Acheni ubaili taasisi yenu itenge fungu ili mjihesabu mjijue mpo wangapi. Itawasaidia kujiendeleza Kama taasis. USIJIBANZE KWA SERIKALI IKUFANYIE KAZI MAANA SERIKARI HAIONI MASIRAI YAKE.
kweli uzalendo umenishinda.
ulitaka aongerewe nini? wakati maamuzi ya kumuweka ndani yana utata na hakuna mtu yupo radhi kuyaongere.
watu washindane na amri kutoka juu?
be serious chief
mtoa maada jiulize maswali haya
je nchi iliompokea hawakujilidhisha na madai yake mpaka wakampa hifadhi?
mtu mweupe kichwani anakuwaje tatizo kwako si achana nae, au kinyume chake?
personal attack haizibitishi umbumbumbu wake. je una record ya kazi zake za nyuma?
wewe unaemchambua huyu bwana je...
vp bodi ya wahasibu NBAA Ambayo rais huunda bodi ya wakurugenzi je ni mali ya umma? pale husajiriwa wahasibu na wakaguzi wa hesabu nayo sio mali ya umma?
TLS husevu matakwa ya umma, ndio maana mali ya umma, wachana na mafunzo ya mkemia zero brain unless u want to be in wining side and not the truth
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.