Search results

  1. K

    TEC: Leo ni siku ya kuwasindikiza ndugu zetu katika safari yao ya mwisho

    ... Kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu...
  2. K

    TEC: Leo ni siku ya kuwasindikiza ndugu zetu katika safari yao ya mwisho

    ... Inatia huruma sana kwa watu wasio kuwa na hatia, kudhurumiwa roho zao... Ee Mwenyezi Mungu tunakuomba ujibu kwa damu iliyomwagika...
  3. K

    TEC: Leo ni siku ya kuwasindikiza ndugu zetu katika safari yao ya mwisho

    Raha ya milele uwape, Ee Bwana. Na mwanga wa milele uwangazie... Kwa huruma ya Mungu Roho za marehemu wote wapumzike kwa amani..
  4. K

    Tatizo la Kuvimba PAPUCHI kila iitwapo Asubuhi.

    ... Madame B ! Una mambo! Mimi sikuwezi! Lol!
  5. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    ..., hivi ni kweli kuwa ukiwa wewe ni mwanandoa 'KE' unahaki ki-sheria kupangiwa kituo cha 'ME' wako anakoishi?
  6. K

    Mengine yaanikwa kampuni ya Bakhresa

    ... Ahaaa! Unaandikia mate, wakati wino upo! ... Marko, Jesca, Yohane, Grace, Mathayo, Elizabeth, Timotheo, Anna, Tito, Mary, n.k HAWANA NAFASI... Hii ni kwa sababu mwajiri alikuwa anapata shida kutamka majina hayo! ...Ukienda kuomba kazi huko jitambulishe kwa majina ya kimashariki mashariki...
  7. K

    UEFA Champions League, Special Thread

    FC Bayern München v FC Barcelona will be "a fantastic football feast"
  8. K

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Mgambo leo wakijiamini na wakajipanga vizuri wanaweza kufanya maajabu, na wakapata pointi ktk mechi hii ya leo. Ukiangalia msimamo wa ligi kuu kwa sasa, mechi hii ya leo,wanatafuta vitu viwili: pointi na kuweka heshima, kwa kuwapa raha wana Tanga.Bilashaka Mgambo watarusha makombora na madalagu...
  9. K

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    ... Yanga wasiwe lelemama, pale Mkwakwani kuna siri nzito kwa Mgambo Shooting kwa shavu wanalopewa na mashabiki wa kandanda ndani ya jiji la Tanga “waja leo waondoka leo” ndio siri ya Maafande wa kupiga kwata wa Mgambo Shooting kuendelea kupigana kufa na kupona ili kukwepa panga la kuporomola...
  10. K

    Maskini akipata, ------ hulia mbwata

    ... Kwangu mimi mwanamke wangu akiwa na kipato kikubwa kunizidi na akaanza kuwa na jeuri... Kazi ni kumjaza mimba kila baada ya miaka miwili miwili... Na kuhakisha tunapata watoto wengi wakupunguza makali yake.
  11. K

    utambulisho na msaada

    ... Karibu mwana wetu, na pole kwa yaliokusibu! Natumaini utapa ushauri mzuri hapa JF, Ila umegonga hopi na kuingia moja kwa moja kwenye meza ya chakula!
  12. K

    FC Barcelona and FC Bayern M¨¹nchen, Real Madrid CF and Borussia Dortmund - semi-final

    ngoja "mwekundu" aje, sijui leo atatwambia nini?
  13. K

    Bungeni Dodoma leo - Bunge la Bajeti 2013/2014

    Leo waheshimiwa Mr. kulala' watalala mpaka wawekewe dawa ya mbu, maana hawanahofu ya kuonwa na wananchi... Heri yake mzee wa si ra ra sirara, atachapa usingizi mpaka basi.
  14. K

    Bungeni Dodoma leo - Bunge la Bajeti 2013/2014

    Bunge hili jamaa wamehamua kujifungia ndani peke yao. TBC CCM hawana habari kinachoendelea Dodoma, au ndiyo ile kanuni ya Mkinda yakuchificha peke yao imeanza kufanyakazi leo! StarTV wao wameparamia sherehe za watu! Wamekuwa wakenya leo, wanarusha matangazo ya sherehe za Uhuru Kenyatta
  15. K

    TUCTA Yajitutumua tena, kudai kima cha chini 315,000

    ..., mkuu umenena! inaoneka ndiyo njia yao ya kuomba pilau na soda' kwamba wakipaza sauti wataitwa kufanya vikao vyao vya usaliti vya kuwaadaa wafanyakazi, kumbe ni upuuzi mtupu. Ni bora TUCTA ingevunjwa' kwa sababu sioni kazi wanayoifanya.
  16. K

    UEFA Champions League, Special Thread

    Wataala na wachambuzi wa mpira wanasema kwavile beki wa kati, Thiago Silva, na washambuliaji Zlatan Ibrahimovic na Ezequiel Lavezz, ambao wote walisajiliwa mwaka jana kwa gharama kubwa, wamekuwa mhimili kuisaidia PSG kupata mafanikio mpaka hatua ya sasa.
  17. K

    1st April fools Day, 2013: Tahadhari - Leo ni siku ya wajinga kuweni makini

    Isije ikawa kama hii hapa! APIGWA FAINI KWA KUITA ZIMA MOTO SIKUYA WAJINGA Mkazi mmoja wa eneo la Mikanjuni jijini Tanga alipigwa faini shilingi laki tano kwa kutoa taarifa ya uongo kuhusutukio la moto katika eneo lake. Tukio hili lilitokea miakamiwili iliyopita kwa mujibu wa mchangiaji mmoja...
  18. K

    'Wahuni' wateketeza mali za kanisa Sumbawanga

    ... Udini tena! Serikali ihunde tume ili kubainisha wahusika, na nia zao nini. Pia waletwe wapelelezi wa kimataifa wa kukodishwa "IFB au CIA" ili kuchunguza hili suala.
  19. K

    Waliopewa Dhamana Wameshidwa Kazi Kwanini Tusiandamane Kuwakataa ?

    ... Mkuu' angalia uliko jikwaa'..., usiangalie uliko angukia...
  20. K

    Pinda atekeleza maagizo ya Lowassa, aunda tume kuchunguza sababu ya kidato cha nne kufeli

    ... Wahenga walisema "Maji yakisha mwagika..."
Back
Top Bottom