Search results

  1. jerrytz

    Mambo ya kuzingatia unapoanzisha mahuasiano na ''Single Mother''

    Mara kadhaa nimeona mijadala humu kuhusiana na single mothers, kwa wengi imekuwa ni ushujaa kuwasema vibaya hawa wanawake wenye mtoto ama watoto na kwa kweli walioamua kulea watoto wao bila uwepo wa baba. Kuwa single mother sio kilema, sio upungufu wa akili ni matokeo tu ya maisha, kifo ama...
  2. jerrytz

    HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Acha mbwembwe na maneno matupu, weka hzo source zako. Unataka utafutiwe sources kwanini wewe usiweke link hapa kama alivyofanya mwenzako. Umebaki na maneno matupu kama mama muuza vitumbua mtaani. Umewekewa Al Jazeera, BBC, Al Monitor bado unatoa maneno tu. Inaonekana wewe unapenda ubishi wa...
  3. jerrytz

    Mabango yenye alama ya upinde wa mvua pale uwanja wa ndege DSM yamewekwa na nani?

    Alama ya upinde wa mvua ina tatizo gani? Upinde umekuwepo kwa mujibu wa Biblia baada ya Gharika; umetumika kama alama ya matumaini kwa vizazi kadhaa. Zipo bidhaa, taasisi na mashirika yanayotumia alama ya upinde; leo tatizo ni nini? Vipi kama hao wafedhuli watu wa LGBTQ wangeamua kutumia...
  4. jerrytz

    Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

    Hii nchi wastaarabu wapo wachache sana. Watu wamekaa kiujanja ujanja tu; kuwa makini na watu wa nchi hii, anaweza kuwa na muonekano wa kistaarabu lakini ndani ni primitive kabisa.
  5. jerrytz

    Mnaomshauri Rais juu ya Ikulu mpya Chamwino muogopeni Mungu

    ...Afrika nchi nyingi maskini sana lakini serikali za Afrika zinajibebesha gharama za utajiri...
  6. jerrytz

    The Psychology of Hypocrisy – Why We Do it & How to Stop

    The Psychology of Hypocrisy – Why We Do it & How to Stop Everyone has been prone to hypocrisy at one point or another. It’s virtually impossible to live up entirely to one’s own moral code, as we are all humans that make mistakes. We may sincerely believe in objective morality, but find...
  7. jerrytz

    Nimempenda teller wa benki fulani

    Tatizo la hii simulizi lipo hapa ''ku-withdraw pesa nyingi sana'' Inafanya wasomaji wahisi unajimbwafai Inafanya wasomaji waone unajitangaza kuwa una pesa nyingi sana Inafanya kumfanya dada wa benki kuwa amevutika na pesa zako nyingi sana. Hakukuwa na umuhimu wa hii ''ku-withdraw pesa...
  8. jerrytz

    Upishi wa Bagia za Dengu

    Asante
  9. jerrytz

    Masingo maza ni wazuri mno

    Umeandika vyema sana. Watanzania wengi ni wanafiki sana kwenye suala la dini na maadili.
  10. jerrytz

    Masingo maza ni wazuri mno

    Ila vishikwambi, nguchiro na panya huwa mna makasiriko kweli; baki kwenye mada usmshambulie mtoa mada
  11. jerrytz

    Masingo maza ni wazuri mno

    Ila wewe jamaa bwana umeamua tu kuwakera dada zetu kin vishikwambi
  12. jerrytz

    Ushauri: Wanaume na ulimbukeni wa michezo ya 'tigo'

    Ni tabia mbaya yenye kudhalilisha utu na haiba ya mwanamke. Hongera dada kwa kulileta hili hapa kwa mjadala mpana. Sio jambo jema hata kidogo. Haiwezekani ukawa na akili timamu halafu ukawa na hii michezo ya kuingia mlango wa pili. Ni jambo gani linalovutia kwenye ule mlango? Ni kujitafutia...
  13. jerrytz

    Binti alituchanganya mimi na classmate wangu, tukampangia tukio

    Hii safi sana. Mnamaliza mambo kiume
  14. jerrytz

    Natafuta mume

    All the best.
  15. jerrytz

    Huyu Mzungu ni kweli yupo tayari ama natafutiwa njia ya kutapeliwa?

    Aisee yaani wewe wamekufuata miaka hii; michezo ya zamani sana hii. UTATAPELIWA MCHANA KWEUPE
  16. jerrytz

    Kwa mabehewa haya ya SGR Dar mpaka Mwanza ni masaa mangapi?

    Hayo ni mabehewa mapya? Mapya kwa Tanzania? Au mapya kwamba ndio design ya mabehewa ya kisasa?
  17. jerrytz

    Tujikumbushe Operesheni ya kuwaokoa mateka wa Israel Entebbe, Uganda

    Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii ilitua katika uwanja Athens ikiwa safarini kutoka Tel Aviv Israel kuelekea Paris Ufaransa. Mpaka...
  18. jerrytz

    Mgao wa Umeme; Kati ya Tarehe 1 - 29 Novemba ametumia Shilingi Milioni 15 kuwasha Generetor

    Amewasha genereta kwa siku 29 kwa mujibu wa aliyeleta mada hapa jukwaani. Tufanye assumption tu kuwa walau genereta imewashwa kwa masaa 12 katika hizo siku 29 Sasa njoo kwenye hesabu:- 1. Wastani wa gharama kwa siku ni = 15,000,000/29 hii ni sawa na TZS 517,241/- Hizo ni gharama ya Lita...
  19. jerrytz

    Mgao wa Umeme; Kati ya Tarehe 1 - 29 Novemba ametumia Shilingi Milioni 15 kuwasha Generetor

    Tufanye ameongeza sifuri mbele halafu turudi kwenye hesabu ndogo tu Amewasha genereta kwa siku 29 kwa mujibu wa aliyeleta mada hapa jukwaani. Tufanye assumption tu kuwa walau genereta imewashwa kwa masaa 12 katika hizo siku 29 Sasa njoo kwenye hesabu:- 1. Wastani wa gharama kwa siku ni =...
  20. jerrytz

    Operesheni ThunderBolt: Mkakati wa Kuokoa Mateka wa Israel Entebe - Uganda

    Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii ilitua katika uwanja Athens ikiwa safarini kutoka Tel Aviv Israel kuelekea Paris Ufaransa. Mpaka...
Back
Top Bottom