Search results

  1. Isumbwile

    Kamwambia nimuathirika wa HIV, Dada anahisi anadanganywa, anataka kuolewa naye

    Habari zenu wana MMU, Ni siku nyingi sana sijaposti kitu hapa jamvini, Nadhani majukumu yamekuwa mengi sana. Sasa twende kwenye lililonileta hapa, nina rafiki yangu wa karibu sana, wazungu wanasema "we go way back" tangu enzi za chuo.Sasa huyu rafiki yangu ni mtu ambaye alikuwa mpole sana...
  2. Isumbwile

    Mume/Mke bora

    Habari zenu WanaMMU, "Perfection is not attainable, but if u chase for perfection, you can catch excellence", those aren't my words but the words of Vince Lombardi. Hapa Vince alijaribu kuelezea kwamba ukamilifu hauwezi kufikiwa ila kama utajaribu kuutafuta unaweza kuambulia ubora. Siku zote...
  3. Isumbwile

    Kubadilisha wapenzi wakati wa ujana husaidia kutulia kwenye ndoa?

    Kubadilisha wapenzi wakati wa ujana kabla ya ndoa husaidia kutulia kwenye ndoa? Habari zenu wadau, Kuna Usemi hupendwa kutumika sana "ujana maji ya moto" au ule mwingine "ujana damu inachemka, ukiizuia itakuchemkia uzeeni ama kwenye ndoa" Hakuna tafiti rasmi iliyofanywa juu ya hii mada...
  4. Isumbwile

    Women's Hips Could Influence Sex

    Why you should care For Ladies, the width of your hips may play a crucial role in your decision to sleep with someone. That's according to scientists at the University of Leeds, who report that a woman's figure could play a crucial role in her decision to have sex. Specifically, women with...
  5. Isumbwile

    Good Music Lovers

    Habari zenu wadau! In our cultures, music is an important part of our way of life. Having said that, Its gonna be a long weekend, so try listening to Tim Mcgraw's love story album and Keith Urban's fuse album, for sure u will enjoy some good country music along with ur weekend!. Am already...
  6. Isumbwile

    Happy Women's Day

    Dear Women, There are no words to express your love and strengths. The way you stand vigilant and conquer obstacles of life is truly remarkable; You get married and change your name and home, You leave your family and move in with your husband, You build a home with your new partner and...
  7. Isumbwile

    Good Music Lovers

    To all good music lovers, find and Listen to the new Toni Braxton & Babyface album called Love Marriage & Divorce..for sure u will enjoy!
  8. Isumbwile

    Marriage in a nut shell!

    Sometimes Marriages hupitia through these stages, tafakari then chukua hatua to be on the safe side!
  9. Isumbwile

    To JF ladies; If u wea to go back to ur first tym with a Man

    Habari zenu! Nipo nimepumzika enjoying the long weekend huku nikiperuz jf specifically MMU ambapo nakutana thread ya uran interviewing Nambe and Shansarie ambapo Nambe one of the interviewee talked about her first time and how it was a bad experience to her. Truly she isn't the first one among...
  10. Isumbwile

    Important Reminder to JF Members: Whether Married or Single

    Whether your Married or Single... If you were in the following situations, would you have considered an abortion? 1. There's a man and wife who are very poor. They already have 14 kids. Now the wife finds out she's pregnant with her 15th. They're living in tremendous poverty. Considering their...
  11. Isumbwile

    Msaada Wanasheria na Lacunas in Contract law,Sales law,Agency and Partnership law

    Habari zenu Great thinkers, nilikuwa naandaa business research plan for a certain project and nimekutana na challenge ya kujua some of the lacunas that are in contract law, sales law, Agency law, Partnership law and Company law. Please naomba msaada wenu lawyers na hizo lacunas. Thanks in Advance!
  12. Isumbwile

    To Jf ladies

    TO THE LADIES! Your man is not perfect. You aren’t either, and the two of you will never be perfect. But if he can make you laugh at least once, admits to being human and making mistakes, hold onto him and give him the most you can. He isn’t going to quote poetry; He’s not thinking about you...
  13. Isumbwile

    Nilimpenda sana akanitosa, sasa nipo na mdogo wake... Ananitaka

    Habari zenu Wadau, I was in love with this lovely girl for almost 6yrs since tupo A-level hadi tunamaliza chuo, i told her ila alikuwa anazigua and not showing any interests kama ananipenda.…so I kept on trying lakini everything I said and did was nothing to her. After 6 yrs and 5...
  14. Isumbwile

    Crazy facts.....

    SOME CRAZY FACTS SMILE: A curve that can set a lot of things straight EXPERIENCE: The name men & women give to their mistakes MARRIAGE: It's an agreement in which a man loses his bachelor degree and a woman gains her masters DIVORCE: Future tense of Marriage COMPROMISE: The art of dividing...
  15. Isumbwile

    How do i get this House design?

    Habari zenu wanajf Katika pitapita zangu mtaani kuna nyumba moja imenivutia sana kwa jinsi ilivyojengwa,ni nyumba ya gorofa moja, mchoro wake na design yake vimenivutia sana. Tatizo ni kwamba je naupataje mchoro wa hiyo nyumba au basi hata architect aliyechora huo mchoro kwasababu...
  16. Isumbwile

    Msaada jamani,nimependa ramani ya nyumba fulani

    Habari zenu wanajf Katika pitapita zangu mtaani kuna nyumba moja imenivutia sana kwa jinsi ilivyojengwa,ni nyumba ya gorofa moja, mchoro wake na design yake vimenivutia sana. Tatizo ni kwamba je naupataje mchoro wa hiyo nyumba au basi hata architect aliyechora huo mchoro kwasababu nimejaribu...
  17. Isumbwile

    Why Women Dont Like being On Top?

    Habari zenu Wadau Nimefanya alot of adventures in my life from one night stands,hook ups and random sex with different women ila that was during my youth life and nimeacha na kuamua kusettle down. I thank God am happy n healthy, so plz dont judge me. Back to the Mada, kitu kimoja ambacho...
  18. Isumbwile

    Msaada wa Mawazo Unahitajika Haraka!!!

    Habari zenu wadau Nina rafiki yangu amekuwa anajitolea kwa muda wa 5 months now kwenye benki moja hapa dsm baadaya ya kutafuta kazi na kukosa. Hivi karibuni wameitwa kwenye interview na hiyo benki baadaya kutoa nafasi za kazi,sasa tatizo ni kwamba wakati anaomba kujitolea alipeleka vyeti vya...
  19. Isumbwile

    Je, kuna uhusiano gani kati ya mtu mwenye busha na kujambisha

    Habari zenu wadau, For sometym nimekuwa naona watu wakijua mtu anabusha basi akikatiza mitaa ile wataanza kummock dat person in different ways including kujambisha (hopefully tunajua when i say dat).. Sikuwahi kutake serious hadi leo nilipokuwa mitaa ya Mwenge stendi pale, kuna jamaa kumbe...
Back
Top Bottom