje? Unasema alikuwa amechoka na mwisho wao uko karibu...
  14. K

    Kikwete and Mwakyembe

    Wewe dereva? fisadi gani? hana gari tena namba moja? acha stori za vijiwe! Huyo Kikwete yuko wapi siku zote hizi kuwachukulia hatua, watakoma nini tena , nani aliyepelekwa jela?. Haii hafai kuandikwa na mtu kama wewe au ndiyo walewale akina Kubenea watoto wa JK, what about JF? This is...
  15. K

    Expand Your Vocabulary

    HEPATICOCHOLANGIOCHOLECYSTENTEROSTOMIES = a surgical creation of a connection between the gall bladder and a hepatic duct and between the intestine and the gall bladder. Muweke na maana zake jamani watu tusijedesa kasa.
  16. K

    Serikali ilivyotekeleza Maazimio ya Bunge Richmond-Pinda.

    Ripoti ya utekelezaji kuhusu Richmond yaduwaza wabunge Waziri Mkuu,Mizengo Pinda, wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya Bunge kuhusu kashfa ya ufisadi wa kampuni hewa inayojulikana kwa kifupi kama Richmond Bungeni Dodoma Alhamisi. *Naibu Spika awabembeleza waipokee, wengi...
  17. K

    Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

    Small nations are like indecently dressed women. They tempt the evil-minded." Julius K. Nyerere "Freedom to many means immediate betterment, as if by magic. Unless I can meet at least some of these aspirations, my support will wane and my head will roll just as surely as the tickbird...
  18. K

    Tanzania Presidents: Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete

    Tatizo kubwa tulilonalo wa Tz ni plae tunapotaka kuzungumzia historia na bila kuangalia facts, kila ulichosema hapo ni sahihi au sio sahihi inategemea una uthibitisho gani na mimi nina uthibitisho gani.Liwalo na liwe hao marais na assume walifanya makosa.mwingine amekufa na wengine wako hao...
  19. K

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Ama kweli umechanjia ubishi, huna aibu! unaleta taarifa za uongo mkuu , umechanjia huna dili, wala nini, nyie ndie mnaharibu sifa zetu za kiislamu.Mimi mwislamu what Kikwete and his fellas doing is a piece of shit. You can not compare Sultan and Vatican never on earth, you will NEVER JUSTIFY...
  20. K

    Ajiunga CCM adai NCCR imejaa Ukabila, Usiri, na Ubinafsi!

    Kaka ukisema ana majungu kipindi hiki wakati amehama NCCR hujafanya kitu tutakulaumu wewe! kumbe ulikuwa unajua kuwa ndani ya NCCR kuna mamluki? KWA KIFUPI VYAMA VYOTE VYA UPINZANI MNAVYOJARIBU KUVITETEA HAPA HAVINA MPANGO WOWOTE NA MAPAMBANO YA UFISADI VYAMA KAMA NCCR, CUF,TLP they are...
Back
Top Bottom