Search results

  1. Zogwale

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    Alikuwa kiongozi mzalendo mno. Hakutaka nchi iingie katika gharama kubwa za Msiba wake ndiyo mama alitaka asafidishwe na vufaa vya kitabibu vya kushikulia upumuaji ili akifika Chato waviondoe. Hatutakaa tumpate kiongozi kama huyu milele. Narudia hatakuwepo tena.
  2. Zogwale

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    Tunaomba mtutajie majina ya hilo genge ovu ambalo halikumtaka kabisa Makamu wa Rais aongeze nchi. Tuanzie hapo na tujue kwa sasa wako wapi kiuongozi chamani na kiserikali. Ni muhimu wajulikane kinagaubaga.
  3. Zogwale

    Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

    Mimi ni Mkristo Safi kabisa ila kwa hili hakuna tabu. Yeye amemuwakilisha boss wake kwenye hiyo shughuli ya usomaji wa vitabu vyao. Sasa ulitaka awaambie watoto wakasome Biblia wakati ni Waislam? Hata Sisi Wakristo tunakazia watoto wasome Elimu dunia na dini pia. Ndiyo maana kuna mafundisho ya...
  4. Zogwale

    Ajali ya Magari 13 Msafara wa Makonda; Tusome Alama za Nyakati

    Nawaza tu matengenezo ya hayo magari. Kodi zetu. Na tayari ni mradi kwa maafisa Ugavi.
  5. Zogwale

    Hoteli za Morena na Huduma Mbovu

    Kuhusu vyakuka vilivyooza Mimi Zogwale ni shuhuda wa niliyofanyiwa na Morena hotel Morogoro. Nililala pale siku 2. Siku ya pili nikaagiza local chicken makange na mashed potato room service. Baada ya kula ikaopita nusu saa nikaanza kutapika Sana na baada ya masaa 3 nikaanza kuharisha vibaya...
  6. Zogwale

    Nimegundua Mwanamke wangu anajiuza

    Tinder ni online dating site. Kule kuna wanaotafuta wanaume wa kizungu ili kuolewa na kuna wako huko kuuza ngono online au physically kama wako nearby. Sasa umeshafahamu wa kwako yuko kundi lipi? Na ukweli kama ameingia tinder ujue wewe ni option sasa anatafuta real na possibly mzungu. Piga...
  7. Zogwale

    Beki wa Man City ajutia usaliti kwa Mke wake

    Naiona talaka mlangoni. Watagawana tu muda si mrefu.
  8. Zogwale

    Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

    Yaani mkuu nimecheka hapo uliposema lugha yao ni ngumu kama unaitwa Kurwa usiende Poland. Nacheka hadi muda huu. Kweli kuna lugha za mstaifa ngumu Sana ikiwemo Polish na Finnish, pia Kituruki (Turkish) si mchezo kabisa. Ila kila kitu ni kukomaa tu mpaka utoboe.
  9. Zogwale

    Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

    Mabishano haya yalipelekea mpaka kutuhumu NECTA kuwa wanapendelea wakristo na Shule zao za kikristo kwa kuwa imekuwa ikiongozwa na Watendaji Wakristo. Sasa wameweka Mwislam lakini mbona mambo tena yanakuwa hovyo kabisa Katika orodha ya shule 50 zilizofanya vizuri matokeo kidato cha 4...
  10. Zogwale

    #COVID19 Hongera nyingi kwa mashujaa ambao hawajachanjwa Covid vaccine yeyote

    Ninamshukuru na umri wangu huu sikuchanjwa. Na sina mpango huo.
  11. Zogwale

    Kuteuliwa kwa Dkt. Nchimbi: Rais Samia sasa kunywa chai yako kwa raha zako

    Edit jina lake ni Emmanuel John Nchimbi. Chimbi umelipata wapi?
  12. Zogwale

    Wakuu jimbo liko wazi kwa Zuchu

    Aisee. Kwa hiyo Babu Tale alitudanganya aliposema wazi live katika media kuwa Diamond na Zuchu ni wapenzi? Ukweli kiapo cha Freemason hakiwezi kuruhusu Diamond kuoa. Nimekubali yaishe. Sorry for Zuchu.
  13. Zogwale

    DOKEZO Wizara ya Afya, Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa macho?

    Kama blood group ni moja ndiyo utaambukizwa hivyo usiwe na Shaka Sana.
  14. Zogwale

    DOKEZO Wizara ya Afya, Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa macho?

    Inaitwa Red Eye na inakuwepo kwa msimu. Ile inaambukiza hasa kwa wenye makundi Sawa ya damu. Kwa watoto wanapona haraka Sana ndani ya siku 2-3 Ila mtu mzima wengine wiki na zaidi. Macho yanauma mchangamchanga ndani na Mwanga ni Shida kuangalia. Machozi ya Uhakika. Tiba asili ni kuosha macho na...
  15. Zogwale

    Picha, niambie Shule gani Tanzania ina mazingira Bora kuzidi haya?

    Nataka tu niseme kwamba hakuna shule yenye mazingira mazuri na usafi wa hali ya Juu kama Mazinde Juu. Narudia haipo. Mabweni utafikiri ni hotel, usafi wa ndani na nje hakuna mfano. Nimebahatika kutembelea shule nyingi hizi mnaita za kishua lakini hakuna mfano wa St. Mary's Mazinde . Nilifika...
  16. Zogwale

    Marian Schools huduma ya chakula, usafi ni ovyo sana

    Mzazi huyu anaweza kuwa na Jambo la msingi ila hakuweza kukiwasilisha vizuri. Ni hivi hizi shule za private ambazo ndizo mara nyingi zinafanya vizuri zina Ada kubwa na sehemu ya Ada inaonesha inaenda kwenye huduma muhimu kama chakula. Matokeo yake wanaopewa kuongoza hizi shule wanakuwa wapigaji...
  17. Zogwale

    Sijamsikia kitambo Makamu wa Rais Philip Mpango. Je, yu wapi?

    Kweli hata mafuriko ya Hang sojamsikia. Mpaka Rais akatize safari huyu Msaidizi yuuu wapi?
Back
Top Bottom