Search results

  1. KennedyMmari

    #50MillionTrees: how young people are fighting deforestation in Tanzania

    It might be best known for its wildlife, but Tanzania is facing a growing number of environmental concerns and biodiversity in the country is under threat. Rapid deforestation means more than 370,000 hectares of forest are cleared every year for charcoal, firewood and lumber without a clear...
  2. KennedyMmari

    Ninatafuta slim laptop zenye 13inches

    Habari wanajamvi, ninatafuta slim laptop yenye 13 inches. Specs; at least 500 HDD, 4 GB RAM Brand: HP, Dell, Samsung, Asus or any other reputable brand NB: Iwe slim, iwe na uzito usiozidi kilo 1.5 na muuzaji nitamlipa kwa kumfikia alipo, iwe ni mpya au used. Anayeamini ana fair deal anitumie...
  3. KennedyMmari

    Natafuta tv 32 inches, samsung au lg

    Habari wanajamvi, natafuta Tv 32 inches original Samsung au LG ka affordable price. Pia natafuta housing ya Samsung Laptop NP300E5V Nitumie Picha WhatsApp 0719579733 tunegotiate price kama ni negotiable.. Sitaki shipping...nakuja physically ilipo (Dar)
  4. KennedyMmari

    Waraka wa watoto wa mafukara kwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini (heslb)

    Ndugu zangu maofisa,waasibu, mameneja na wakurugenzi wa bodi ya mikopo ya Elimu ya juu nchini Tanzania (HESLB), poleni sana kwa kazi nzito mnayoifanya maana nimeota ndoto kuwa mara baada ya timu ya taifa kushindwa kufanya vizuri mmeazimia kulisaidia taifa katika kitengo hicho na ndoto inaonesha...
  5. KennedyMmari

    Natafuta housing ya laptop ya samsung

    Ndg Wanajamvi, Sijui kama laptop huwa zina housing. Mimi natafuta housing ya Samsung Laptop 16 Inches yenye rangi ya nyeusi. Fundi yeyote aliyo nayo au kama unamjua aliyenayo anitumie picha Whatsapp kwenye namba 0719579733
  6. KennedyMmari

    Natafuta housing ya samsung laptop

    Ndugu Wanajamvi, Sijui kama laptop huwa zina housing. Mimi natafuta housing ya Samsung Laptop 16 Inches yenye rangi ya nyeusi. Fundi yeyote aliyo nayo au kama unamjua aliyenayo anitumie picha Whatsapp kwenye namba 0719579733
  7. KennedyMmari

    Taarifa kwa Wanafunzi wote waliochaguliwa UDSM 2015/2016

    TAARIFA KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM, MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE MAIN CAMPUS. Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Dar es salaam (DARUSO) inapenda kuwataarifu wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa mwaka wa...
  8. KennedyMmari

    Wizara ya Mawasiliano UDSM yawakaribisha First Year

    TANGAZO KWA FIRST YEAR WOTE WALIOCHAGULIWA UDSM (MLIMANI CAMPUS) 2015/2016. Serikali ya wanafunzi DARUSO inapenda kuwakaribisha wanafunzi wote waliochaguliwa UDSM na kuwatangazia kuwa yeyote mwenye tatizo au maswali kuhusiana na chuo kwa ujumla awasiliane na Wizara ya mambo ya Nje, Habari na...
  9. KennedyMmari

    Wizara ya mawasiliano udsm yawakaribisha first year

    TANGAZO KWA FIRST YEAR WOTE WALIOCHAGULIWA UDSM (MLIMANI CAMPUS) 2015/2016. Serikali ya wanafunzi DARUSO inapenda kuwakaribisha wanafunzi wote waliochaguliwa UDSM na kuwatangazia kuwa yeyote mwenye tatizo au maswali kuhusiana na chuo kwa ujumla awasiliane na Wizara ya mambo ya Nje, Habari na...
  10. KennedyMmari

    Elections 2015 Wanawake wanaweza, Dr. Asha-Rose Migiro lini uliweza?

    Na Charles William Dr. Asha-Rose Mtengeti Migiro ni moja kati ya majina ya watanzania wachache wenye rekodi za kushika nafasi kubwa na za heshima kubwa duniani, akiwa amewahi kuteuliwa kushika nafasi ya unaibu katibu mkuu wa umoja wa mtaifa(UN) kwa miaka mitano tokea mwaka 2007 mpaka mwaka 2012...
  11. KennedyMmari

    Serikali ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania yafilisika

    Ndugu wanajamvi, Kuna ushahidi usio na ukakasi kuwa serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya mchumi Dr. Jakaya Kikwete imefilisika na haina fedha kwa ajili ya kuendesha shughuli zake za kila siku. Madai haya yanathibitishwa na mambo kadhaa, la kwanza ikiwa ni kutotolewa kwa mikopo...
  12. KennedyMmari

    Nahitaji mtu mwenye modem ya ziada aniuzie kwa cheapest price possible

    Mwenye nayo anipm haraka iwezekanavyo,,,universal modem itakuwa my first priority,but kama kuna mwenye yyt ajitokeze...nipo udsm hapa
  13. KennedyMmari

    Hii habari aljazeera kuhusu tanzania mbona sijaielewa kabisa?

    President Putin has insisted that Russia's new ban on "homosexual agendas," which allows for the arrest and detention of foreign nationals who express pro-gay sentiment or "appear to be gay," will not apply to foreign athletes competing in the Sochi Games. This pledge has not failed to allay...
  14. KennedyMmari

    Report:Gold Rush: Striking inequality in rural Tanzania

    The United Republic of Tanzania is one of the largest producers of gold in Africa. Small-scale mining is responsible for a sizable percentage of all exports, but with a distinct lack of regulation in this sector communities are exposed to exploitation, dangerous working conditions and further...
  15. KennedyMmari

    Natafuta fundi wa laptop,screen imepasuka...naomba anipm au aweke namba hapa nimtafute

    laptop ni samsung,screen iliyopasuka ni 15.6 inch....anayeweza aweke number tuwasiliane....na anipe price
  16. KennedyMmari

    Pamoja na madhaifu ya zzk lakini bado ana thamani kubwa kwa chadema

    Tangu sakata la Zitto Kabwe limeanza ndani ya wiki tatu sasa,Kumejitokeza wanachadema vinara wa kumshambulia kila mahala,tukiangalia zaidi katika mitandao ya kijamii. Hii inawahusisha wanachama wa kawaida na hata Viongozi waandamizi wa chama. Zitto Kabwe alikosea,aliteleza na ni mwanadamu...
  17. KennedyMmari

    Huko Jordan,Mbunge amepiga Risasi Bungeni...Bila Jitihada angeua mtu...Mnalalamika Tz!

    m.aljazeera.com/se/201391095921803331
  18. KennedyMmari

    Nauliza:Hivi Zanzibar kuna Mbuga gani ya Wanyama?

    Huku kwetu Tanganyika kuna mbuga za kila aina,zimesheheni wanyama wa kila aina,Kwa idadi Ndo usiseme.Hivi kule zanzibar kuna mbuga zipi na zina wanyama gani??
Back
Top Bottom