Search results

  1. Radash

    Hatimaye nmegundua mtoto si Wangu. Mama anataka kuniroga

    Hapo kwenye kupima DNA ndiyo umeharibu. DNA inapimwa kwa mkemia mkuu na siyo kwa daktari wako. Ukiwa muongo uwe smart.
  2. Radash

    SSRA na PPF nini kinaendelea? Kwanini mnatunyanyasa na hela ni zetu?

    Aisee yani hapa shida ni hao ssra ndio wanajifanya wanasimamia mifuko lakini kumbe kunguru tu
  3. Radash

    SSRA na PPF nini kinaendelea? Kwanini mnatunyanyasa na hela ni zetu?

    Hao ssra na ppf lao moja. Ni uhuni tu wanatufanyia iweje nssf walipe ppf usubiri hadi miaka 55
  4. Radash

    SSRA na PPF nini kinaendelea? Kwanini mnatunyanyasa na hela ni zetu?

    Mkuu namba ya kadi siyo ishu, ukiwa na barua ya kuacha kazi unapewa mafao yako. Taarifa zako na uchangiaji wako uko kwenye data base yao.
  5. Radash

    SSRA na PPF nini kinaendelea? Kwanini mnatunyanyasa na hela ni zetu?

    Habarini za asubuhi mabibi na mabwana, Hivi kuna nini kinaendelea kati ya PPF na SSRA? Ni hivi nilikuwa mwajiriwa katika taasisi flani ya binafsi hapa mjini. Nimefanya kwa miaka 5 huku nikiwa mwanachama wa PPF, baada ya mkataba kwisha nikaamua niachane na ajira niwe mjasiriamali. Nikaamua...
  6. Radash

    Video ya King Kiba, Chekecha Cheketua ni habari ya mujini

    Mashabiki wa alikiba mnatakiwa kumpa ushauri nini cha kufanya hata kama zama zake zimeshapita, hii kumwita king ni kumjaza ujinga ajione yuko juu zaidi ya wapinzani wake kumbe hamna kitu na bado anasafari ndefu. Kwa jinsi mnavo msifia na hiyo vdeo hakika ni mapenzi yenu kwake na si ubora wa...
  7. Radash

    Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Mkuu kufanya na wangapi sio shida, je hiyo list ya uliofanya nao ulimu hadithia mwenzako.? Chamsingi ni yaliyopita si ndwele mgange yajayo kwanini kudeal na yaliyo pita.?
  8. Radash

    Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Kama lengo ni kumshirikisha maisha yako ya zamani mshirikishe ila habari ya ndoa sahau maana atakuacha tu. Ni wanaume wachache sana wanaweza kuendelea na mahusiano na mtu mwenye historia kama yako(mimi siwezi) nadhan hata bwana yako hawezi.
  9. Radash

    Vatican yatangaza rasmi kuitambua "State of Palestine"

    Kweli Jf imeishiwa watu wanaoweza kujadili mada kama hizi,matokeo yake wanajadili kuhusu Yesu ni Mungu au siyo Mungu. Ipo clear kabisa kuwa imani ya kikristo na kiislam ni vitu viwili parallel kabisa hivyo ww kama muislam imani yako ni Yesu si Mungu na kwa mkristo Yesu ni Mungu full stop...
  10. Radash

    Tujitokeze kuwatetea Prof Muhongo na Prof Tibaijuka

    Nadhani asilimia kubwa ya wanao comment hii mada aidha hawajaielewa au hawajaisoma yote.. Ahsante mtoa mada kwa pointi zenye kufikirisha
  11. Radash

    BAVICHA yatikisa kwa Sitta

    Hiyo taarifa ungeambatanisha na picha ungekuwa umetu habarisha vizuri zaidi..
  12. Radash

    Soko kuu Urambo lawaka moto

    Yale yale kama soko la karume..
  13. Radash

    WAPENZI WA SERIES vp Arrow imeanza kutoka?

    Season 03 imetoka jana ni muda wako tu kuicheki.
  14. Radash

    Tahadhari Kubwa kwa watu wote

    Mkuu ulitangaza jamvini kuwa umejitoa chadema,umerudi kimya kimya.?
  15. Radash

    Nimejiondoa rasmi CHADEMA

    Khaah.! Kuna watu mna mikwala ni balaa
  16. Radash

    Nmechanganyikiwa sielewi nifanye nini.

    Sasa hapo kipi huelewi,kaisha sema sababu kwanini hakuseema mapema ni kwamba ungekataa..! ukweli usha ujua na amekiri kuwa ana mtoto eti bado unauliza kwa nini alikuficha..?
  17. Radash

    Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

    Huyu mwokota simu kawezaje kumpigia mpoteza sim...??
Back
Top Bottom