Hongereni kwa ujenzi wa taifa.
Leo hapa kata ya Mshangano Songea afisa mtendaji ametangaza ushuru wa magenge ya mitaani shilingi elfu moja kwa siku. Yaani kwa mfano wewe hapo nyumbani kwako uweke genge dogo la kuuzia nyanya,mbogamboga, vitunguu nk ili kurahisishia majirani wasifunge safari ndefu...
Za leo wadau.
Hapa Mshangano kumekuwa na huu mchango wa shilingi elfu sita kwa kila kichwa ili kujenga shule. Shule imeshajengwa na sasa kuna makerebisho madogomadogo kama kuongeza madarasa na kadhalika. Sasa swali langu ni je?
Ni halali watu kusutwa kwaajili ya michango hii au kutoa mchango...
Wana jamii wenzangu, za kazi.
Nimekuwa na tatizo la kula kupita kiasi na bila kushiba. Nimepima minyoo lakini sina. Na nimerudia mara kwa mara niko sawa tu.
Hali hii inaninyima raha. Huwa sihisi njaa sana lakini nikikikutia chakula hata kwa jirani ukweli ni kuwa lazima nile.
Nifanyeje na hili...
Wakuu,nilikuwa natoka Mshangano hapa Songea kwenda mjini kwa daladala.Nilikaa na mtu mmoja ambayo alikuwa na biblia.Akajitambulisha kwangu kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu.Kiukweli aliongea mengi kunihusu.Akasema katika simu yangu kuna M PESA TSH LAKI MBILI.Na kweli ilikuwa hiyohiyo.Akasema...
Wadau habari za asubuhi.Jumapili how going?Asante.
Toka juzi hadi kuamkia leo nakuta nalota sana ndoto nyevu.Sasa naona inazidi naomba ushauri wa kuondokana na tatizo hili.Mimi wenu, Crispin Nyoni, Songea
Wadau kuna hii tv chanel ambayo ipo kwenye king'amuzi cha zuku.Huwa nahisi kama inafundisha uchawi hivi.Maana mtoa mada na hadhira yake wamevaa nguo nyeusi.Je tv hii inahusu nini?Pamoja na wadau wote JF aione pia Apollo, MziziMkavu na Mshana Jr.
Wadau salamu sana.Naomba niwe muwazi kwenu ili mnisaidie.
Huku Songea kuna mtaa unaitwa bombambili.Nilibahatika kumpata mdada fulani akasema hana mume.Nikawa nalala hadi kwao naye anakuja kulala kwangu.
Juzi kanipa taarifa kuwa ana mimba na mume wake anarudi ijumaa ijayo akitokea Malawi, na...
Wadau habari zenu.
Huku Songea hatujambo. Turudi madani.
Ni binti yetu mtoto wa kaka. Nakaa naye na namtunza mwenyewe. Amehitimu darasa la saba. Toka ahitimu amekuwa akizoea vijiwe vya mafundi seremala akijifunza fani hii.
Amesema hahitaji kwenda sekondari ila tumpeleke akasome fani ya...
Nimesimama hapa Ruhuwiko Songea kungoja daladala. Namuuliza konda kama naweza kupata siti? Anasema ipo. Ile naingia ananionesha pa kukaa. Cha ajabu eti anapoonesha amekaa mwanamama mnene amejaza siti mbili peke yake.
Sasa mimi nikae wapi? Namuhoji. Bado anaonesha hapohapo. Na mwanamama...
Nimetoka Songea kwa basi la Superfeo linatokalo Namtumbo kwenda Iringa.Tunafika Makambako dakika 15 za kupata chakula zilinipa wakati mgumu.
Tofauti nilivyozoea kwetu ukiwa na kiu unaweza omba maji mgahawani ukapewa.
Kila nilivyoomba maji ya kunywa hawana, mama mmoja akatamka wazi kuwa...
Jana usiku nimeangalia filamu ya MTEMI ya JULY TAX.Kiukweli kama una roho nyepesi huwezi kuangalia hadi mwisho.Yaani inatisha sana.Unakuta upanga unaingia kabisa tumboni unatokea mgongoni live.
Naomba kujua uchuaji wa picha unafanyweje?
Na nyingine unakuta mtu anarushwa mshale unaingia wote...
Nimakuwa nikifuatilia kwa karibu waimbaji nyimbo za injili naona hawazeeki.Mfano Don More, Rose Muhando,mwaitege, mwaipaya, Nicholina Msungu nk.Kwa nini hawazeeki?Ninavyowaona ni kuwa hawazeeki.Kwa nini?Au kuna vyakula maalumu wanakula?
Hapa kwa Mahuki Msamala Songea pana clinic ya mazoezi kutoka kampuni ya CERAGEM. Pameandikwa Nazareti clinic.Ambapo wanakulaza chali kitandani na hicho kitanda kinakunyosha kiuno, mgongo, miguu, kupunguza kitambi nk.Dakika 40 tsh 3000 ili ushughulikiwe na hicho kitanda.Nimemuuliza dada wa hapo...
Sijui ni vitu gani vinawafanya watu waonekane wakubwa kuliko uhalisia.Nimekuwa nikimwamkia jamaa mmoja hivi kwa kuhisi labda ni mkubwa kiumri kwangu.
Kuna jamaa mwingine huwa ananiamkia ambaye leo nimegundua huyu tunayemzungumzia akimuamkia yeye niliyedhani ni mkubwa kwangu.Tukakutana wote...
Kwa wakazi wa Songea na wengineo naomba sauti yangu isikike na dereva ajirekebishe kwa habari ya mwendo kasi.
Dakika 15 zilizopita tulipanda ndani ya gari tajwa kuja Peramiho misheni hosp.Haiwwezekani pamoja na kusimama njiani eti dereva atumie dakika 15 tu.Tumejaribu kumueleza apunguze mwendo...
Tumsifu Yesu Kristu!
Mkazi mmoja wa Namanditi hapa mjini Songea aliyefahamika kwa jina moja la mzee Tembo amefariki baada ya kunywa pombe wakati yupo kwenye dozi ya malaria.
Kwa mujibu wa jirani wa marehemu Bi Celina Ngonyani ni kwamba marehemu alikuwa anatumia dozi ya SP aliyomeza juzi na...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
Wadau wangu naamini hamjambo kabisa.
Nikiwa kazini, nyumbani au hata nikikaa na wenzangu najisikia vibaya kwani huwa najamba sana na mjambo wenyewe ni ule wenye sauti.
Nifanye nini kuepuka hali hii?
---
UFAFANUZI WA TATIZO HILI...
Naomba nizikiri wazi kuwa ni ngumu kwangu kuishi bila mchepuko.Ziko sababu nyingi zinazopelekea kuwa na mchepuko mathalani jinsi anavyokunyenyekea na ubunifu kitandani.
Mchepuko wangu nimeusevu battery down na nimewekea rington ileile ya battery down.Mida hii mchepuho umepiga kutaka kunijulisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.