Search results

  1. Jalood

    CHADEMA UK yapongeza uongozi mpya

    Ovyooooooo
  2. Jalood

    Mzanzibari ni nani?

    Hakuwaambia WaZanzibari Bali CCM Kama nyie ndio walioambiwa
  3. Jalood

    Kikwete awatimua makada wa CCM waliokusanyika kumpokea

    Hawa CCM njaa inawasumbua maana Mkuu wa nchi amekwenda kuangalia mambo muhimu wao wapo kujipendekeza na Mashati Yao ya kijani
  4. Jalood

    Rasimu itayopigiwa kura itakabidhiwa tar 21/09/2014, swali langu!

    Waliopo Bunge la Katiba wapo na mchezo wao wa kuchekesha maana hawajui hata nini wanachokitaka
  5. Jalood

    Kikwete awarushia UKAWA tonge la ugali, wanasa

    Kwani Kilimo, Uvuvi au Afya ni mambo ya Muungano hata UKAWA wapiganie kwenye mkutano na Kikwete?. Mwandishi umesukumwa na jazba hujui hata nini unaandika kwa ukereketwa mbovu
  6. Jalood

    Nape Nnauye atoa semina kwa viongozi wa mashina ya CCM nchini Uingereza

    Watu wenyewe hawafiki 20 lakini ikija bill ya matumizi usikie mamilioni ya Tshs yaliyotumika kwa upuuzi huu
  7. Jalood

    Usiku wa Jakaya DC ni unafiki na kujipendekeza

    Kujipendekeza tu na kutafuta ulaji tu Hawana kimoja
  8. Jalood

    Nimerejea safari kutoka Mikoa ya Kusini, CHADEMA haipo kabisa na wananchi hawamjui Mbowe

    Sasa ulikwendaga Kama CCM, CHADEMA au Kichungaji?
  9. Jalood

    DMV Kimenuka ni wazi uchaguzi ulichakachuliwa

    Hongereni Wana DMV kwa kusimama kidete kupinga dhuluma ambayo hao CCM wamefundishwa kutoka nyumbani kuchakachua Uchaguzi. Msimamo huo huo kutoka na MABANGO kila kukiwa na shughuli yoyote ile
  10. Jalood

    Samuel Sitta ampa nafasi Hamad Rashid kumtukana Maalim Seif

    Hamadi Rashid hamna kitu kichwani ni Wazimu mtupu
  11. Jalood

    DMV USA: Protest to oppose and stop unconstitutional general meeting

    Usipotoshe Watu kwenye suala hili maana this week Watuhumiwa Yaani Tume na Wajumbe wa Board wamekaa na lawyer ili kujipanga kujibu mashtaka walioshtakiwa. Kesi iko Mahakamani usipotoshe watu
  12. Jalood

    Viongozi wa Kidini ambao ni Wajumbe wa Bunge la Katiba watoa Tamko kuhusu Bunge

    Kwani Suzan Kunambi amekuwa Kiongozi wa Dini tokea lini. Huachi unafiki
  13. Jalood

    Viongozi wa Kidini ambao ni Wajumbe wa Bunge la Katiba watoa Tamko kuhusu Bunge

    Viongozi wa Dini ambao ni WASAKA TONGE
  14. Jalood

    Mbio za Mwenge Arusha

    Naomba nichangie Kidogo suala hili maana Waswahili wanasema Haba na Haba hujaza kibaba. Sasa siku Wamekwenda kwenye Mwenge, kesho kaja Rais kwenye Mkoa wao watapelekwa, kaja Rais kutoka nje wajipange, Sherehe za zinazoitwa ETI za Mapinduzi na Muungano wanachezeshwa Halaiki mwezi mzima. Sasa...
  15. Jalood

    Dkt. Shein afanya mabadiliko ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa Zanzibar

    Heko Dr Shein kubadilisha Wakuu wa Mikoa kuonesha Katiba ya Muungano ni rubbish tu mbele ya Katiba ya ZanZibar
  16. Jalood

    Bila Mahakama ya Kadhi, hakuna Katiba Mpya. Angalia baadhi ya Maoni ya Waislamu yaliodharauliwa.

    Kwani Zanzibar ndio chaka lenu?. Mahkama ya Kadhi inatakiwa kwenu Tanganyika na Waislamu wana Haki kwa Hilo. Kwahivyo, jibaneni Huko Huko na lazima muwapatie bimaana ukiwaambia wahamie Zanzibar na waondoke ni kufany Waislamu Hawana Haki Tanganyika
  17. Jalood

    Mwigulu Nchemba kuunguruma ITV kesho (Agosti 21)

    Angelizuia Bunge la Katiba kwanza Ambalo limetumia Mabilillioni ya fedha kwa upuuzi mtupu
  18. Jalood

    Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC): UKAWA rudini bungeni bila masharti

    Kanisa lifunge mdomo wake kwenye siasa za TZ maana TZ haina dini kwahivyo msitie dini kwenye siasa Kama alivyofanya Lukuvi maana hasara Yake itakuwa kubwa
  19. Jalood

    Odinga atia mkono UKAWA

    Upuuzi mtupu
Back
Top Bottom