Siyo lazima, cheque utakayopewa utakuwa na uwezo wa kui-deposit bank yoyote, advantage ni kuwa ukibank na NMB cheque yako itaiva siku hiyohiyo wakati bank nyingine itachukua 3days or more
Bado unapotosha, ni hivi treasury wana bank na NMB kwa hiyo kama wewe ni kandarasi na umefanya kazi ya serikali au taasisi ya serikali basi check yako itakuwa inatokea NMB kwa kuwa treasure ana bank na NMB kwa ajili ya malipo yote ya serikali na taasisi zake, baada ya kupewa cheque yako una...
Acha kupotosha mkuu, hata hapo nyuma pesa zote za serikali zimekuwa zinatokea NMB, treasury kwa matumizi ya wizara na taasisi za serikali wana bank na NMB na hata sub treasury kwa mikoani anabank na NMB na hii iko hivi hata kipindi cha JK
Huu ni ochonganishi, Yule ni kiongozi wa taasisi muhimu inchini na chini yake wako watendaji wengi, majanga na ajali nchi hii hayajaanza jana wala leo, tumeona ajali na majanga ya mafuriko, tumeona ajali za Sepide etc, hapa naona mnatafuta lawama kwa kuwa tukio limetokea kanda ile ili badaye...
Mkuu mbona Uzi wako umekaa kidharau na kidini kiasi cha juu hivi, PM wa nchi abadili dini kwa ajili ya mwanamke? Na hilo jina la Mary umelitoa wapi? Na endapo kamanda Sirro akikufungulia mashtaka ya uchochezi wa kidini utalalamika?
Huyu jamaa ni nguli wa biashara duniani, huku biashara ya usafiri wa anga ikiwa moja wapo, hawa ndiyo watu ilitakiwa uncle aombe ushauri siyo yule Mtutsi.
Heshima mbele sana wakuu,
Swali kwa wanasheria na wazee wa protokali, je suala la kiongozi mkuu wa nchi kuandikiwa RISALA ni swala la kisheria au ni utashi wa kiongozi mwenyewe, nafahamu J.M alikuwa mwandishi RISALA wa JK term ya kwanza, je nafasi hiyo inashikiliwa na nani kwa sasa au iko wazi?.
Miss Salt heshima yako.
Ningependa sana kujifunza kutengeneza dawa za choo (disinfectants ) sabuni ya maji kama termol kwa ajili ya usafi wa nyumba na nguo na dawa ya kusafisha tiles na sink.
Natanguliza shukrani
Umekuwa muhubiri mkuu wa umoja na utengamano tangu utangazwe kuwa Rais wa Tanzania, Naomba kutokana na utumishi uliotukuka wa Dr. W.P Slaa umpatie wizara ya TAMISEMI, Hii ni kutokana na kazi aliyofanya ya kutukuka kama makamu mwenyekiti wa kamati iliyosimamia TAMISEMI wakati wa bunge la Kasi na...
Mayai ya kisasa kwa bei ya jumla yanahitajika, bei isizidi tsh 5,500/= kwa trei na yawe makubwa.
Mteja yuko Dar es Salaam na anahitaji trei 50 kila week
Ongea na mteja kwa number hii 0654 163 784
Haya wafugaji kazi kwenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.