Salaam WanaJF,
Uzi huu ni wa kupeana taarifa na makavazi kuhusu mawaziri hawa wawili wa zamani waliowahi kuwa wizara moja.
Je, wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara pamoja na ya ushirika miongoni mwa jamii?
Shukrani,
Companero
"Lastly, since the US Airline Deregulation Act 1978 which has become a pillar in the history of economy policy — the experiment that broke the deregulation ground in all sectors, countries continue to deregulate their domestic airline markets through open skies agreement.In Africa, we have the...
"In Africa, out of a population of around 1.2 billion people African air travellers only form a paltry 12 percent of the world’s total air travellers, so any government establishing a national carrier as a public policy intervention is using an elitist approach. Second, African countries are...
"First, economist Alfred Kahn who led airline deregulation in the US in the late 1970s under the Carter administration described airlines as marginal costs with wings and saw the sector as a societal aspiration for the rich people to fly around the world" - Africa’s national airlines have no...
"Paul Krugman, 2008 economics Nobel Laureate and prolific New York Times columnist narrates how as a young man he went to work for Government and an old hand, presumably a senior government economist, explained to him that their job was mostly about fighting bad ideas. The bad ideas, the old...
Pole, Mkuu, ila hili tatizo lilikuwa linajulikana muda mrefu tu kwa hiyo hakuna aliyeshtukiziwa huko kwenye kitengo, miye nililisikia kwa wazee wetu wa Chuo Kikuu cha Dar waliomchangia matibabu enzi hizo, pia nadhani unajua kuwa UVIKO ni hatari sana kwa moyo, rejea...
Naam, wazee wanajikinga sana wanaangushwa na vijana mlioenda kuhesabiwa kwenye North Migration, mnaoshiriki marathon na kujirusha kwenye mabonanza bila kuisahau dola ndumilakuwili.
Blaming the victim ni kuchukulia kuwa kuchukua tahadhari na kujikinga ni jukumu lao wenyewe hao senior citizens - ni jukumu la wote, dola inayombwelambwela na ninyi madogo mnaojirusha kidimbwi kisha mnarudi na uviko-19 aina ya sauzi nyumbani kuwaambukiza wazee wetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.